Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mfano,Kulikuwa na haja gani ya kupeleka ule msafara wa magari about 40 km kuelekea Kiev?

Kama mojawapo ya malengo ya hii vita ni demilitarization, na denazification kwanini Urusi asingetumia njia nyingine ambazo ni more effective kama drones, helikopta,na cruise missile,badala ya kutumia Tank nyingi,na magari ambayo kwa kiasi kikubwa ni easy target.

Hzo njia zote anatumia ila amebase sana kwenye ground unajua kwanini? Kupunguza maafa angesema atumie sana hzo njia unazotaka wewe tungekua tunaongea mengine humu.

Pia kumbuka Russia ana plan zake hao ni wataalam wa vita wanajua target na achievements zao yeye ndo anajua anafanya nini.

Russia katumia ground force kupunguza mauaji na maafa ukraine ndomana ana jitahd sana kuokoa maisha na usalama wa raia, hata wewe ni shahid huwez kucompare na kilichotokea iran, iraq, syria, libya nk.

Tofautisha kati ya vita na demilitarization.
 
Hapo Marekani ilikuwa imebakiza mainland Japan. Visiwa vyote kina Okinawa ushamaliza, Leytte gulf ambayo ni largest naval battle in history washashinda, Midway walishinda, Iwo Jima walishinda yani hakuna battle yoyote Japan aliishinda Marekani. Battleships zote za Japan zilizamishwa na sasa Japan alibaki na kupigania nyumbani makoloni yote kuanzia Philippines na Vietnam yashamshinda. Marekani ilikuwa inatuma B-17 Flying Fortless kudondosha mabomu ndani ya Japan, ilikuwa ishateka visiwa vya Japan vya karibu na kuweka airstrips na kambi.

Hapo Marekani alikataje pumzi?
Lakini mkuu hata Urusi si ameshateka baadhi ya maeneo ya Ukraine?
 
Ila wewe jamaa I'm not sure kama una IQ hata inafika Average... Yaani Meli iko active miaka zaidi ya 20, imepigana vita nyingi na kazi kingine nyingi, ije ipate hitilafu kwenye vita ya Mwezi mmoja na wiki kadhaa Hadi izame?...

Hivi unadhani kuzama Meli ni kitu kidogo?

Wewe ndo IQ yako ndogo. Nipe ushahidi wa meli haifanyiwi service. Usilete maneno yasiyo na evidence.
 
Kama hii habari inaukweli PUT IN nawanaomshauri watakua WAPUUZI kweli kweli
Hawana misimamo inayoeleweka PUMBAVU zao
Cjui hata nahao wengne kama wanatoa hio RUBO[emoji48][emoji48][emoji48]
Kwahiyo kwa Akili zako ulijua mpaka Sasa Ujeruman analipia Gas na Mafuta ya Russia kwa Rubble? Mpaka Sasa Nchi ya Serbia,Hungary ndio zimekubali kulipa kwa Ruble kwasababu nchi zao zinachukua Gas ndogo Sana na hivyo malipo yao sio makubwa Sana. Ujeruman peke yake TU analipa $ 17B kwa mwezi kwaajili ya Gas ya Urusi,hicho Ni kiwango kikubwa Sana Cha pesa ambacho kwa Mzunguko wa Ruble malipo hayawezekani mpaka pale Ruble itakapokuwa na Mzunguko Mkubwa na kuwa sehemu ya RESERVE CURRENCY ya Mataifa ya Ulaya.
 
Ukweli ni kwamba, before the war began, Rubles ulikuwa 79 to $,lakini ilishuka mpaka 139 to $, Putin alipotangaza kuuza gas na mafuta kwa Rubles, Rubles ilianza kupanda haraka Sana,na sasa inakaribia ilipokuwa mwanzo. Luckily,nilikuwa nafanya screen shot,angalia tarehe, mpaka sasa,huu hapa ushahidi 👇

Na sasa hivi umefika 81 to $
kilichoipandsha ruble ni capital control measures
akaunti zote zinazohold foreign currencies zilitakiwa kuconvert 80% ya pesa hizo kwenda ruble
kampuni za kgen haziruhusiw kuhamshia pesa zao nje ya nchi
pia kimewekwa kikomo cha warusi kutuma fedha nje ya nchi
waliowekeza kwe masoko ya hisa ya urusi hawakuweza kuexit coz moscow stock exchange ilifungwa
ruble imepanda kwakuwa moscow imelimit njia zote za matumizi ya foreign currencies kutokea ndani ya urusi na si kwamba watu wananunua gas kwa ruble Russian businesses that trade abroad must sell 80% of their foreign currency earnings and convert them to rubles, the Ministry of Finance said in a statement on Monday

Ndani ya wiki mbili hizi.
1.US kishafanya kikao na waziri mkuu wa india.
2.Kishafanya mazungumzo na waziri wa mambo ya nje.
3.Juzi wamemualika India katika kikao cha G7.
4.Leo wametangaza waziri Boris atakuwa na dhiara India week ijayo.

