Okey boss, ngoja niweke alichosema.
“We will seek to demilitarise and denazify Ukraine, as well as bring to trial those who perpetrated numerous bloody crimes against civilians, including against citizens of the Russian Federation,”
"I have a few words for those who could feel tempted to interfere with ongoing developments: whoever tries to impede us, let alone create threats for our country and its people must know that the Russian response will be immediate and lead to the consequences you have never seen in history,"
Hichi ndicho anachokifanya Urusi pale Ukraine. Sasa kama ni kumpima tunampima kwa haya matamshi yake na si mbwembwe nyingine zozote zinazopostiwa humu wala kejeli.
Sasa cha kujiuliza ni:
Puttin tayari kaweza kuidemilitarize na kuidenazify Ukraine na kuna aliyepelekwa kwa trial kama alivyotamka? Kama bado ni kwanini? Kama tayari kwanini bado OP inaendelea?
Swali la pili ni kweli hakuna walioingilia Operation yake na je kama wapo walioingilia amefanya kama alivyoahidi atafanya kwa yoyote atakayeingilia? Kama hajaingiliwa Ukraine inastahili pongezi kumzuia mpaka sasa?
Haya mambo mengine yooooooote ni changamsha kijiwe tu na kugombana kusiko na maana yoyote kati ya wanaosapoti na wasiosapoti.
Yes yes umenena vyema na maswali ulouliza mazuri hayajakaa kiushabiki kama asili ya uzi ulivo.
Ntajarib kukujibu ila note ni mtazamo wagu kulingana na kile nachokiona na wala sio kwamba namnukuu flani kasema.
Swali la kwanza kuhusu lengo la demilitarization... Naweza sema kafanikiwa kwa zaidi ya 70%. Ukizitizama data za vifaa na military base zilizokuepo kabla y OP na hivi sasa kilichosalia ni kidogo mno tena mno.
Kwa hili hata kama data zinazotolewa na Russia hazitakuwa sahihi zinaeza thibitishwa na Ukraine wenyewe. Kil siku wanapewa dozen of weapons, kwa mujib w pentagon ni karib 6 to 8 times a day ila nawe shahidi wa kila leo Ukraine anaomba silaha mpya kutoka Western.
Demilitarization kwa tafsiri nayoifaham ni kuharibu miundo mbinu ya kijeshi, kama si hiyo basi utanisahihisha. Kwa tafsiri hii nayoijua Miundo mbinu ya kijeshi ndani ya Ukraine more than 70% imeshaharibiwa.
Kuhusu swali lako la pili, ka huwa unazisikiliza kauli za viongozi wa western vizuri kuna hili neno limekua likijirudia mara kwa mara
"avoiding direct confrontation with Russia so as to not escalate the situation beyond Ukraine"...
Hiyo ni kama Official statement kua sisi hatuhusiki, ingawa ukiangalia unaona wanahusika japo nyuma ya pazia.. kupitia Mercenaries wengi tu kutoka nchini kwao na hao viongozi wa NATO ambao wapo hapo Ukraine. Wako pale unofficial na wana fight hard against Russia.
So ka kweli mstaarab huezi kurupuka tu na kuanza kushambulia hizo nchi zaidi ya 32... Ambao media zatangaza hawatak kujihusisha ingawa nyuma ya pazia wanajihusisha. Hapo moja kwa moja Russia ndie ataoneka mgonvi...
Mfano wa namna hii nakupa hii video ya nyuma umskilize mshauri mkuu w Zelensky na Mzee mmoja hivi kutoka US walivokuwa wanapanga kumuingiza Russia Ukrakne... Ingawa sa hivi wanadai Russia ni Aggressive na kaanzisha Unprovoked war against Ukraine.
Hii ya kwanza msikilize huyu wakati anahutubia Congress... Anakwambia wataivuta Russia Ukraine, na watapigana na Russia Ukrakne wala sio kwenye Ardhi yao hapo US.
View attachment 2188439
Hii ya pili Msikilize huyu anakwambia in order to join NATO, inabidi waingie Full scale war with Russia... Na wakiwa na matumaini kua watyamshinda Russia kisha wanaingia NATO kwa mserereko... Ukiisikiliza video vizuri anasema kabisa itakuw something between 2020 up to 2022... Hii inakupa tafsir kabisa huu mchakato haujaanza jana.
View attachment 2188442