Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu terminologies za kitaalamu sizitumii kwa kupenda ila nalazimika kufupisha muda wa kuandika maana Kiswahili hakina terms nyingi.

Russia ina fleets nne kwenye Navy yake: Northern Fleet, Pacific Fleet, Black Sea Fleet na Baltic Fleet. Northern ndio kubwa zaidi. Kila fleet ina flagship ambayo ndio meli kubwa na ya kisasa zaidi au yenye uwezo mkubwa na humo ndio kamanda wa fleet anakuwa amekaa kama wakiwa vitani. Ndio maana hii Moskva ina crew ya watu 510.

Pyotr Velikiy (Peter the Great) ndio cruiser kubwa zaidi na advanced kwa Urusi ukiachana na aircraft carrier yao Admiral Kuznetvoz. Ila meli zao kubwa nyingi ni chovu na maintenance wanasumbua, mfano hiyo Kuznetvoz inatakiwa iwe imeacha kutumiwa, hiyo Moskva ilitakiwa iache kutumiwa au iongezewe muda kwa maintenance ya hali ya juu kitu ambacho hawafanyi kwa uhakika
Okey boss nimekuelewa. Kwann unaamini hazifanyiwi maintenance kama inavyotakiwa?
 
-hii sio vita bali ni special operation
-tumejondoa kiev kwa nia njema kufanikisha mazungumzo ya amani
-meli yetu imepata ajali ya moto ila umeshadhibitiwa,uharibifu ni mdogo tu na inavutwa kuelekea bandarini
-tumepoteza askari 1350 tu
-
 
🇺🇦Zelensky said that Ukraine started a "war" with Russia even before the special operation

According to the Ukrainian president, this was the reason for Ukraine's desire to join NATO and the struggle "with some political groups in the country."

Kyiv had to prepare to face "one of the largest armies in the world" and have "strong leadership," Zelenskiy told the BBC.
 
.
Screenshot_20220415-092818.jpg
Screenshot_20220415-092827.jpg
Screenshot_20220415-092838.jpg
 
Special Operations huwa wanafanya SEAL Team au SAS sio hao wezi wa furniture huko Ukraine
-hii sio vita bali ni special operation
-tumejondoa kiev kwa nia njema kufanikisha mazungumzo ya amani
-meli yetu imepata ajali ya moto ila umeshadhibitiwa,uharibifu ni mdogo tu na inavutwa kuelekea bandarini
-tumepoteza askari 1350 tu
-
 
Ukrosmi write: this morning in Skadovsk, Kherson region, Russian servicemen removed the flags of Ukraine from the building of the city council and the flagpole in the city center and raised the flags of Russia.
The local administration (which fled the city a long time ago) has already crowed on Facebook, declaring “unwillingness to cooperate with the occupiers”, but what matters to us is not the opinion of a handful of bureaucrats, but the safety of the civilian population, which is now under our protection.
 
The Ministry of Defense of the Russian Federation has published new documents on the crimes of Ukrainian nationalists during the Great Patriotic War. These materials tell how the Bandera people even then cooked up fakes about the alleged cruelty of the Soviet military, although they themselves were the Nazis' tool for the brutal murders of the Poles.

In addition, documents are presented that Bandera, despite instructions from the Nazis, were unable to resist the Red Army in battle and deserted.
View attachment 2188018View attachment 2188019View attachment 2188020View attachment 2188022
Leo mtanena kwa lugha zote , ila habari ya mjini ni NGALAWA YA🇷🇺🇷🇺 IMEGEUZWA KUWA NYAMBIZI .
 
Kaangalie hata uvamizi wa Iraq ulivyofanyika
Pamoja na udhibiti wao wa vyombo vya habari,lakini bado madhara ya matendo yao yalitisha. Ukumbuke tunayoyajua kuhusu vita hiyo ni machache ila yanatisha. Fikiria kama kila kitu kingetangazwa!? Jiulize kwanini waliahambulia vituo vya TV?

Na usisahau kwamba, Marekani na washirika wake wakisaidiana ndipo waliishinda Iraq. Mataifa ya magharibi walikimbilia angani kwakujua Iraq hakuwa na mifumo imara ya ulinzi anga.
Huku ardhini waliyaachia majeshi toka nchi za kiarabu na Iran.wao walifuata baada ya njia kuwa safi

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Kwa akili Yako ndogo unadhani Russia anayo meli Moja tu?Msiwe wajuaji wa kila kitu!
Kuna jamaa Huwa analeta updates za Russia,oil depots na military base nyingi za Ukraine zimeshambuliwa,ndio maana Zalensky anaomba silaha zaidi na wanajeshi!
Ukraine anatembezewa kichapo sio polepole!
Biala shaka Urusi ina manowari zaidi. Ila
1) Manowari Moskva ilikuwa manowari kubwa na kiongozi katika Bahari Nyeusi
2. ) Warusi hawawezi kuongeza manowari katika bahari hiyo maana njia ya pekee inapita Uturuki (Bosporus, mjini Istanbul) na kufuatana na Mkataba kuhusu Milango ya Bahari manowari haziwezi kupita wakati wa vita.
 
Another yummy from Britain on the subject of a surrendered mercenary.

The Guardian: “After the news broke of the surrender of Aiden Eslin, MP Robert Jenrick said he was working with the Foreign Office to trace the whereabouts and secure the release of his constituent.

“Aiden chose to risk his life because he passionately believes in the right of the Ukrainian people to live in freedom and democracy. I am very worried about the safety of my friend Aiden Eslin, who fought on the side of the Ukrainian army. The Russian authorities should treat him properly.

The use of pictures of prisoners of war for propaganda purposes is wrong and contrary to the Geneva Convention.”

The mother of the captured Brit told the BBC that her son's unit had "survived a hell of a fight" but they were left with no choice but to surrender because they had no weapons left. She urged Boris Johnson to find a way to overthrow Putin."

It's wonderful, I think. Moreover, everything. From the first to the last letter.
 
Kwa akili Yako ndogo unadhani Russia anayo meli Moja tu?Msiwe wajuaji wa kila kitu!
Kuna jamaa Huwa analeta updates za Russia,oil depots na military base nyingi za Ukraine zimeshambuliwa,ndio maana Zalensky anaomba silaha zaidi na wanajeshi!
Ukraine anatembezewa kichapo sio polepole!
Inazo nyingi but Meli za aina hiyo kwenye black sea ilikuwa moja tu, nyingine ziko Pacific
 
Back
Top Bottom