Ingependeza pro nato wangekuwa na aina hiyo ya news. Very brief na inaeleweka. Badala yake wamejaza vi emoji tuHata me namkubali Sana huyu NYUNDO YA MOTO

Empty headUkiona unakereka humu rudi huku
[emoji3][emoji3] [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2188267
Nafikiri kwa vile wengi wetu ni vijana na wengi wetu ndiyo tunashuhudia kwa kuona military operation ama vita vinakuwaje kwa nukta ya kuwa zao la manufaa ya mitandao ya kijamii inatusaidia kuona kile ambacho mara nyingi kilikuwa cha kufichwa.
Historia ama movie ama kwa kile ambacho tunakishuhudia upande mmoja unapofanya mashambulizi dhidi ya upande mwengine ama kile tunachoonyeshwa baada ya mashambulizi kimetuathiri na tumekuwa na matawi mengi ya fikra kwa kutoa mawazo yetu kwa kuona hapa ni alama A hapa ni F.
Tukubali vita ni sanaa kama sanaa nyengine. Kama sanaa inavyokuwa na ubunifu zaidi vita nazo zina mbinu. Sanaa ya maigizo ipo wazi sanaa ya vita kwa asilimia kubwa ni yenye kufichwa. Muda mwengine nyote mnaweza msielewe, muda mwengine wahusika wenyewe ndiyo wanajua wanachokifanya ni kipi!
Tunaweza tukawa tunajua mwisho wa hiki kinachoendelea baina ya Russia na Ukraine lakini isiwezekane kujua ni njia ipi itakayotumiwa. Pentagon imesema kinachoendelea Ukraine wenyewe hawajui Russia anatumia mbinu gani. Waliyobahatika kufafanua walielezea hivi unachokizungumzia: Russia ilionyesha msafara ule kuelekea makao makuu ya nchi ya Ukraine. Lakini ifahamike makao makuu ya nchi yanalindwa kwa gharama ya namna yoyote.
Kitendo kile sehemu kubwa ya jeshi la Ukraine likatumika kuulinda Kieve. Russia alichokifanya ni kuuzunguka ule mji. Matokeo yake miji mingine ilibakiwa na idadi kiasi cha wanajeshi. Ukumbuke pia lengo ni demilitarize na lengo jengine ni kuondoa Nazi. Demilitarize ikafanyika lakini kukabakiwa na vikundi vidogo vidogo vya jeshi la Ukraine ndivyo hivyo vilivyoleta upinzani wa hapa na pale. Kwa kuwa idadi kubwa ya jeshi la Ukraine lilizungukwa Kieve hawa wanajeshi wa mitaani kupata msaada wa moja kwa moja ikawa ni ngumu. Kuondoa Nazi inahitajika upite mtaa kwa mtaa kwani wahusika hawa walijifícha kwenye makazi ya raia. Hapa utarajie operation itachukua muda mrefu ikiwa utahitaji kupunguza vifo vya raia. Ikiwa haujali unalipua tu!
Ila hakuna mpaka sasa anayejua Russia anatumia mbinu gani! Itakujakufahamika zaidi mchezo utakapo kwisha. Russia siwageni kwenye haya mambo ya kivita. Tujijengee utamaduni wa kuona kwa pande mbili: Ikiwa kitu tukikiangalia kina sintofahamu basi ujue aidha kina makosa mengi au kina mambo ambayoufahamu wetu haujafikia kiwango cha kukielewa kwa wakati huo.
Kwa hiyo we unaamini ukraine kasimama peke yake hana msaada wowote ndo maana anamsumbua russia ......huoni kuwa NATO anapigana na RUSSIA kupitia mgongo wa ukraine ....Unajua boss si suala la kufurahia au kuumia maana vita si vya Tanzania na Urusi. Ni suala la kutaka nchi zenye nguvu kivita zisiwe bully kwa nchi zenye nguvu ndogo kivita.
Halafu Urusi kuishinda Ukraine si habari, ila Ukraine kumsumbua Urusi ni habari maana Ukraine ni dhaifu mbele ya Urusi.
