Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Wewe utakuwa mrithi DJ Murphy au Rufufu
Tuliza kinyeo hicho,
Wewe utakuwa mrithi DJ Murphy au Rufufu
Sisi twasubiri majibu ya Bucha ili tuongeze nguvu, Putin lazima apigweeehawa pro[emoji635][emoji635] huwa tunawaambia muda ni mwalimu , hawaamini . ngalawa yao imekwenda na maji .[emoji848][emoji848][emoji848]
Na akiona anaumizwa zaidi atatumiaRussia bila nyuklia ni sawa na samaki nje ya maji, lazima akate pumzi.
Ni vigumu kurekod video na kombora kubwa likiipiga meliUzuri Urusi anakugongesha na anakupa video nimepiga hivi na silaha hii na video juuu... Enheee haya tuambieni hao ndugu zenu nyie Wayukraine wa Itilima ... Meli Imepigwa na silaha Gani na kamsaada la video kidogo bomu lenu likitua Hapo .
Mwenye silaha nyingi ambaye anaweza toa bila kusita ni US pekeeWater is wet.
No country in the world will ever supply another country with all types of weapons it has.
Kama Marekani alivyo kata pumzi kwa Japan aka kimbilia kutumia akatumia nyukilia kwa hiyo hakuna cha ajabu hapo.Russia bila nyuklia ni sawa na samaki nje ya maji, lazima akate pumzi.
Urusi anasifiwa kwa upuuzi tu. Ingekuwa USA hapo Ukraine ingepigwa na swams za F35,16 etc kuua radar zote, bombers kama zote afu ndo patrols zinaanza... Yeye kaanza na ground force
Hata link?
Vip kuhusu hii.Mwenye silaha nyingi ambaye anaweza toa bila kusita ni US pekee
Imepigwa bomu?Vip kuhusu hii.View attachment 2187961
Alivyolegeza hayo macho.....!!!Pro Russia hii haiondoi ukweli kuwa mmepigwa na kitu kizito kutoka kwa Comedian Commender In Chief.View attachment 2187852
Sisi Russia tuko busy na kazi propaganda is not our priority.
Wewe mndengereko wa Pwani umeshapewa uraia wa Russia?