Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

EU hawa hawa
energy-photoviz-crude-oil.jpg
Ukiiskiliza ile kauli ya FM wa India kwa US inaleta mashiko.

Kwamba kama ni Issue ya kukoma kununua Gas kutoka Russia, US waache unafiki wafocus kwa EU members wanaonunua zaidi kwa Russia kuliko wao...

Na kingine anavozunguka kila kona kuendesha campaigne ya kuisusia Russia akiahidi kuziba pengo lake ndio unafiki wa kiwango cha Lami.

Kama yeye kwake haitoshelezi kiasi cha kununua kwa wenzake ataweza vipi kufidia pengo la EU na nchi yenye matumizi makubwa kama INDIA na China...

Au kama anayo ya kutosha kwanini asianze kufeed demand iliyopo nchini kwake kabla ya kupeleka pua mtaa w jiran...
 
[emoji1255][emoji1255] kujiunga NATO umeitoa ? Kwamba halikuwa mojawapo ya malengo ya uvamizi
huu !? [emoji848][emoji848][emoji848]
Najaribu kuwa makini, wewe je!

Kama utaona hapo nimesema malengo ni matatu au manne alafu nikataja matatu, kwa nini!?

Kwa sababu;
1. Hayo matatu ndio yaliyotajwa na Putin mwenyewe ile siku anatangaza kuanza kwa operesheni
2. Hilo moja limewahi kutamkwa na maafisa wa ngazi za juu wa kremlin hata ikiwemo na Putin mwenyewe kwamba wako against na ukraine kujiunga NATO.

Kwa hiyo malengo ni matatu hayo nliyoyataja na hilo moja limeqahi kutajwa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kama utaona mara nyingi ninaweka alama za (' ') ninapotumia neno kuteka. Ni kwa sababu mtu niliyekuwa namjibu t14armata ndio neno alilotumia kwnye comment yake na nikamuomba afafanue anamaanisha nn anaposema 'kuteka' maana ni neno linaloweza kuwa na maana nyingi.

Siwezi kuweka kwa maneno yake moja baada ya jingine (labda utanisaidia) ila nakumbuka aliwaambia serviceman wa ukr waweke silaha chini na wasithubutu kuleta upinzani warudi wakae na familia zao.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Okey boss, ngoja niweke alichosema.

“We will seek to demilitarise and denazify Ukraine, as well as bring to trial those who perpetrated numerous bloody crimes against civilians, including against citizens of the Russian Federation,”

"I have a few words for those who could feel tempted to interfere with ongoing developments: whoever tries to impede us, let alone create threats for our country and its people must know that the Russian response will be immediate and lead to the consequences you have never seen in history,"

Hichi ndicho anachokifanya Urusi pale Ukraine. Sasa kama ni kumpima tunampima kwa haya matamshi yake na si mbwembwe nyingine zozote zinazopostiwa humu wala kejeli.

Sasa cha kujiuliza ni:
Puttin tayari kaweza kuidemilitarize na kuidenazify Ukraine na kuna aliyepelekwa kwa trial kama alivyotamka? Kama bado ni kwanini? Kama tayari kwanini bado OP inaendelea?

Swali la pili ni kweli hakuna walioingilia Operation yake na je kama wapo walioingilia amefanya kama alivyoahidi atafanya kwa yoyote atakayeingilia? Kama hajaingiliwa Ukraine inastahili pongezi kumzuia mpaka sasa?

Haya mambo mengine yooooooote ni changamsha kijiwe tu na kugombana kusiko na maana yoyote kati ya wanaosapoti na wasiosapoti.
 
Hao mashoga hawajaingia kijeshi moja kwa moja. Wanachofanya NATO ni biashara ya silaha kwa kuwakopesha wajinga,Ukraine.
Hebu wathubutu kuingiza jeshi lao waone. Huyo mkuu wa mashoga kila siku kwenye hutuba zake anasema Marekani inaepuka sana kufanya jambo litakalopelekea kukabiliana na Russia moja kwa moja. Umejiuliza kwanini?

Umeshawahi kumsikia Russia akisema anakwepa kukabiliana na USA? Au alikaribisha yeyote anayetaka kuingia kwenye mtanange,jeshi lake liingie tuu Ukraine!
Magharibi ndio wanamkwepa. Kawafata Sirya akawazuia kumuondoa madarakani Asad. Kawafata Venezuela, kawazuia kumuondoa Maduro madarakani.
Tafakari

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app

Kila anapotua mguu Russia hao USA na hao NATO lazma wakimbie, Mrussi sio mtu mzuri
 
Polish President Andrzej Duda signed a decree imposing a complete embargo on the import of coal and coal coke from Russia and Belarus.

