F9T
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,684
- 4,973
Niko salama salmin sheikh 🙏🙏. Vp hali yako mkuu .Ticha umeamka salama?
Niko salama salmin sheikh 🙏🙏. Vp hali yako mkuu .Ticha umeamka salama?
Unamfananisha Japan aliekuwa mbabe wa Dunia zidi ya dhaifu Ukraine?
Kama hii habari inaukweli PUT IN nawanaomshauri watakua WAPUUZI kweli kweliMember wa EU kaona Umoja wao wa kijinga unawaumiza kaenda Moscow kuomba msamaha na kasahewa bado kenge wengine wanajishauriView attachment 2188023View attachment 2188024View attachment 2188025
Tumia lugha nzuri weweMsaidie ndugu yako apunguze puli malaya mpaka wa buku wapo anakwama wapi?
Hiyo meli imefika mwisho wa maisha yake .....ila kazi iliofanya ni njema sanaPro Russia hii haiondoi ukweli kuwa mmepigwa na kitu kizito kutoka kwa Comedian Commender In Chief.View attachment 2187852
Askari wa Urusi waliokamatwa Ukraine [emoji848]
View attachment 2188058
Niko salama salmin sheikh [emoji120][emoji120]. Vp hali yako mkuu .
vipi ule mpango wa kulipa kwa
ruble unaendelaje?
Harafu anatokea pro🇷🇺🇷🇺 anakwambia Putin anapiga kuwaondoa wa NAZI nchini 🇺🇦🇺🇦 kumbe jeshi lake limejaa haohao wa Nazi.Askari wa Urusi waliokamatwa Ukraine 🤔
View attachment 2188058
Itoshe tu kusema Russia strategically kwenye vita ni wabovu sana, wanafanya move za kitoto sana,wana vitu vingi vizuri,ila wana uzembe flani hivi ambao hauelezeki.
US alikuwa anapoteza,akashusha nukes!Rudi wewe ukajifunze!US ashindwe vita kwani vita ilikuwa inapiganwa US au mipakani kwake.
Rudi darasani kajifunze historia ya O level.
Nakubali mkuu,Ila nadhani hua yanajitoaga ufahamu tu yakiona maji yako shingoni.Nimekuja kugundua wazungu wengi hawana akili. Hawaijui dunia.
🙏🙏🙏🙏Salama salimin karibu
🤣🤣🤣🤣 Kuna watu hawataki kusikia kabisahii vita ilikua na mambo sn, mnakumbuka ule msafara wa urusi wa vifaru na silaha zngine wa kilomita 64 kuelekea kiev?