Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ebu nitajie wilaya hata moja iliyopo kwenye mkoa wa Mariupol,inayoshikiliwa na majeshi ya ukraine maana tukiwambia Mariupol ishaondoka mnakuwa wabishi
Warussi Ni washenzi Sana Kule Mariupol waliingia zaidi ya wiki 3 zilizopita wakaharibu njia zote za kuingiza silaha na chakula, kilichofuata sasa hivi Ni Wanajeshi wa UKRAINE, mercenaries, nationalist wanakamatwa Kama kuku vile.
 
Default vs Force majeure
Labda wewe ni mwanasheria tufundishe hapo.



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Karibu sana:
a party's ability to rely on a force majeure provision depends on the terms of the relevant contract.
1. Kurejelea jambo ambalo halizuiliki ("force majeure") kunategemea masharti ya mkataba
Definitions can range from a list of specified events, which often include "epidemics", "quarantine" and "acts of God", but typically they relate to events that are beyond a party's reasonable control, cannot be prevented or overcome by the exercise of due diligence
2. Hivyo fafanuzi wa jambo ambalo halizuiliki zinaweza kuwa tofauti, k..m. kutaja matukio maalum kama mlipuko wa ugonjwa, "matendo ya Mungu", au kuwa pana zaidi
In most cases a lack of finances, lack of funds or the inability to borrow funds will not constitute force majeure.
3. Mara nyingi kukosa pesa haikubaliwi kuwa "jambo ambalo halizuiliki"

Kwa hiyo, ukijua mikataba yao na jinsi iliyoandikwa, halafu una hakika vita inatajwa au vikwazo wa kiuchumi vinatajwa, siwezi kukupinga.

Ila kama mashart si wazi, kitachochofuata kitakuwa kipindi cha magombano kwenye mahakama za kimataifa. Kesi hizi zinaendelea kwa kawaida, miaka kadhaa, jinsi unavyojua bila shaka.
Uwezekano mkubwa sana ni kwamba muda huo mwenye deni ataangaliwa kama amefilisika.

Hasa kwa sababu UIrusi kwa sasa inayo USD za kulipa lakini haitaki kuzitumia zilizopo mkononi mwake ilhali sehemu kubwa ya akiba yake inazuliiwa.
 
Pentagon yalalamika kuwa Russia inajam mfumo wa GPS wa Marekani unaotumiwa na Ukraine. Pia Pentagon yahofia kuwa Russia inaweza kushambulia Setilaiti za GPS za Marekani
SmartSelect_20220412-070524_Chrome.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mnamsikia mzee anachosema uko au tuongeze sauti [emoji848]

Putin[emoji298]"There is no doubt that the goals and objectives of the operation in Ukraine will be fulfilled.

The goals and objectives that the west has no idea what they actually are."
 
Tusimruhusu, matatizi yake yaishie huko huko
Usi mruhusu wewe ni nani mkuu?Hata hivyo it will be a mistake kumruhusu kuhutubia UN,ingawa najua ataruhusiwa kwa kuwa UN ni chombo cha NWO na Zelensky ni mtu wao.

Cheki kilichotokea alipohutubia Bunge la Ugiriki hapa👇

 
Pentagon yalalamika kuwa Russia inajam mfumo wa GPS wa Marekani unaotumiwa na Ukraine. Pia Pentagon yahofia kuwa Russia inaweza kushambulia Setilaiti za GPS MarekaniView attachment 2184641
Waache kubweka bweka NATO waende UKRAINE kumsaidia yule kenge analia lia tuuu
Nimemsikiliza DW anavyolia lia jamaa anateseka sana
Jamaa analalama hajapewa silaha kama alivyoahidiwa
Jamaa anasema kwasilaha alizopewa hawezi akapambana na RUSSIA
Jamaa analalama anasema kubebwa kwa MAURIOPOL kutavifanya vikosi vya RUSSIA kuvizunguka vikosi vya UKRAINE nakuvipelekea moto iwe zahma zaidi
Jamaa anataka apewe ndege vita najiuliza why US hawampi jamaa f22 ama f35 kama watasema hawajui kuzitumia waende nawao wakamsaidie kutumia
UKRAINE wanakula kipigo chakuogofya sana source RAHISI wao wenyewe KOMEDIAN
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Karibu sana:
a party's ability to rely on a force majeure provision depends on the terms of the relevant contract.
1. Kurejelea jambo ambalo halizuiliki ("force majeure") kunategemea masharti ya mkataba
Definitions can range from a list of specified events, which often include "epidemics", "quarantine" and "acts of God", but typically they relate to events that are beyond a party's reasonable control, cannot be prevented or overcome by the exercise of due diligence
2. Hivyo fafanuzi wa jambo ambalo halizuiliki zinaweza kuwa tofauti, k..m. kutaja matukio maalum kama mlipuko wa ugonjwa, "matendo ya Mungu", au kuwa pana zaidi
In most cases a lack of finances, lack of funds or the inability to borrow funds will not constitute force majeure.
3. Mara nyingi kukosa pesa haikubaliwi kuwa "jambo ambalo halizuiliki"

Kwa hiyo, ukijua mikataba yao na jinsi iliyoandikwa, halafu una hakika vita inatajwa au vikwazo wa kiuchumi vinatajwa, siwezi kukupinga.