The document also provides for the possibility of freezing the assets of legal entities and individuals "supporting the aggression of the Russian Federation against Ukraine," write the Polish media.
Galip S-22
20220413_132729.png
 
Huu uzi ni Waswahili, weka taarifa yako kwa lugha ya Kishwali. Uache copy and paste.
Mkuu sio lazima wote tuelewe, mwache atumie lugha ambazo zinaeleweka kwa watanzania walio wengi, je angeiweka kwa kirusi si ingekuwa balaa!!!
 
Hao mashoga hawajaingia kijeshi moja kwa moja. Wanachofanya NATO ni biashara ya silaha kwa kuwakopesha wajinga,Ukraine.
Hebu wathubutu kuingiza jeshi lao waone. Huyo mkuu wa mashoga kila siku kwenye hutuba zake anasema Marekani inaepuka sana kufanya jambo litakalopelekea kukabiliana na Russia moja kwa moja. Umejiuliza kwanini?

Umeshawahi kumsikia Russia akisema anakwepa kukabiliana na USA? Au alikaribisha yeyote anayetaka kuingia kwenye mtanange,jeshi lake liingie tuu Ukraine!
Magharibi ndio wanamkwepa. Kawafata Sirya akawazuia kumuondoa madarakani Asad. Kawafata Venezuela, kawazuia kumuondoa Maduro madarakani.
Tafakari

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Chukua hii video ya kukazia maelezo yako... Msikilize huyu mama anavojing'ata [emoji1787] Anadai eti Putin anawekea "trap" wao kuingia Ukraine, hivo hawataenda kwasabab itahatarisha usalama wa dunia [emoji847]
 
Russian air defense systems in the area of the village of Gorodnya, Chernihiv region, while returning to the air base of the S-400 air defense system, shot down a Ukrainian Mi-8 helicopter, which attacked the inhabitants of the peaceful settlement of Klimovo in the Bryansk region on April 14, the Russian Defense Ministry said.
Galip S-22
20220413_132729.png
 
Najaribu kuwa makini, wewe je!

Kama utaona hapo nimesema malengo ni matatu au manne alafu nikataja matatu, kwa nini!?

Kwa sababu;
1. Hayo matatu ndio yaliyotajwa na Putin mwenyewe ile siku anatangaza kuanza kwa operesheni
2. Hilo moja limewahi kutamkwa na maafisa wa ngazi za juu wa kremlin hata ikiwemo na Putin mwenyewe kwamba wako against na ukraine kujiunga NATO.

Kwa hiyo malengo ni matatu hayo nliyoyataja na hilo moja limeqahi kutajwa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kila swali unalotoa najarib kuzungukia kila reply nione ka nitakutana na majibu yake ila waaaapi. Nahisi kitakachofata utaanza kuulizwa na wewe like "unajua "kingereza" weye[emoji848]
 
Najaribu kuwa makini, wewe je!

Kama utaona hapo nimesema malengo ni matatu au manne alafu nikataja matatu, kwa nini!?

Kwa sababu;
1. Hayo matatu ndio yaliyotajwa na Putin mwenyewe ile siku anatangaza kuanza kwa operesheni
2. Hilo moja limewahi kutamkwa na maafisa wa ngazi za juu wa kremlin hata ikiwemo na Putin mwenyewe kwamba wako against na ukraine kujiunga NATO.

Kwa hiyo malengo ni matatu hayo nliyoyataja na hilo moja limeqahi kutajwa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
huwezi kuacha kuitaja sababu kubwa ya 🇷🇺🇷🇺🇷🇺 kuivamia 🇺🇦🇺🇦🇺🇦 then ukataja minor reasons. Tena hizo sababu ndogo ameanza kuziibua wakati vita ikiendelea . labda nikuulize nikwanini 🇷🇺🇷🇺🇷🇺 ametishia kuwapiga Sweden na Finland?
 
There were no soldiers here. They fought - they killed us and smashed houses. These are fascists... Worse than fascists! This is Azov.

Residents of Mariupol told what they had to endure from the actions of Ukrainian nationalists:

“They shot all the civilians and took them hostage. Hostages were held at the plant and they themselves were imprisoned there. Nobody was released. Children were shot, everyone was shot in a row”;

“We were without water at all. Drank all the water from the heating. For a month we live on the water that was drained from the batteries.

One of the men added that the Azov people looted all the shops, first of all they took medicines, bandages and alcohol.