Hii yote kumzuia India hasi ongeze kuagiza mafuta kutoka Russia, kwani India sasa hivi ana mpango wa kuongeza uagizaji wa mafuta kutoka Russia baada ya kupewa ofa ya 35$ kwa pipa na Russia. US ana hangaika pamoja na wenzake.India naye kisha sema hato chagua upande wowote bali anataka mgogoro utatulike kwa njia ya amani na kumbuka kiidadi India wapo 1.4 bil na China nae ana mpango kama wa India nao wapo 1.4bil.
 
Ndaji ya wiki mbili hizi.
1.US kishafanya kikao na waziri mkuu wa india.
2.Kishafanya mazungumzo na waziri wa mambo ya nje.
3.Juzi wamemualika India katika kikao cha G7.
4.Leo wametangaza waziri Boris atakuwa na dhiara India week ijayo.

Hii yote kumzuia India hasi ongeze kuagiza mafuta kutoka Russia, kwani India sasa hivi ana mpango wa kuongeza uagizaji wa mafuta kutoka Russia baada ya kupewa ofa ya 35$ kwa pipa na Russia. US ana hangaika pamoja na wenzake.India naye kisha sema hato chagua upande wowote bali anataka mgogoro utatulike kwa njia ya amani.
Unajua Kingereza hata cha kuombea maji?
 
West is worst.
 
Kwahiyo kwa Akili zako ulijua mpaka Sasa Ujeruman analipia Gas na Mafuta ya Russia kwa Rubble? Mpaka Sasa Nchi ya Serbia,Hungary ndio zimekubali kulipa kwa Ruble kwasababu nchi zao zinachukua Gas ndogo Sana na hivyo malipo yao sio makubwa Sana. Ujeruman peke yake TU analipa $ 17B kwa mwezi kwaajili ya Gas ya Urusi,hicho Ni kiwango kikubwa Sana Cha pesa ambacho kwa Mzunguko wa Ruble malipo hayawezekani mpaka pale Ruble itakapokuwa na Mzunguko Mkubwa na kuwa sehemu ya RESERVE CURRENCY ya Mataifa ya Ulaya.
Kwahiyo hayo Russia hakuyajua hadi wewe mchumi wa Mwanerumango ukayajua!!!!

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Wanafanya re-allocation ya bajeti kwenye mambo mengine na bajeti yenyewe sio kubwa sana. Kufanya maintenance ya meli kubwa ni gharama hata Marekani last month iliona iachane na baadhi ya Litoral Combat Ships ambazo zipo jumla 35 ifanye mambo mengine. Urusi wana tabia ya kuchukulia vitu juu juu ndio maana nuclear submarine kubwa kuwahi kupata ajari ni Kursk ilizama 2001, nuclear disaster ilitokea Soviet Union, miajali ya ovyo jeshini ni wao utasikia ammunition depot imeungua. Marekani ikitokea depot imeharibika kwa uzembe kuna kesi nyingi zinafunguliwa tofauti na Russia ambao wanalindana na hawana accountability nzuri.

Russia waliiuzia India aircraft carrier ya Vikramaditya wako wanateseka nayo. Kwanza wakati inatolewa Russia kwenda kuuzwa iliharibika boirels kabla hata Wahindi hawajaipokea. Baadae boirels zote nane zikaundwa mpya ila nazo mateso. Wakati waliojenga Sevmash ni shipyard kubwa ya ujenzi wa meli za kivita Urusi.
Ila mkuu kuna uzi mmoja umenitoka kichwani tulibishana sana kuhusu hizi meli.

Nakumbuka nilikuambia ya kwamba mameli haya yanatisha tu kwa kuyaangalia tu, lakini uwezekano wa kuyalinda huwa ni mdogo sana hasa ukizingatia makombora mengi ya kushambulia meli huwa yana safiri kwa kimo cha chini sana.

Ukikutana na nchi yenye antship zenye uwezo mkubwa na za masafa marefu kama Iran au Israel hayo mameli hayatakusaidia kwa lolote.

Hata hizo meli za Marekani unazo zisifia ni bado tu haijakutana na nchi yenye uwezo tu wa kuzishambulia .
 
Kwahiyo kwa Akili zako ulijua mpaka Sasa Ujeruman analipia Gas na Mafuta ya Russia kwa Rubble? Mpaka Sasa Nchi ya Serbia,Hungary ndio zimekubali kulipa kwa Ruble kwasababu nchi zao zinachukua Gas ndogo Sana na hivyo malipo yao sio makubwa Sana. Ujeruman peke yake TU analipa $ 17B kwa mwezi kwaajili ya Gas ya Urusi,hicho Ni kiwango kikubwa Sana Cha pesa ambacho kwa Mzunguko wa Ruble malipo hayawezekani mpaka pale Ruble itakapokuwa na Mzunguko Mkubwa na kuwa sehemu ya RESERVE CURRENCY ya Mataifa ya Ulaya.
Hv kwanini rubo imepanda thamani licha ya VIKWAZO !!!??
 
Back
Top Bottom