Urusi alishatoa onyo OP isiingiliwe, sasa kama imeingiliwa aachane na Ukraine, akae na giant wenzake wayajenge. Akiendelea kimya kimya Ukraine atastahili sifa katika usumbufu anaompa.Kwa hiyo we unaamini ukraine kasimama peke yake hana msaada wowote ndo maana anamsumbua russia ......huoni kuwa NATO anapigana na RUSSIA kupitia mgongo wa ukraine ....
Hoja yako ni dhaifu kuwa Russia alitaka kudistruct attention ya Wanajeshi wa Ukraine kwa kupeleka msafara Kiev.Nafikiri kwa vile wengi wetu ni vijana na wengi wetu ndiyo tunashuhudia kwa kuona military operation ama vita vinakuwaje kwa nukta ya kuwa zao la manufaa ya mitandao ya kijamii inatusaidia kuona kile ambacho mara nyingi kilikuwa cha kufichwa.
Historia ama movie ama kwa kile ambacho tunakishuhudia upande mmoja unapofanya mashambulizi dhidi ya upande mwengine ama kile tunachoonyeshwa baada ya mashambulizi kimetuathiri na tumekuwa na matawi mengi ya fikra kwa kutoa mawazo yetu kwa kuona hapa ni alama A hapa ni F.
Tukubali vita ni sanaa kama sanaa nyengine. Kama sanaa inavyokuwa na ubunifu zaidi vita nazo zina mbinu. Sanaa ya maigizo ipo wazi sanaa ya vita kwa asilimia kubwa ni yenye kufichwa. Muda mwengine nyote mnaweza msielewe, muda mwengine wahusika wenyewe ndiyo wanajua wanachokifanya ni kipi!
Tunaweza tukawa tunajua mwisho wa hiki kinachoendelea baina ya Russia na Ukraine lakini isiwezekane kujua ni njia ipi itakayotumiwa. Pentagon imesema kinachoendelea Ukraine wenyewe hawajui Russia anatumia mbinu gani. Waliyobahatika kufafanua walielezea hivi unachokizungumzia: Russia ilionyesha msafara ule kuelekea makao makuu ya nchi ya Ukraine. Lakini ifahamike makao makuu ya nchi yanalindwa kwa gharama ya namna yoyote.
Kitendo kile sehemu kubwa ya jeshi la Ukraine likatumika kuulinda Kieve. Russia alichokifanya ni kuuzunguka ule mji. Matokeo yake miji mingine ilibakiwa na idadi kiasi cha wanajeshi. Ukumbuke pia lengo ni demilitarize na lengo jengine ni kuondoa Nazi. Demilitarize ikafanyika lakini kukabakiwa na vikundi vidogo vidogo vya jeshi la Ukraine ndivyo hivyo vilivyoleta upinzani wa hapa na pale. Kwa kuwa idadi kubwa ya jeshi la Ukraine lilizungukwa Kieve hawa wanajeshi wa mitaani kupata msaada wa moja kwa moja ikawa ni ngumu. Kuondoa Nazi inahitajika upite mtaa kwa mtaa kwani wahusika hawa walijifícha kwenye makazi ya raia. Hapa utarajie operation itachukua muda mrefu ikiwa utahitaji kupunguza vifo vya raia. Ikiwa haujali unalipua tu!
Ila hakuna mpaka sasa anayejua Russia anatumia mbinu gani! Itakujakufahamika zaidi mchezo utakapo kwisha. Russia siwageni kwenye haya mambo ya kivita. Tujijengee utamaduni wa kuona kwa pande mbili: Ikiwa kitu tukikiangalia kina sintofahamu basi ujue aidha kina makosa mengi au kina mambo ambayoufahamu wetu haujafikia kiwango cha kukielewa kwa wakati huo.