Video of the People's Militia of the DPR.
Galip S-22
20220413_132729.png
 
The main thing from the statement of the Russian Ministry of Defense about the special operation at 10:00:

- in Mariupol, a group of Russian troops and units of the People's Militia of the DPR completely liberated the metallurgical plant named after Ilyich from Ukrainian nationalists;

- at night, Caliber missiles hit a military facility on the outskirts of Kyiv;

- as a result of the strike on the Zhulyansky machine-building plant "Vizar", the workshops for the production and repair of long-range and medium-range air defense systems, as well as anti-ship missiles, were destroyed;

- the number and scale of missile strikes against objects in Kyiv will be increased in response to the commission by the Kiev nationalist regime of any attacks of a terrorist nature or sabotage on Russian territory;

  • Russian air defense systems in the area of Gorodnya, Chernihiv region, while returning to the air base of the S-400 air defense system, shot down a Ukrainian Mi-8 helicopter, which attacked the inhabitants of the peaceful settlement of Klimovo in the Bryansk region on April 14;
  • A Su-27 fighter of the Armed Forces of Ukraine was shot down in the Lozova area in the Kharkiv region;

- Eight Ukrainian UAVs were also shot down in the areas of Izyum, Levkovka, New Astrakhan, New Kuban, Schastlivy, Chernobaevka, Chernovy Sokol;

- during the night, seven enemy targets were hit by high-precision air-launched missiles.

Among them: in the area of Yasenovy, a Tochka-U tactical missile launcher and a temporary deployment point of a Ukrainian nationalist formation were destroyed, including up to 20 armored vehicles and up to 50 nationalists;

in the areas of Dergachi, Novoelizavetovka, Povstansky, accumulations of Ukrainian military equipment and weapons were destroyed;

in Nikolaev and Parutin, warehouses of rocket and artillery weapons and fuel were destroyed;

- as a result of the strike, a detachment of mercenaries of a Polish private military company was liquidated by rocket troops in Izyumsky, Kharkov region, up to 30 Polish mercenaries were destroyed;

- 221 military facilities of Ukraine were also hit, including 12 command posts, 176 strongholds and enemy manpower concentration areas, 12 artillery firing positions were suppressed;

- operational-tactical aviation destroyed 13 military facilities of Ukraine overnight. Among them are two depots of rocket and artillery weapons and ten areas of concentration of personnel and Ukrainian military equipment;

- Army aviation in the areas of Gusarovka and Volobuevka destroyed accumulations of manpower and Ukrainian military equipment, including three strongholds, nine armored vehicles and vehicles for various purposes.

Galip S-22
20220413_132729.png
 
Mimi Kuna vitu nimewapuuzia sana Pro Russia, yaani Kuna vitu wakisema unaweza ukazani Russia ana humuimu wa aina yake Duniani.. mfano ni trade Kati ya India na Russia yaani hata kabla ya Vita ukiangalia mataifa yanayofanya trade na India, Russia haipo hata top 20, ukija Africa ukitafuta mashirika ya Ndege ya yanayotumia Ndege zinazoundwa Russia utatafuta kwa tochi, Sasa uje kwenye magari, labda lugalo tu ndio utayakuta...

Russia anapewa humuimu usio wa lazima
Sio "Humuimu"
Ni "Umuhimu"
 
Okey boss, ngoja niweke alichosema.

“We will seek to demilitarise and denazify Ukraine, as well as bring to trial those who perpetrated numerous bloody crimes against civilians, including against citizens of the Russian Federation,”

"I have a few words for those who could feel tempted to interfere with ongoing developments: whoever tries to impede us, let alone create threats for our country and its people must know that the Russian response will be immediate and lead to the consequences you have never seen in history,"

Hichi ndicho anachokifanya Urusi pale Ukraine. Sasa kama ni kumpima tunampima kwa haya matamshi yake na si mbwembwe nyingine zozote zinazopostiwa humu wala kejeli.

Sasa cha kujiuliza ni:
Puttin tayari kaweza kuidemilitarize na kuidenazify Ukraine na kuna aliyepelekwa kwa trial kama alivyotamka? Kama bado ni kwanini? Kama tayari kwanini bado OP inaendelea?

Swali la pili ni kweli hakuna walioingilia Operation yake na je kama wapo walioingilia amefanya kama alivyoahidi atafanya kwa yoyote atakayeingilia? Kama hajaingiliwa Ukraine inastahili pongezi kumzuia mpaka sasa?

Haya mambo mengine yooooooote ni changamsha kijiwe tu na kugombana kusiko na maana yoyote kati ya wanaosapoti na wasiosapoti.
Ukiachana na hilo la kuingilia watafanywaje hayo mengine nahisi hatuwezi kuyafikia hitimisho
Kwasababu bado yanaendelea ila ukiangalia kwakiasi fulani hili la demilitarize limefanikiwa pakubwa sana nadhani ukimfatilia KOMEDIAN unaweza ukanielewa ama ukaelewa
 
Hao mashoga hawajaingia kijeshi moja kwa moja. Wanachofanya NATO ni biashara ya silaha kwa kuwakopesha wajinga,Ukraine.
Hebu wathubutu kuingiza jeshi lao waone. Huyo mkuu wa mashoga kila siku kwenye hutuba zake anasema Marekani inaepuka sana kufanya jambo litakalopelekea kukabiliana na Russia moja kwa moja. Umejiuliza kwanini?

