Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wadau kuna kitu najiuliza mpaka sasa labda mtanisaidia majibu.

Inasemekana kwamba URUSI ina ndege za kisasa za kivita, kwanini asingeipiga UKRAINE kwa anga muda mfupi yeye akachagua kwenda kwenye vita na vifaru, magari na wanajeshi wa Ardhini?

Matokeo yake amepoteza idadi kubwa ya Mwanajeshi, vifaru, magari?

Nadhani sifa za kijeshi anazopewa URUSI haziendani na uhalisia uliopo.

Kwa sifa alizokuwa anapewa asingekubali wanajeshi wake wafariki wengi hivyo na uharibifu mkubwa wa zana zake za kijeshi.

Lipo tatizo mahali.
Wasalimie hapo ujiji.
Screenshot_20220326-013126.jpg
 
Hili swali umeliuliza ila halijibiwi kwa sababu unatumia neno kuteka.

Labda ili swali lijibike inabidi turudi mwanzo na ujibu swali moja jepesi, Puttin alipokuwa anatangaza OP yake mwanzoni, alitoa maagizo gani kwa askari wa Ukraine?
Mkuu kama utaona mara nyingi ninaweka alama za (' ') ninapotumia neno kuteka. Ni kwa sababu mtu niliyekuwa namjibu t14armata ndio neno alilotumia kwnye comment yake na nikamuomba afafanue anamaanisha nn anaposema 'kuteka' maana ni neno linaloweza kuwa na maana nyingi.

Siwezi kuweka kwa maneno yake moja baada ya jingine (labda utanisaidia) ila nakumbuka aliwaambia serviceman wa ukr waweke silaha chini na wasithubutu kuleta upinzani warudi wakae na familia zao.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwa mujibu wa Putin mwenyewe kwa mdomo wake malengo yalikuwa mtatu kam sio manne. Refer hotuba yake akitangaza kuanzisha operesheni y kijeshi Ukraine.

1. Demilitarize ukr
2. Denazify ukr
3. Russian speaking Ukrainians kwenye eneo la donbass

Kushindwa ni kupi mpaka sasa kama malengo yalikuwa hayo.

Watu (Pronato) hawataki kuanalyze achievement za urusi kwa kuzingatia malengo hayo bali wao wanasema lengo ilikuwa kuiteka ukr. Sijui wamepata wapi lengo hilo ukiwauliza hawakupi majibu makini. Kwa sababu hawana majibu. Na hawana majibu kwa sababu hilo sio lengo.





Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hiyo ya Kwanza una measure vipi wakati Russia imepoteza meli na Ukraine wanaweza kushambulia ndani ya Russia
 
Ndio leo watu mnagundua hilo?

Unanifanya unaponda kumbe unampenda Putin Kinyama.
Screenshot_20220415-140212.jpg
 
Umedandia treni kwa mbele
Mwnzo nlijua wewe ni mtu mstaarabu unyeweza kutoa hoja na kujibu hoja kma mtu mzima. Kumbe nilikosea. Mara nyingi nimekuwa nikikuuliza maswali kuhusu taarifa zako na uchambuzi wako lkn aiza haujibu au unajibu vibaya (lugha mbaya) kitu kinachonionesha kuwa taarifa zako na uchambuzi wako ni wa uongo/uzushi ndio maana huwezi kuutetea.

Anyway umeshinda mkuu



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ya Kwanza una measure vipi wakati Russia imepoteza meli na Ukraine wanaweza kushambulia ndani ya Russia
Kabla sijakujibu kwanza fanya uungwana wa kuleta japo ushahidi dhaifu wa dai lako/lenu kwamba lengo la Putin ilikuwa/ni 'kuiteka' ukraine. Kama hauweki basi jua assertions na accusations zako zote dhidi ya urusi huko nyuma kwamba ni dhaifu kisa ameshindwa kutimiza lengo lake (hilo) zinakosa msingi wa kusimamia na hivyo zinaanguka.

