babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,949
- 6,754
Kwani kilio wanacholia ulaya huwa wanapewa gesi bure!?Bure kabisa, ngano ya dikteta Putin ni msaada au biashara? Kwa taarifa yako tunanunua ngano at market price ,kichaa Putin hafidii chochote hapo.
Hivi akili zenu mnazipeleka wapi!!?
Waziri wako anasema kununua bidhaa hizo(mbolea na ngano) nje ya Russia ndio sababu ya bidhaa hizo kupanda bei. Leo mbolea imefika zaidi ya 110000 kutoka 52000.
Kwa hao mabeberu rahisi ni vilainishi na ARVs tuu
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app