mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Kama una ndugu yako maeneo ya kiev mwambie arudi mapema kwenye andaki.vitu vinaelekea kazini
Jibu ni angetaka diplomacy, the same anachosema kuhusu Finland na SWEDEN kuingia NATO angekifanya kwa Ukraine kuimarisha Ulinzi wa mpaka wake na UkraineTuachane na Urusi na USA sijui u NATO twende katika wanachotenda field.
Urusi anaziheshimu nchi mwanachama wa NATO au nchi yenye uwezo mkubwa kivita na humuoni akizishambulia badala yake inaishambulia Ukraine sababu anajua haina uwezo mkubwa wa kudhuru raia wa Urusi ndani ya Urusi.
USA na NATO wanaiheshimu Urusi na hawajathubutu kuishambulia Urusi moja kwa moja ingawa wanampa silaha Ukraine ili kumpa uhai na uwezo wa kuendeleza mapigano huku Urusi akijua hilo na bado hapeleki mashambulizi kule kwenye kisababishi kikuu yeye anaendelea kuipiga Ukraine.
Sasa hii tafsiri yake ni kwamba hawa wawili Urusi na USA ni giants katika vita na ni bullies kwa nchi ndogo zisizo na uwezo wa kivita na wanashambulia nchi zenye uwezo mdogo kivita sababu raia wao watabaki kuwa salama nchini kwao wakati vita ikiendelea.
Hili ndilo ninalolipinga mimi. Kuwa bully kwa nchi zenye uwezo mdogo kwa sababu hazina uwezo wa kutuma bomu lenye madhara nchini kwako.
Huwa nina swali nauliza, China ingepata raisi wakafikiria kuungana na Ulaya kijeshi na USA je Urusi angeivamia? Au angetaka diplomacy itumike?
Umenifanya nicheke peke yangu hadi watu wamenishangaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiki ndicho kile kizazi ukiingia FB kwenye 'About'... Utakuta hivi...
Born in California
Lives in Texas
Study....Washington
Works at Apple Inc.
Profile Sura ya Obama, Beyonce au Kardashian.
Uandishi wake Hai gayzi ham hangiri keni ene wani kamu tu mi au kapost picha ya Lil Wayne af caption She's my favourite bongo fuleva artist [emoji1787]
Utakiambia nini jui ya US hiki kikuelewe [emoji848]
Sawa. Sasa nikuulize, ukiachana na suala la kusapoti urusi au ukraine. Wewe unazungumziaje suala la nchi moja kuivamia nchi nyingine yenye uwezo dhaifu kijeshi? Unaona ni sahihi?Shukrani, twende sawa
*Kuhusu kuingilia nafkiri hapa umechanganya maana mwanzo uliniuliza russia aliwaambia nini wanajeshi wa ukr hapa umeleta alichowaambia kwa yeyote atakayeingilia (meaning taifa jengine).
1. Kuhusu taifa jengine kuingilia mpka sasa hv hakuna taifa lililoingilia kwenye uwanja wa mapambank kwenda kumrudisha nyuma urusi. Labda tutatofautiana kwenye definition ya 'kuingilia'.
Kwangu mimi kupeleka silaha ndogo ndogo za kujilinda (defensive) bila kupeleka jeshi na silaha za maana bado hakujaqualify kuitwa 'kuingilia. Na hili USNATO wote wanajua. Na ndio maana utaona wanakuwa makini sana wasijewakafanya jambo ambalo likatafsiriwa kama 'kuingilia' na russia ikarespond kupelekea direct confrontation ya usnato na Russia. Yapo mambo mengi ambayo USNATO hawajayafanya wakihofia yatatafsiriwa kama 'kuingilia' ukitaka tutayataja.
Kwangu mimi kuingilia ni kupeleka jeshi, na zana kubwa kubwa advanced za kivita kama ambavyo us walifanya israeli wakati ussr wanataka kuwasaidia waarabu dhidi ya israel au kama ambavyo us amefanya koreà wakati wa vita vya korea au kama ambavyo russia wamefanya syria
2. Demilitarize & denazify
- Utaona zelensky anaomba masaada wa silaha kila mara anapohutubia mabunge tofauti duniani. Hii inaonesha jeshi lake limeishiwa. Kama unataka tutaonesha pia by numbers namna military infrastructures za ukraine zimeharibiwa.
