Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Ni vita au Operation?Sawa imezama,sio ndio vita ilivyo?
Ni vita au Operation?Sawa imezama,sio ndio vita ilivyo?
Mapenzi kitu kibaya sana.Hapana sio kwamba nabishana, Taarifa iliyotolewa na wao niliyoisoma inasema "Moskva flagship Cruiser sinks while Being Towed to Port ..."
Ilizama akati inavutwa sio kwamba imzama baada ya kupigwa.
Mfano itokee ajali gari liwake, lije tow lianze kuivuta, njiani wakati linavutwa lidondoke... Hii kauli ya kusema kua Gari limewaka lkapinduka kwako ni sahihi?
Ilikuwa inapita Nungwi hio ha ha haAmid poor condition 😀😀😀🏃🏃🏃
Ulichoandika ni maoni yako. Tunahitaji facts zaidi tuweze kuamini. Na Hata kama Russia aliishambulia Ukraine kutokea mbinguni haithibitishi lengo lilikuwa 'kuiteka' Ukraine.Huitaji kuwa na miaka 800 kujua lengo la Russia kwenda Ukraine lilikuwa kubadili utawala, na lengo la Russia ilikuwa kuuteka mji wa Kiev ambao ni seat of power ya Serikali ya Ukraine.
Pia kupitia aina ya Mashambulizi ambayo Russia ilifanya 24-Feb.. Russia siku ya kwanza ilifanya mashambulizi Kutokea Angani, Majini, na nchi Kavu, Russia iliivamia Ukraine kutokea Russia, Beralus na Krimea, that was a full scale invasion na zaidi Putin alitoa wito kwa Askari wa Ukraine Wasipigane badala yake Wamtoe Rais wao madarakani, hili tu linatosha kuona kuwa Putin alishindwa kuwashawishi Waukraine
So Russia ilienda Ukraine ili watu wake wafe?Ulichoandika ni maoni yako. Tunahitaji facts zaidi tuweze kuamini. Na Hata kama Russia aliishambulia Ukraine kutokea mbinguni haithibitishi lengo lilikuwa 'kuiteka' Ukraine.
Mtuambie nyie mnaosema lengo lilikuwa kuiteka ukraine ili iweje!? Ipi succession plan baada ya kuisalimisha Ukraine kwenye himaya ya Russia.
Nyingine ulizojaza hapa ni assumptions tu. neither here nor there. Lengo la Russia ni kuiteka kiev blah blah
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
🤣🤣 hawa watu wanahitaji ushauriMapenzi kitu kibaya sana.
Haya kulitokea itilafu ya umeme ikawaka moto na wakati wa kui tow bahati mbaya ikazama. Hii kweli Mv Mapinduzi.
Yamekwisha ilipita Nungwi ikazama.
Kwa mujibu wa Putin mwenyewe kwa mdomo wake malengo yalikuwa mtatu kam sio manne. Refer hotuba yake akitangaza kuanzisha operesheni y kijeshi Ukraine.kujua km kashndwa au hajashindwa ni lazima tujue kwnz malengo yak ni yapi, as long as hatujui malengo haswa ya putin ni yapi ni ngumu kusema kachemka au vp, sema kila mtu anajaribu kuanalyze kadri ya upeo wake malengo ya urusi ni yapi then kulngana na current situation ameshindwa au lah, so ni mtazamo tu
Hili swali umeliuliza ila halijibiwi kwa sababu unatumia neno kuteka.Ulichoandika ni maoni yako. Tunahitaji facts zaidi tuweze kuamini. Na Hata kama Russia aliishambulia Ukraine kutokea mbinguni haithibitishi lengo lilikuwa 'kuiteka' Ukraine.
Mtuambie nyie mnaosema lengo lilikuwa kuiteka ukraine ili iweje!? Ipi succession plan baada ya kuisalimisha Ukraine kwenye himaya ya Russia.
Nyingine ulizojaza hapa ni assumptions tu. neither here nor there. Lengo la Russia ni kuiteka kiev blah blah
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ni technolojia gani Urusi ananunua kutoka India!? Tena yenye mkonk wa marekani
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Waliowa Bucha na wanaouwa kwa makombora kutokea Russia na Belarus ni ngedere.
Hana uwezo wa kutumia ndege kwenye anga la Ukraine.
Kwa mujibu wa Putin mwenyewe kwa mdomo wake malengo yalikuwa mtatu kam sio manne. Refer hotuba yake akitangaza kuanzisha operesheni y kijeshi Ukraine.
1. Demilitarize ukr
2. Denazify ukr
3. Russian speaking Ukrainians kwenye eneo la donbass
Kushindwa ni kupi mpaka sasa kama malengo yalikuwa hayo.
Watu (Pronato) hawataki kuanalyze achievement za urusi kwa kuzingatia malengo hayo bali wao wanasema lengo ilikuwa kuiteka ukr. Sijui wamepata wapi lengo hilo ukiwauliza hawakupi majibu makini. Kwa sababu hawana majibu. Na hawana majibu kwa sababu hilo sio lengo.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
INTEL: U.S. Delta Forces and U.K. "SAS" Fighting inside Ukraine since February!
A source in the French intelligence community reportedly informed a Le Figaro reporter last week that elite special forces from the UK and the US have been deployed in Ukraine since the start of hostilities with Russia in late February.
The claim was made public by the newspaper’s senior international journalist Georges Malbrunot on Saturday, the same day that British Prime Minister Boris Johnson paid an unexpected visit to Kiev. Although this information has not been officially confirmed, the British leader was reportedly accompanied by special SAS guards.
SAS units “have been present in Ukraine since the beginning of the war, as did [sic] the American Deltas,” Malbrunot tweeted, citing a French intelligence source. He went on to say that Russia was well aware of the “secret war” waged against its troops by foreign commandos, according to the source. His information was mentioned in Le Figaro’s Ukraine updates.
The French journalist who returned from Ukraine after arriving with volunteer fighters told broadcaster CNews that "Americans are directly “in charge” of the war on the ground."
The United Kingdom and the United States have been among Kiev’s most ardent military supports. Johnson is said to have personally urged his Ukrainian colleague, Volodymyr Zelensky, to continue fighting Russia until better terms are presented.
Vita ndio mpango halisi wa shetani. Ungekuwa unamchukia sana shetani ungeanza kwa kumlaani Putin.

Kwa hiyo hiyo ndio namna (methodology) iliyokufikisha kwenye kuamua kwamba lengo lilikuwa kuiteka Ukr!?So Russia ilienda Ukraine ili watu wake wafe?
Ni technolojia gani Urusi ananunua kutoka India!? Tena yenye mkonk wa marekani
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
NATO=NO ACTION TALK ONLY.
Uelewa wako ni mdogo sana. Hebu chunguza wanaoshabikia wamagharibi,asilimia kubwa kama si mashoga basi watakuwa na homoni za kikeHuyu kuna kitu katika maisha yake binafsi au familia yake hakipo sawa na pengine ana muathirika wa karibu sana wa hiyo tabia,matokeo yake ndiyo haya ya kila mahari kuongelea hilo swala.Asipojitambua na kupata msaada wa kisaikolojia atazidi kuharibikiwa zaidi.