Ndaji ya wiki mbili hizi.
1.US kishafanya kikao na waziri mkuu wa india.
2.Kishafanya mazungumzo na waziri wa mambo ya nje.
3.Juzi wamemualika India katika kikao cha G7.
4.Leo wametangaza waziri Boris atakuwa na dhiara India week ijayo.
Hii yote kumzuia India hasi ongeze kuagiza mafuta kutoka Russia, kwani India sasa hivi ana mpango wa kuongeza uagizaji wa mafuta kutoka Russia baada ya kupewa ofa ya 35$ kwa pipa na Russia. US ana hangaika pamoja na wenzake.India naye kisha sema hato chagua upande wowote bali anataka mgogoro utatulike kwa njia ya amani na kumbuka kiidadi India wapo 1.4 bil na China nae ana mpango kama wa India nao wapo 1.4bil.
US ni mnafiki tena mnafiki kupindukia, hajui fair play katika ushindani, bado ana hila na mbinu za kizamani kwenye ushindani wa kiuchumi na kimadaraka. Anampiga vita kila mshindani wake kwa jina la "Democracy" ilhali anachokifanya hakiendani na kile anachokitoa kwenye kauli.
Jana nilikuwa namskiliza yule Secretary wa Pentagon, anadai China ni Main Threat kwao in term of economy na watahakikisha unification ya Taiwan na Mainland China haitotokea kwa kila hali kadri wawezavyo...
Na ukiangalia katika hizi nchi 3 hasa ndani ya nchi 5 za BRICS, Russia ni so Powerful in term of Military, China nae ni Powerful in term of Economy, India is the Largest market in South and Eastern Asia. Huo muungano ni Threat kubwa kwa sustainability ya US.
Sasa ukiangalia hizo nchi ziko thousands of mile kutoka kwenye mipaka yake... Ye anajiona yuko sawa ila yule anayeshughulika na threat mlangoni mwake anamtangaza namna tunavyosikia hivi sasa.
Kama wakumbuka tena kabla ya huu mgogoro kuanza Biden wakati anazungumza na CEOs wa Giants Companies ndani ya US aliwaambia tunaelekea into NWO... Na kwenye hiyo NWO we should take a lead.
Wakati huo huo Putin na Lavrov wamekua wakiirudia sana hii kauli ya kua mwisho wa US hegemony umefika, mwisho wa Unipolar World ndio huu na mwanzo wa Multipolar world ndio huu... Katika dunia ambayo haitakuwa na kiranja mmoja ka ilivokuw tangu vita baridi viishe.
So hapo ndio utapata picha kwanini India na China wamemgomea kwa kila kitu US na wenzao... Utaona kwanini Midle East hasa Gulf region zimetulia tulii kiasi cha Saudia na UAE kuanza kuzichunia Sim za Washington.