Na kufa huo mfumo ushakufa hata tukisema Vita ikome leo. Haitakuwa kama awali.US hana ushawishi sahvi watu wameshashtuka toka usingizini wanasubiri kukuche. Tukiwaambia unipolar world inakwenda kufa kuna watu humu ndani wanapiga kelele,
Mrusi hataki kuua wananchi, anashambulia wanajeshi haswa.Wadau kuna kitu najiuliza mpaka sasa labda mtanisaidia majibu.
Inasemekana kwamba URUSI ina ndege za kisasa za kivita, kwanini asingeipiga UKRAINE kwa anga muda mfupi yeye akachagua kwenda kwenye vita na vifaru, magari na wanajeshi wa Ardhini?
Matokeo yake amepoteza idadi kubwa ya Mwanajeshi, vifaru, magari?
sijakupata mkuu
Mrusi hataki kuua wananchi, anashambulia wanajeshi haswa.
Ukitumia ndege ku strike basi possibility ya kuua innocent people ni kubwa
Huitaji kuwa na miaka 800 kujua lengo la Russia kwenda Ukraine lilikuwa kubadili utawala, na lengo la Russia ilikuwa kuuteka mji wa Kiev ambao ni seat of power ya Serikali ya Ukraine.Unataka Urusi waiteke Ukraine hata kama wenyewe hawana malengo ya kuiteka Ukraine!?
Lets be objective here!
Unafikiri lengo la Urusi lilikuwa kuiteka Ukraine, ok fine. Hebu tuambie projection yako inakuambia what would be next kama ukraine 'ingetekwa'!?
Yaani With all the facts on the table ingekuwa wewe ndio Putin 'ungeiteka' Ukraine kwa dhumuni lipi. Ni dhumuni lipi ambalo unahisi litafikiwa tu kwa kuiteka ukraine!
Kama kiongozi wa nchi unafkiri ni sahihi kuchimba shimo kubwa ili ufukie shimo dogo!? Kuiteka nchi ni jambo moja kuitawala baada ya kuiteka je!?
Putin kamshindwa Zelensky kivipi!? Au ilitakiwa mpaka amkamate amuue/amnyonge km alivyouliwa Saddam ndio tuseme hajamshindwa!? Jaribu kuwa specific utusaidie. Yaani huko kumshindwa wewe umekupimapimaje!?
Mimi kwa upande wangu ninaweza kusema Putin hajamshindwa Zelensky. Ukiniuliza km nilivyokuuliza nitakujibu pia ni vigezo gani nimetumia na ushahidi nitakuwekea ila mpk uniulize.
Karibu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
ahaa ok nmekupataMarekani haiwezi kuiwekea India vikwazo kwa kununua gesi au mafuta Urusi.
India itawekewa vikwazo endapo kampuni zake za teknolojia zitaiuzia Russai teknolojia au kutoa huduma ya teknolojia yenye mkono wa kampuni za US au EU.
Vikwazo vimewekwa kwenye teknolojia na mabenki.
Nafikiri kwa vile wengi wetu ni vijana na wengi wetu ndiyo tunashuhudia kwa kuona military operation ama vita vinakuwaje kwa nukta ya kuwa zao la manufaa ya mitandao ya kijamii inatusaidia kuona kile ambacho mara nyingi kilikuwa cha kufichwa.
Historia ama movie ama kwa kile ambacho tunakishuhudia upande mmoja unapofanya mashambulizi dhidi ya upande mwengine ama kile tunachoonyeshwa baada ya mashambulizi kimetuathiri na tumekuwa na matawi mengi ya fikra kwa kutoa mawazo yetu kwa kuona hapa ni alama A hapa ni F.
Tukubali vita ni sanaa kama sanaa nyengine. Kama sanaa inavyokuwa na ubunifu zaidi vita nazo zina mbinu. Sanaa ya maigizo ipo wazi sanaa ya vita kwa asilimia kubwa ni yenye kufichwa. Muda mwengine nyote mnaweza msielewe, muda mwengine wahusika wenyewe ndiyo wanajua wanachokifanya ni kipi!