- denazification kama ni kesi mahakamani tusubirie mpaka vita viishe
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Naongezea na hii au RUSSIA alivyopeleka Tu bomber kule CARACUSShukrani, twende sawa

Kwahiyo mmeacha kumdharau Zelensky mliyekuwa mnamuita Joti?
Malengo ya Urusi wakati anaanzisha operation ni yapi na kati ya hayo ni lipi limetimia. Kama hawana lengo la kuiteka walipeleka majeshi yao kufanyaje au kuna drills walikaribishwa wafanye.
Lengo la Ukraine ni kujilinda na kujitetea. Wewe mwenyewe najua unajua progress ya lengo hilo.
Putin atamkamataje Zelensky? Kwani mpaka Putin anawaambia wanajeshi wa Ukraine wampindue Zelensky ile wiki ya kwanza lengo lake lilikuwa nini. Kadyrov si anashinda Tiktok na vitisho vyake vilikuwa ni hivyo.
Tuachane na Urusi na USA sijui u NATO twende katika wanachotenda field.
Urusi anaziheshimu nchi mwanachama wa NATO au nchi yenye uwezo mkubwa kivita na humuoni akizishambulia badala yake inaishambulia Ukraine sababu anajua haina uwezo mkubwa wa kudhuru raia wa Urusi ndani ya Urusi.
USA na NATO wanaiheshimu Urusi na hawajathubutu kuishambulia Urusi moja kwa moja ingawa wanampa silaha Ukraine ili kumpa uhai na uwezo wa kuendeleza mapigano huku Urusi akijua hilo na bado hapeleki mashambulizi kule kwenye kisababishi kikuu yeye anaendelea kuipiga Ukraine.
Sasa hii tafsiri yake ni kwamba hawa wawili Urusi na USA ni giants katika vita na ni bullies kwa nchi ndogo zisizo na uwezo wa kivita na wanashambulia nchi zenye uwezo mdogo kivita sababu raia wao watabaki kuwa salama nchini kwao wakati vita ikiendelea.
Hili ndilo ninalolipinga mimi. Kuwa bully kwa nchi zenye uwezo mdogo kwa sababu hazina uwezo wa kutuma bomu lenye madhara nchini kwako.
Huwa nina swali nauliza, China ingepata raisi wakafikiria kuungana na Ulaya kijeshi na USA je Urusi angeivamia? Au angetaka diplomacy itumike?
Aisee mkuu umemaliza kila kitu,na kwny ile post ya mkuu Galip S-22 alivyoeleza Ni kwanini Russia haimalizi Vita haraka na Ni kwanini haiwafungii mabomba yake ya gas EU nilizidi kupanuka mawazo.Kabisa MKUU hizo media kupitia huu mgogoro zimedharaulika sanaa
Ukipitia kwenye social media zao utaliona hili
Yaani jamaa wakiweka habari ambayo ipo against RUSSIA hatakama iwe kweli RAIA wanaipinga kabisaaa
Jamaaa wakieka habari nzuri kwa RUSSIA hatakama yauongo RAIA wanaiunga mkono vibaya sanaa
Watu wengi huko wanapinga mauaji ila wanakwambia kwawaloyafanya wamagharibi yakakaliwa kimya je hamukuyaona kwahio wanasapoti RUSSIA ila wanashauri wasiue RAIA
Kuna muda namuelewa bro Galip S-22 kwenye uchambuzi wake niki connect dot jamaa wanataka kuuvunja ubabe wa US uliodumu tokea anguko la USSR nanaona qadri mgogoro unavyozidi kuchelewa kumaliza ndio qadri US na shost zake wanavyopoteza sifa
Tukianzia kuanza kuwabembeleza mataifa ya AFRIKA wakemee OP ya RUSSIA lakini wengi wao wamekaa KIMYA haimaanishi kuiunga mkono ila walau inaonesha kua against na WEST na US
Tukiendelea kwenye mataifa ya ARAB yalipogoma kupokea simu za US tukija hapa kwa INDIA alowaambia kama yeye ananunua kidogo kuliko wao hvyo hawezi akaacha kununua
Tukienda kule VENEZUELA jamaa alipoenda kuomba jamaa wafidie gape majamaa wakamkazia
Kiufupi US na WESTERN wanazidi kuendelea kupoteza ushawishi wao kwakasi kubwa sanaaa
Yaani nahisi tulikua bado sisi AFRIKA ndio wengi hatujauelewa USHEITWANI wa WEST ila kupitia huu mgogoro nimeona wengi wamezidi kuamka kuhusiana na na hawa WEST
RUSSIA sio ZIMBABWE
Okey mkuu...Russia sio nchi yenye kupenda ugomvi. Ndio sababu ukiangalia jeshi lake limekaa kujilinda zaidi. Ugomvi wake mkubwa ni kwanchi majirani zake kutaka kumkaribisha adui yake mkubwa. Marekani. Wamkaribishe karibu na mipaka yake.