Ila kama mashart si wazi, kitachochofuata kitakuwa kipindi cha magombano kwenye mahakama za kimataifa. Kesi hizi zinaendelea kwa kawaida, miaka kadhaa, jinsi unavyojua bila shaka.
Uwezekano mkubwa sana ni kwamba muda huo mwenye deni ataangaliwa kama amefilisika.

Hasa kwa sababu UIrusi kwa sasa inayo USD za kulipa lakini haitaki kuzitumia zilizopo mkononi mwake ilhali sehemu kubwa ya akiba yake inazuliiwa.
Shukrani.

Hivyo kwa sababu si mimi, wewe wala Coco reborn tunaojua terms za mikataba ya kukopeshana baina ya urusi na wadai wake ni ngumu kusema kwa uhakika kwamba wamedefault au ni force majeure sio!?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Russia imepeleka zana nzito za kijeshi ikiwemo mifumo ya kunyesheleza makombora mpakani na Finland baada ya kuionya Finland kutojiunga na NATO

View attachment 2184922View attachment 2184924
Hawa finland wanatakiwa wakaitembelee kwanza MAURIPOL kabla yakufanya huo upuuzi
Wakimaliza wende na KIEV wakaone miji ilivyopendeza
Hao jamaa hawatakaa wajiunge na NATO maana somo alilolitoa RUSSIA kwahuyo dogo limeeleweka sanaa
Pia EU NATO na US hawajatoa majibu yakueleweka kwenye hii VITA kiasi kwamba hao wafini sijui ndio wanani nawenzao wanateseka hata kama wanania kweli
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mnamsikia mzee anachosema uko au tuongeze sauti [emoji848]

Putin[emoji298]"There is no doubt that the goals and objectives of the operation in Ukraine will be fulfilled.

The goals and objectives that the west has no idea what they actually are."
Hahaha jamaa bwana master mind kweli.
Atafanya nini!? Ni swali kubwa sana kwao

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mnamsikia mzee anachosema uko au tuongeze sauti [emoji848]

Putin[emoji298]"There is no doubt that the goals and objectives of the operation in Ukraine will be fulfilled.

The goals and objectives that the west has no idea what they actually are."
Ndugu yetu Kasema NENO, sasa Tuko sisi Kina mlawa tunajua mpaka Anachokula, Hatuishiwi kusema Amefeli kuichukua Ukraine.
 
We warned them here that US has a mix of options in its arsenal to wreck the economy of Russia. Russia is meant to settle its debt in USD but now offering Rubles to its creditors. US has been allowing Russia some degree of access to its frozen financial assets but the US has NOW decided a total blockage. Now, Russia can't pay in Rubles and this leads to the default.



Watch out as Russia credit rating starts to fall, which means Russia will have to pay heavy interest anytime it wants to borrow from any country. Russia is fighting economic war and conventional war at the same time, it will soon be sent back to the 300BC at this rate.
US noma kwahiyo ile rubble
Shukrani.

Hivyo kwa sababu si mimi, wewe wala Coco reborn tunaojua terms za mikataba ya kukopeshana baina ya urusi na wadai wake ni ngumu kusema kwa uhakika kwamba wamedefault au ni force majeure sio!?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Si nnchi nyingi zinge anzisha vita ili kudefault madeni yao?
 
Russia imeipelekea moto mkali drone ya Ukraine Bayraktar TB2, zile zinazotengenezwa na Turkey

Melivita la Russia limetumia kombora la Style-1 anti-aircraft missile system kuitandika na kuigeuza majivu drone hiyo ya Ukraine iliyokuwa ikitaka kukusanya taarifa ktk maeneo ya Crimea ambapo majeshi ya Russia na zana zao za kivita yamepiga kambi.

Kombora hilo la Style-1 anti-aircraft missile system liliundwa mahsusi na Russia kwa ajili ya kulinda vikosi vya askari wanamaji na misafara ya meli za kivita dhidi mashambulizi ya drones, helicopter, boat za kivita, makombora ya kudungulia meli, n.k.

SmartSelect_20220412-125852_Chrome.jpg

SmartSelect_20220412-130149_Chrome.jpg
Screenshot_20220412-130217_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom