Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Eee we kweli Super power [emoji23][emoji23][emoji23]...Hey hey wale nato pori ndugu yenu anataka dunia nzima ipigane na urusi. Aaah ama kweli urusi Ni taaifa lenye miguvu pamoja na kusaidiwa vifaa vya kivita vikwazo. Bado anataka kusaidiwa na maskini. Aaah urusi salute hapa wanasema ulisema ulisaidia sisi kupata uhuru ninaanza kuamini ulisaidia kweli inawezeka tusinge upata
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sawa na mtu umchokoze jamaa flan hivi likimya sana hapo shuleni, kisha liamue kukutandika, wakati huo huo atangaze atakayeingilia atamuunganisha kumpa kichapo kitakatifu...
Wale rafikizo wote waliokua wanakupa jeuri wakutose, Yule unayegombana nae umwite "mchumba" tu hakuwezi...Ajab unaenda kuita wanafunzi wa shule nzima wakusaidie kupigana na huyo jamaa [emoji849][emoji849][emoji849]...
Then wanafunzi wote shuleni wagome kupigana nae moja kwa moja kwa kuhofia kuhatarisha usalama wa shule nzima... Instead wanajificha gizan na kumshambulia jamaa kutokea gizan... Kwa kuogopa kuonekana wazi ila bado mnapelea.
[emoji848][emoji848][emoji848] Kisha wajiuliza huyo jamaa kama kweli ni dhaifu why shule nzima waogope kupigana nae [emoji847][emoji847][emoji847]
Mara wanaanza usile chakula chetu, wakihis kufanya hivo jamaa atakuwa na njaa hivo hatashindwa pigana. Wanasahau kama kuni wanazopikia huwa anazileta yeye matokeo yake wanaaza kulia njaa wao wenyewe.
World z for funny, but de funniest thing ever ni kuona namna EU wakifanya suicide kwenye uchumi wao kukidhi matakwa ya US kupitia mwamvuli wa Ukraine...