Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe utakuwa na stress za maisha si bure,unataka kupangia watu namna ya ku comment? Umelazimishwa kusoma comment zake,unaonaje kama utahit ignore button ili usiwe unaziona kabisa.
Stress za maisha ni kawaida. Hata wewe unazo pia stress. Kukasirikia watu usiowajua kwenye baraza kama hili kisa kutofautiana mitizamo na kumwaga mitusi na kushambilia dini/imani za watu ni dalili kuwa stress uliyonayo ni kubwa kuliko yangu.

Alafu swala sio kumpangia mtu namna ya kukomenti. Ni kumfundisha pengine hajui jinsi ya kuandika vizuri mbona wewe huweki miemoji hivyo. Anaandika ili tusome sisi. Ni lazima aandike vizuri km anataka kuandika anavyotaka (hovyo) aaandike kwenye inbox ya bwana/mke wake.

Na wewe unataka kupangia watu member wa kuwaignore!?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwani kilio wanacholia ulaya huwa wanapewa gesi bure!?
Hivi akili zenu mnazipeleka wapi!!?

Waziri wako anasema kununua bidhaa hizo(mbolea na ngano) nje ya Russia ndio sababu ya bidhaa hizo kupanda bei. Leo mbolea imefika zaidi ya 110000 kutoka 52000.
Kwa hao mabeberu rahisi ni vilainishi na ARVs tuu

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Kupanda bei ni gharama ndogo kulipa kuepusha kushamiri udikteta popote duniani. Let freedom ring- to life ,liberty and pursuit of happiness.
 
Kupanda bei ni gharama ndogo kulipa kuepusha kushamiri udikteta popote duniani. Let freedom ring- to life ,liberty and pursuit of happiness.

IMG_2408.jpg
 
Unafiki mwingine wa ajab kweli, kama wanajua Kyiv hawezi kuzitumia walivokuwa wanamforce Turkey azipeleke walikuwa wana maana ipi sasa. Azipeleke yakawe mapambo au?
Lengo ni zile za utuki ziharibiwe halafu aanze kumshawishi asinunue tena urusi anunue za marekani, jamaa ana Nia ovu Sana Kwa kila nchi rafiki na yeye
 
Mig29 back on the table, Poland anazipeleka Ukraine maana wameona Urusi analeta ujinga
Kama Russia alishindwa kumaliza hii operation hapo mwanzoni wakati Ukraine alikuwa bado ana struggle,leo hii wameshaimarika na silaha nyingi zimeshawafikia,sioni Russia akifanikiwa tena,atatoka kimya kimya kama alivyotoka kule Afghanistan.
 
ZA ASUBUHI. TUMEKUJA TENA. WATU WAZIMA WAMEINGIA, DOTI COM FUNGENI MABAKULI YENU MPATE HEKIMA ZA WAZEE.
Alexander Lukashenko is already in Blagoveshchensk.

There, the Belarusian leader will meet with the President of the Russian Federation, and from there they will go together to the Vostochny cosmodrome (250 km to it)

Lukashenka will stay in the Far East for two days.
 
Haya sawa usiku mwema usingizi umekujaa haya ukalale ........siku ingine usikurupuke kucoments bila kufanya utafiti
Jifunze kuandika Boss.. unaumiza ubongo wangu.. Kucoments ni nini? Kwa akili hii unaweza kusoma articles za kiingereza kweli?
 
UKRAINE mnashinda Sana tu si unajua tena Russia chakula walikua nacho Cha siku 3 tu na kilishaisha.Msilie lie Sasa maana sijui hua mnalia Lia Nini wkt UKRAINE imeshinda hio Vita.
Mbona una hasira kuliko wasovieti?
 
Habari za Mariupol leo (CNN)

Ukraine's top commander: "Defense of Mariupol continues"​

From CNN's Nathan Hodge in Lviv and Cameron Hubbard

Gen. Valery Zaluzhny, commander of the Armed Forces of Ukraine, said Monday that the "defense of Mariupol continues" amid heavy fighting between Ukrainian forces inside the besieged city and Russian troops and pro-Russian separatists.
"The connection with the units of the defense forces that heroically hold the city is stable and maintained," Zaluzhny said. "I emphasize that conducting defense operations is not a topic for public discussion. We are doing the possible and impossible to win and save the lives of personnel and civilians in all directions."
Denis Pushilin, the head of the Russian-backed Donetsk People's Republic, said Monday the city's port had fallen to Russian and Russian-backed forces, Russian state news agencies reported. Those reports could not be immediately verified.
Ukrainian officials have said around 100,000 civilians remain in the city, which has come under heavy bombardment. Ukraine's defense of Mariupol has tied down Russian units and hampered their efforts to solidify a land corridor from the Russian border to the Black Sea peninsula of Crimea.
The Institute for the Study of War, a defense think tank that tracks military operations in Ukraine, assessed Sunday that “Russian forces bisected Mariupol from the city center to the coast on April 10, isolating the remaining Ukrainian defenders in the southwestern port and eastern Azovstal Steel Plant.”
The defense of Mariupol has been a national rallying point for Ukrainians, and the destruction of the city has become a symbol of Russia's indiscriminate use of firepower.
On Monday, Ukrainian President Volodymyr Zelensky claimed "tens of thousands" of people had died in Mariupol, a claim that could not be immediately verified.
 
BREAKING NEWS: Finland bans ALL overland freight transport with trucks carrying Russian license plates and ALL Russian maritime freight vessels, a move that is “likely to cause major disruptions” for Russia and its economy. RT TO THANK FINLAND FOR STANDING WITH UKRAINE!
 
Stress za maisha ni kawaida. Hata wewe unazo pia stress. Kukasirikia watu usiowajua kwenye baraza kama hili kisa kutofautiana mitizamo na kumwaga mitusi na kushambilia dini/imani za watu ni dalili kuwa stress uliyonayo ni kubwa kuliko yangu.

Alafu swala sio kumpangia mtu namna ya kukomenti. Ni kumfundisha pengine hajui jinsi ya kuandika vizuri mbona wewe huweki miemoji hivyo. Anaandika ili tusome sisi. Ni lazima aandike vizuri km anataka kuandika anavyotaka (hovyo) aaandike kwenye inbox ya bwana/mke wake.

Na wewe unataka kupangia watu member wa kuwaignore!?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Basi kila mtu afanye anachojisikia,mwache aweke emoji zake anavyotaka.Otherwise unajichosha sana na micomment mirefu ya kuexplain kitu kinachohitaji sentence 3 tu.
 
Back
Top Bottom