HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Si kuzama tu bali wameokoa watu 54 kati ya 500Imezama bhana, Jana walisema inabiga kazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si kuzama tu bali wameokoa watu 54 kati ya 500Imezama bhana, Jana walisema inabiga kazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wenyewe nao huko msoto unazidi kuongezeka.
hawa pro🇷🇺🇷🇺 huwa tunawaambia muda ni mwalimu , hawaamini . ngalawa yao imekwenda na maji .🤔🤔🤔Imezama bhana, Jana walisema inabiga kazi🤣🤣🤣🤣
Inaelea??View attachment 2187819hii picha ya mwaka 2014 ndo inayadaiwa kuwa ni meli ya urusi. meli ya urusi ilipata matatizo ya kiufundi ndo maana wafanyakaz wake wote walitoka salama ingekuwa imelipuliwa asingetoka mtu mle ha ha h ha ha mashabiki wa ukraine walikuja mbio mbio
Vita mbaya sana UKRAINE imebaki magofu, sasa watapata wapi pesa ya kujenga majengo mapya kila mkoa?
Kuna watu kabisa hata kwa mijadala Yao wanaonekana ni watu wa vijiweni wanakuja kutukana watu hata wawajui humu...hawa pro🇷🇺🇷🇺 huwa tunawaambia muda ni mwalimu , hawaamini . ngalawa yao imekwenda na maji .🤔🤔🤔
Pale tunaposema Media za western zinadanganya "We mean it"... Na wala sio maneno yetu pekee bali kwa reference kutoka kwa wao wahusika. View attachment 2184975 Hii hapo juu ni Stats zilizotolewa hapo hapo US kuhusu media... Kwamba chanzo kipi cha habari kinaaminiwa zaidi.
Tunaeza ku'ignore "Blue and Red" kwasabab n mtazamo wa kichama... Kati ya Democrats na Republican lakin what about hiyo pink? Trust kwenye media zote iko below 50... Hio ni data zimechukuliwa kwa wamarekan halisi.
Imagine Media zote hapa Tz walau yenye trust kiasi iwe "Tanzania safari"??? Really???
Illa still bado wale wanaoendelea n dozi zao za ARV hawatoelewa.
Umesema tusiamini Western media kwahio hii statistics pia ni Fake.
Germany will not supply Ukraine with all types of weapons it has
This was stated in an interview with Handelsblatt by the special commissioner of the Bundestag for the armed forces, Eva Högl.
Earlier, the head of the Greek Ministry of Defense said that his country, in principle, would no longer supply weapons to Kiev.
The Latvian Foreign Ministry recommended citizens to refrain from traveling to Belarus and even called on those who are already here to leave the republic
Earlier, the Belarusian authorities introduced visa-free travel for Latvians and Lithuanians from April 15 to May 15 inclusive.
Hasira za meli hizoKiev huko aseee hali mbaya [emoji91][emoji91][emoji91]
Na mzee baba kasema ndo ameanza sasa serious.
USA invaded Iraq during the time of Saddam, when Iraq was the 4th largest army in world, his army,airforce ,was conquered in a month.
USA did not threaten to nuke Iraq then
The Almighty Russia they threaten countries that don't even rank 25th in the world with Nukes
At this point The west would make sure Russia is behind the world 30years
Kiev huko aseee hali mbaya [emoji91][emoji91][emoji91]
Na mzee baba kasema ndo ameanza sasa serious.