Umeshawahi kumsikia Russia akisema anakwepa kukabiliana na USA? Au alikaribisha yeyote anayetaka kuingia kwenye mtanange,jeshi lake liingie tuu Ukraine!
Magharibi ndio wanamkwepa. Kawafata Sirya akawazuia kumuondoa madarakani Asad. Kawafata Venezuela, kawazuia kumuondoa Maduro madarakani.
Tafakari

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Tuachane na Urusi na USA sijui u NATO twende katika wanachotenda field.

Urusi anaziheshimu nchi mwanachama wa NATO au nchi yenye uwezo mkubwa kivita na humuoni akizishambulia badala yake inaishambulia Ukraine sababu anajua haina uwezo mkubwa wa kudhuru raia wa Urusi ndani ya Urusi.

USA na NATO wanaiheshimu Urusi na hawajathubutu kuishambulia Urusi moja kwa moja ingawa wanampa silaha Ukraine ili kumpa uhai na uwezo wa kuendeleza mapigano huku Urusi akijua hilo na bado hapeleki mashambulizi kule kwenye kisababishi kikuu yeye anaendelea kuipiga Ukraine.

Sasa hii tafsiri yake ni kwamba hawa wawili Urusi na USA ni giants katika vita na ni bullies kwa nchi ndogo zisizo na uwezo wa kivita na wanashambulia nchi zenye uwezo mdogo kivita sababu raia wao watabaki kuwa salama nchini kwao wakati vita ikiendelea.

Hili ndilo ninalolipinga mimi. Kuwa bully kwa nchi zenye uwezo mdogo kwa sababu hazina uwezo wa kutuma bomu lenye madhara nchini kwako.

Huwa nina swali nauliza, China ingepata raisi wakafikiria kuungana na Ulaya kijeshi na USA je Urusi angeivamia? Au angetaka diplomacy itumike?
 
Kila nikikumbuka wiki ya kwanza propaganda za west eti Russia hakujiandaa hii vita, askari hawana motivation, wamevamia kipindi cha barafu kali hivyo vifaru havitaweza kufika ndani ya Ukrain.
Sasa nashanga vita inapiganwa kyvi,butcher, Marialpol nk swali je warusi wamefikaje fikaje huko huku wakiwa hawana sopre parts bad logistic, vifaa vibovu nk ?
West kwny propaganda wame-invest heavily,Ila kitu kimoja nilichokipenda khs hii Vita mainstream media zote/sijui hizo CNN,BNC,SKYNEWS etc/Twitter/FB/YouTube etc watu wameshazijua Ni propaganda machines na baada ya hii Vita vinaenda kupoteza mashabiki Sana.

Wazungu walitumia akili Sana kwny propaganda,fikiria mtanzania wa kawaida anaesikilia Radio Free Africa(RFA):

Ile ameamka tu saa 6:00 asubuhi anasikiliza DW Swahili/BBC idhaa ya kiswahili.

Mchana saa 1:00 kamili mpk -2:00 kamili anasikiliza DW Swahili.

Jioni saa 6:00 anaanza kusikiliza Dw Swahili mpk saa 6:30 jioni ,then from hiohio saa 6:30-Mpk saa 7:30 usiku anasikiliza BBC Swahili na from hio 7:30-8:00 usiku anaunganishwa na VOA(Voice of America) ya kiswahili (ya wale watangazaji wakina Vincent makori) after hapo saa 9:00-9:30 usiku anaangalia wakina Salim kikeke kwny BBC Swahili (kupitia Star tv).

Siku nzima mtu anashinda anamezeshwa uongo wa wazungu, kiukweli tulichelewa Sana kuwafahamu wazungu lkn hizi propaganda zao kwa generation ya Sasa hivi zinaenda zinakufa/kufifia maana watu kwa sasa wana njia nyingi za kupata habari from independently sources.
 
The complex is designed to jam short-wave radio communication lines at a range of up to 5 thousand kilometers, which blinds enemy command posts. Murmansk can also conduct radio reconnaissance and intercept enemy signals.
Eti nasikia hiyo kitu imetengenezwa na Mmarekani [emoji1787] Russia hana technology yoyote ya maana.
 
Ukraine has become the first country in the world to have neo-Nazi units in its army. It is, in particular, about "Azov".

Until recently, the West was horrified by the actions of its militants: torture, human shields, executions of prisoners.

They also resented the statements of Andrei Biletsky, one of the founders of Azov. For example, such: "The historical mission of the Ukrainian nation is to lead and lead the white peoples of the whole world in the last crusade ... against subhumanity led by the Semites."

But now, for many, neo-Nazis have become nationalists, war criminals have become patriots.

About this massive change of shoes - in the story of our presenter Don Korter.
Galip S-22
20220413_132729.png
 
Back
Top Bottom