NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Wee jamaa putini akiaanguka sijui dunia itakuwa Katika Hali gani maana liinchi Lina masilaha ya kutosha Lina resource za kutosha, Lina wanashirika wanguvu. Yaani ukienda huko fb page za fb za cnn, aljerzela, BBC ona jamaa watu wanavyo mshangilia, waarabu, wahindi, wachina, waafrika wapo na mrusi sijui nato wanashindia wapi ndio maana jaama yenu kaja kutoamba ukiangalia zile comment mzungu lazima ajiulize kwanini?Unaambiwa those who don't learn from history are bound to repeat it. Urussi haijajifunza kutokana na Cuba Missile Crisis na Kilichotokea baadae.
Urussi kakosea sana kuivamia Ukraine maana ameingiza destabilization katika nchi yake. Chukua popcorn ushuhudie anguko la Putin
Pole kama uhalisia inakuchanganya. Vikwazo ni nyenzo ambayo haileti matokeo mara moja. Hata kama EU wakisimamisha gesi ya Urusi (na malipo) mara moja, haitasimamisha uchumi na uwezo wa kuendleza vita kwa muda mara moja.Kumbe shabaha ya vikwazo tena sio kumzorotesha urusi washindwe kupigana vita!?
Mbn mnatuchanganya
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kunywa maji,mishipa ya kichwa itapasuka kijanaKheri yetu sie bado tunakua tunayonafasi ya 'kukomaa kidogo kuchwani' tusipojua leo tutajua kesho muda bado upo. kuna nyie sasa mliokwishakukua na vichwani mmedumaa. Hizi platform ni za kizazi chetu, kizazi kipya. Nyie mnalazimisha tu si unaona hata kutype kunakupa shida kuacha nafasi, kuweka alama huwezi. Jua lishakuzamia bibi muda wa kulea vitukuu huu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Anajitahidi, lakini ni maneno matupu. Nani angepiga Urusi? Ukraine yenye makisio asilimia 10 ya Urusi??? NATO iliyojaa mafarakano ndani yake kabla ya vita?If Russia had been even a little late with the operation, then a crushing blow would have been dealt to Russian territory, Lukashenka said.
Galip SV
Ila wanayapiga sana majeshi ya RUSSIA ujueVita mbaya sana UKRAINE imebaki magofu, sasa watapata wapi pesa ya kujenga majengo mapya kila mkoa?
ProNato wenzako wanakuangusha. Uwafundishe wao kisha uwakabili ProRussia.Sioni mwisho bado. Maana vita anaweza kuendesha kwa mud bila dolar. Rubel anaweza kuchapisha anavyotaka (itaharibu uchumi zaidi, lakini anaweza kuendelea bado kwa kufanya wananchi maskini zaidi); kwa rubel analipa jeshi, analipa wafanyakazi kwenye viwandi, viwanda vya kutengenezea silaha anavyo.
Hanunui silaha nje.
Isipokuwa vipuli vya compyuta anazohitaji kwa silaha za kisasa, ataona matatizo mara akiba zinakwisha. Hapa anahitaji soko la dunia maana hajitegemei.
Atazipata kwa bei maradufu au zaidi kwa njia ya magendo, na hapo anataka kutunza dolar / Euro alizo nazo Urusi (hii sababu kutolipa madeni maana angeweza)
Hivyo naogopa kwa miezi kadhaa bado atakuwa na uwezo wa kuendelea na kuleta vifo na uharibifu.
Isipokuwa akiona hali inaanza kuwa mbaya kweli, atatangaza ushindi bila shaka.
Ilhali hadi sasa asilimia kubwa ya wananchi bado wanaamini propaganda yake, atatumaini watamwamini pia ushindi...
Asante sana kwa ufafanuzi huu na ndiyo maana nikatia shaka uwezo wake wa kupigana multiple wars.Ukiangalia kwa hili la Ukraine ni kama NATO/US wameamua hii vita iwe ya muda mrefu,sioni ikiisha hivi karibuni kama wengi wetu tulivyotaka kuamini hapo kabla.Kwa mwendo huu wa hili la Ukraine hajalimaliza anataka kurukia kwa kina Finland,wale wataendelea na mchakato wao wa kujiunga na NATO wakitaka na kwa vitisho anavyowapa asipofanya kweli ndiyo atadharaulika zaidi na akiamua pia kuwaanzishia mtiti kama aliouanzisha Ukraine pale ndipo atakwenda kutumbukia shimoni ki Uchumi moja kwa moja. Binafsi naamini pale Ukraine hii vita haiishi leo wala kesho wala mwezi ujao.Sioni mwisho bado. Maana vita anaweza kuendesha kwa mud bila dolar. Rubel anaweza kuchapisha anavyotaka (itaharibu uchumi zaidi, lakini anaweza kuendelea bado kwa kufanya wananchi maskini zaidi); kwa rubel analipa jeshi, analipa wafanyakazi kwenye viwandi, viwanda vya kutengenezea silaha anavyo.
Hanunui silaha nje.
Isipokuwa vipuli vya compyuta anazohitaji kwa silaha za kisasa, ataona matatizo mara akiba zinakwisha. Hapa anahitaji soko la dunia maana hajitegemei.
Atazipata kwa bei maradufu au zaidi kwa njia ya magendo, na hapo anataka kutunza dolar / Euro alizo nazo Urusi (hii sababu kutolipa madeni maana angeweza)
Hivyo naogopa kwa miezi kadhaa bado atakuwa na uwezo wa kuendelea na kuleta vifo na uharibifu.
Isipokuwa akiona hali inaanza kuwa mbaya kweli, atatangaza ushindi bila shaka.
Ilhali hadi sasa asilimia kubwa ya wananchi bado wanaamini propaganda yake, atatumaini watamwamini pia ushindi...
Hizi video za namna hii kwangu mara zote hua zinagoma inaweza kua kwaniniHapana wamo, tena wamo wengi mno... Isipokuwa wapo unofficial... Hawataki kutangaza wazi wanajua kitakachotokea.
Kuna mahujiano yalikuwa yanafanyika C3 News ya Ufaransa na mmoja wa kujitolea aliyeenda huko Ukraine Anafunguka yote aloyoyakuta... Msikilize kwenye hii video View attachment 2184991
Tafadhali ujisomee kidogo. Waliingiza mitambo mingi, waliuza mitambo michache nje (mfano injini za roketi kubwa - hadi juzi ambako kampuni ya Musk alileta kitu kipya ambacho hawawezi..)
Kuna hii kauli wanasema "Demand and Supply".Vita mbaya sana UKRAINE imebaki magofu, sasa watapata wapi pesa ya kujenga majengo mapya kila mkoa?
Kwamba USA yuko tayari wa Ukrane wote wafe kibudu ila sio ionekane Urussi ameshinda.Many say that the United States is ready to fight to the last Ukrainian, and this is true, Putin said.
Galip SV View attachment 2185009