triga
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,029
- 5,712
ile s300 hata haijatumika wakulungwa wameinywa. Sema imepigwa mapema sana, sikutegemea. Putin kila kichaka anachoingia Zelensky yeye anatia kibiriti.Watu wanatoa ushuhuda huku hali ni mbaya Russia sio NATO wanapeleka moto
Sababu Nilikua nasikiliza album ya huyo jamaa [emoji116][emoji116],Ina nyimbo za kusikitisha.Kwako Mmarekani wa ukerewe.Mbona una hasira kuliko wasovieti?
Kama kawaida yako wewe na wenzako hasira na emotions kwenye masuala ya msingi ndiyo yanayowatawala...Na hapo ndiyo huwa unafail Mkuu,hapa tunaongelea Russia,fungua uzi wa US tutakuja kuchangia pia.Unaposhindwa kujielekeza kwenye mada iliyopo mezani huwa unakimbilia kwenye kubalance kupitia US.Russia hali tete na yes kule Afghanistan alikimbia mwenyewe.Nasubiri uzi wako wa US,nitakuja kuchangia [emoji846]
Moto wanaopelekewa huko ni hatari wanakimbia balaa[/QUOTE]Jamaa Kuna audio yake akiongea na rafiki zake akiwaeleza wamezungukwa na warussi na hakuna namna ya ku-survive(silaha zimeisha na msosi hakuna), jamaa zake wanamwambia Kama Wana nguo za kiraia wavae hizo kuzugia jamaa anamjibu wameshajaribu kila mbinu lkn imeshindikana.Afu jamaa linalia kinyamaaa Kama litoto kidogo vile [emoji1][emoji1][emoji1]Walikuwa wanadanganywa na media eti Russia hali mbaya.
Moto wanaopelekewa huko ni hatari wanakimbia balaa
Hivi kumbe zinatengenezwa Poland!!? Kama si hivyo vipi kinyago ulichokichonga mwenyewe kikutishe?Mig29 back on the table, Poland anazipeleka Ukraine maana wameona Urusi analeta ujinga
SpaceX ya Elon Musk ipo miles ahead.Russia and Belarus will jointly form the infrastructure in the space sector, Putin said.
Galip SV View attachment 2184844
Fake Newsile s300 hata haijatumika wakulungwa wameinywa. Sema imepigwa mapema sana, sikutegemea. Putin kila kichaka anachoingia Zelensky yeye anatia kibiriti.
View attachment 2184843
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Usiumize kichwa mkuu. We pita tuu kama hujazionaJifunze kuandika Boss.. unaumiza ubongo wangu.. Kucoments ni nini? Kwa akili hii unaweza kusoma articles za kiingereza kweli?
Mimi hapo kwenye bolded words tu. Kama hautanii, basi itoshe kusema wewe sio mtu wa kawaida.Na hapo ndipo mtihani ulipo,uchumi wenyewe wa Russia ni wa kawaida sana,kuhimili hii vita kwa muda mrefu huku akiwa na vikwazo vya kutosha ni ngumu sana.
Pro Putin hawana akili, ushahidi huu hapaHivi kumbe zinatengenezwa Poland!!? Kama si hivyo vipi kinyago ulichokichonga mwenyewe kikutishe?
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
It is not a technical default. It is Force Majeure. Then no liability.We warned them here that US has a mix of options in its arsenal to wreck the economy of Russia. Russia is meant to settle its debt in USD but now offering Rubles to its creditors. US has been allowing Russia some degree of access to its frozen financial assets but the US has NOW decided a total blockage. Now, Russia can't pay in Rubles and this leads to the default.
Watch out as Russia credit rating starts to fall, which means Russia will have to pay heavy interest anytime it wants to borrow from any country. Russia is fighting economic war and conventional war at the same time, it will soon be sent back to the 300BC at this rate.