Tunaweza tukawa tunajua mwisho wa hiki kinachoendelea baina ya Russia na Ukraine lakini isiwezekane kujua ni njia ipi itakayotumiwa. Pentagon imesema kinachoendelea Ukraine wenyewe hawajui Russia anatumia mbinu gani. Waliyobahatika kufafanua walielezea hivi unachokizungumzia: Russia ilionyesha msafara ule kuelekea makao makuu ya nchi ya Ukraine. Lakini ifahamike makao makuu ya nchi yanalindwa kwa gharama ya namna yoyote.
Kitendo kile sehemu kubwa ya jeshi la Ukraine likatumika kuulinda Kieve. Russia alichokifanya ni kuuzunguka ule mji. Matokeo yake miji mingine ilibakiwa na idadi kiasi cha wanajeshi. Ukumbuke pia lengo ni demilitarize na lengo jengine ni kuondoa Nazi. Demilitarize ikafanyika lakini kukabakiwa na vikundi vidogo vidogo vya jeshi la Ukraine ndivyo hivyo vilivyoleta upinzani wa hapa na pale. Kwa kuwa idadi kubwa ya jeshi la Ukraine lilizungukwa Kieve hawa wanajeshi wa mitaani kupata msaada wa moja kwa moja ikawa ni ngumu. Kuondoa Nazi inahitajika upite mtaa kwa mtaa kwani wahusika hawa walijifícha kwenye makazi ya raia. Hapa utarajie operation itachukua muda mrefu ikiwa utahitaji kupunguza vifo vya raia. Ikiwa haujali unalipua tu!
Ila hakuna mpaka sasa anayejua Russia anatumia mbinu gani! Itakujakufahamika zaidi mchezo utakapo kwisha. Russia siwageni kwenye haya mambo ya kivita. Tujijengee utamaduni wa kuona kwa pande mbili: Ikiwa kitu tukikiangalia kina sintofahamu basi ujue aidha kina makosa mengi au kina mambo ambayoufahamu wetu haujafikia kiwango cha kukielewa kwa wakati huo.
hahaha we jamaaMrusi hataki kuua wananchi, anashambulia wanajeshi haswa.
Ukitumia ndege ku strike basi possibility ya kuua innocent people ni kubwa
Oooh ok sauwaHiyo Meli imeshazama na Urusi wenyewe wamekiri.
Sawia nimeelewaHiyo Meli imeshazama na Urusi wenyewe wamekiri.
kujua km kashndwa au hajashindwa ni lazima tujue kwnz malengo yak ni yapi, as long as hatujui malengo haswa ya putin ni yapi ni ngumu kusema kachemka au vp, sema kila mtu anajaribu kuanalyze kadri ya upeo wake malengo ya urusi ni yapi then kulngana na current situation ameshindwa au lah, so ni mtazamo tuUnataka Urusi waiteke Ukraine hata kama wenyewe hawana malengo ya kuiteka Ukraine!?
Lets be objective here!
Unafikiri lengo la Urusi lilikuwa kuiteka Ukraine, ok fine. Hebu tuambie projection yako inakuambia what would be next kama ukraine 'ingetekwa'!?
Yaani With all the facts on the table ingekuwa wewe ndio Putin 'ungeiteka' Ukraine kwa dhumuni lipi. Ni dhumuni lipi ambalo unahisi litafikiwa tu kwa kuiteka ukraine!
Kama kiongozi wa nchi unafkiri ni sahihi kuchimba shimo kubwa ili ufukie shimo dogo!? Kuiteka nchi ni jambo moja kuitawala baada ya kuiteka je!?
Putin kamshindwa Zelensky kivipi!? Au ilitakiwa mpaka amkamate amuue/amnyonge km alivyouliwa Saddam ndio tuseme hajamshindwa!? Jaribu kuwa specific utusaidie. Yaani huko kumshindwa wewe umekupimapimaje!?
yeah ndo wanakufa hvyoMatokeo yake wamekufa wengi
Russia’s defence ministry has said the Moskva missile cruiser, its flagship in the Black Sea, has sunk, dealing a significant blow to Moscow’s offensive in southern Ukraine.Afloat maana ake ni kuzama si ndio?? [emoji1787]