Marekani anajulikana kwa unafiki,uchokozi na kutothamini wenzake. Akiwa karibu atalazimisha Russia muda mwingi awe vitani. Na kwakuwa ye Marekani atakuwa mbali,miji yake haitaathirika.
Hicho ndicho asichokitaka Russia. Ndio maana hamlazimishi yeyote kuwa upande wake. Na hataki jirani yake amkaribishe adui yake mlangoni kwake. Ndio sababu alimtaka Ukraine awe taifa lisilofungamana na upande wowote. Lakini raisi wa Ukraine akachagua upande. Akaanza kuwakaribisha maadui kuweka maabara za kutafiti silaha za kikemikali na kibaolojia,kabla hata hajapokelewa NATO. Hivyo Russia kaamua kumzuia
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Eti nasikia hiyo kitu imetengenezwa na Mmarekani [emoji1787] Russia hana technology yoyote ya maana.
Na mimi na mute kila saa hot news hot new huku tunachambua tarifa sio kutupia mataarifa ya kucopy na kupaste ht yeye mwenyewe hayaelewiUyo jamaa wa hot news uwa ana nikera sana ngoja na mimi ni mute.
Umeandika upupu, hata iungane dunia nzima Russia haanguki leo wala kesho.
Sahihi.Jibu ni angetaka diplomacy, the same anachosema kuhusu Finland na SWEDEN kuingia NATO angekifanya kwa Ukraine kuimarisha Ulinzi wa mpaka wake na Ukraine
Iwe kwa US RUSSIA NATOSawa. Sasa nikuulize, ukiachana na suala la kusapoti urusi au ukraine. Wewe unazungumziaje suala la nchi moja kuivamia nchi nyingine yenye uwezo dhaifu kijeshi? Unaona ni sahihi?
Biden's trip to Ukraine after his announcement of his readiness to visit Kyiv is not planned, the White House said.
Galip S-22 View attachment 2188436
Nimeona mechi yenu ya kiutu uzima nami niongezee.Jibu ni angetaka diplomacy, the same anachosema kuhusu Finland na SWEDEN kuingia NATO angekifanya kwa Ukraine kuimarisha Ulinzi wa mpaka wake na Ukraine
Umeongea point nzuri sana mkuu. Na hili ndilo tunatakiwa tulipinge na si kuchukua upande na kuanza kuparuana.Iwe kwa US RUSSIA NATO
Suala lakuivamia nchi nyengine bila yasababu halikubaliki nawala sio lakushadidiwa wala lakuungwa mkono nahalifai hata robo!!!
Mkuu acha uongo, si tuliambiwa wanajeshi wa Russia hawana kabisa morali ya kupigana na wamebakiza chakula Cha siku 3 tu?Hii lazima Ni Photoshop kutoka Moscow.Kama una ndugu yako maeneo ya kiev mwambie arudi mapema kwenye andaki.vitu vinaelekea kazini
Wewe unastahili kua kwny ignore list.Na mimi na mute kila saa hot news hot new huku tunachambua tarifa sio kutupia mataarifa ya kucopy na kupaste ht yeye mwenyewe hayaelewi
Sent using Jamii Forums mobile app