Demilitarization ntakuonesha inavyopimwa. Kwanza lete ushahidi km nlivyokuomba hapo juu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
UKRAINE mnashinda Sana tu si unajua tena Russia chakula walikua nacho Cha siku 3 tu na kilishaisha.Msilie lie Sasa maana sijui hua mnalia Lia Nini wkt UKRAINE imeshinda hio Vita.
Kila nikikumbuka wiki ya kwanza propaganda za west eti Russia hakujiandaa hii vita, askari hawana motivation, wamevamia kipindi cha barafu kali hivyo vifaru havitaweza kufika ndani ya Ukrain.
Sasa nashanga vita inapiganwa kyvi,butcher, Marialpol nk swali je warusi wamefikaje fikaje huko huku wakiwa hawana sopre parts bad logistic, vifaa vibovu nk ?
 
Kwa mujibu wa Putin mwenyewe kwa mdomo wake malengo yalikuwa mtatu kam sio manne. Refer hotuba yake akitangaza kuanzisha operesheni y kijeshi Ukraine.

1. Demilitarize ukr
2. Denazify ukr
3. Russian speaking Ukrainians kwenye eneo la donbass

Kushindwa ni kupi mpaka sasa kama malengo yalikuwa hayo.

Watu (Pronato) hawataki kuanalyze achievement za urusi kwa kuzingatia malengo hayo bali wao wanasema lengo ilikuwa kuiteka ukr. Sijui wamepata wapi lengo hilo ukiwauliza hawakupi majibu makini. Kwa sababu hawana majibu. Na hawana majibu kwa sababu hilo sio lengo.





Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
🇺🇦🇺🇦 kujiunga NATO umeitoa ? Kwamba halikuwa mojawapo ya malengo ya uvamizi
huu !? 🤔🤔🤔
 
Kila nikikumbuka wiki ya kwanza propaganda za west eti Russia hakujiandaa hii vita, askari hawana motivation, wamevamia kipindi cha barafu kali hivyo vifaru havitaweza kufika ndani ya Ukrain.
Sasa nashanga vita inapiganwa kyvi,butcher, Marialpol nk swali je warusi wamefikaje fikaje huko huku wakiwa hawana sopre parts bad logistic, vifaa vibovu nk ?
Ajab zaidi ni maeneo tofauti tofauti tena unbali wa KM za maana... Yani TZ tuvamiwe na Uganda, road zetu twazijua kuliko wao waganda, TBC na mashirika kadhaa rafiki toka nje watangaze kua Uganda kakurupuka kuingia Tanzania, Supply chain Mbovu, ana njaa na jamaa hawana hamasa yoyote ya kupigana..

Kisha hao hao wakwambie Uganda inashambulia Kagera... Mwanza... Arusha... Dom... Mbeya... Ajab zaidi hadi Mtwara uko kusini [emoji1787]

Unaamza kujiuliza kavukaje hapo kati kufika Mtwara, ka Supply chain mbovu amewez vipi kutuzunguka na kutueka kati n.k
 
Upo sahihi. Na Urusi ilishatoa onyo pia NATO kutoingilia lakini naona bado anajikita na kuiharibu Ukraine na kuua watu wake badala ya kukaa chini na giant wenzake.

Urusi Ideal na NATO moja kwa moja, ikae chini na giant mwenzake mwenye nguvu NATO wamalizane bila kuonyeshana umwamba kupitia nchi ndogo kijeshi.
Hao mashoga hawajaingia kijeshi moja kwa moja. Wanachofanya NATO ni biashara ya silaha kwa kuwakopesha wajinga,Ukraine.
Hebu wathubutu kuingiza jeshi lao waone. Huyo mkuu wa mashoga kila siku kwenye hutuba zake anasema Marekani inaepuka sana kufanya jambo litakalopelekea kukabiliana na Russia moja kwa moja. Umejiuliza kwanini?

Umeshawahi kumsikia Russia akisema anakwepa kukabiliana na USA? Au alikaribisha yeyote anayetaka kuingia kwenye mtanange,jeshi lake liingie tuu Ukraine!
Magharibi ndio wanamkwepa. Kawafata Sirya akawazuia kumuondoa madarakani Asad. Kawafata Venezuela, kawazuia kumuondoa Maduro madarakani.
Tafakari

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom