lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Tutaendelea kuwatia hasara TU wao waendelee kuchangishana visilaha.
Warussia ni hatari aisee linapokuja swala la vita .....[emoji54][emoji54][emoji54]..yaani NO MERCY jeshi la ukraine limefyagiwa lote dahh ....Hawa ni wanajeshi wa Ukraine waliochapwa
Hivi kwanini marekani asipeleke zile THAAD za kwake wanazo tamba nazo kwenye social media kwamba ziko poah ni kwanini wanawasukuma wenzao wapeleke hizo made in SOVIET ...[emoji53][emoji53][emoji53]Tutaendelea kuwatia hasara TU wao waendelee kuchangishana visilaha.
Hujui lolote.Huo Moto anakupelekea wewe zwazwa na familia yako , idiot . Hivi Ile misafara yenu ya silaha na wanajeshi wa kivita km 24 kuelekea kiev iliishia wapi ? Au
Huo ndio mtazamo wako na ww heshimu mitazamo ya mwenzako anaye iona Marekani si chochote sio kumtolea mapovu.Huwa ninaibeza Russia vs US na si vinginevyo,maana huwa mnajitoaga akili kutaka kulinganisha Uchumi wa US na Russia.Yes nakazia tena Russia ni maskini mbele ya US tena ni maskini kweli
Na ifahamike kuwa,yule kamanda alieondoka kazi yake imekwisha,ilikua ni Ile operation awamu ya kwanza ambayo Putin alitutangazia kuwa imeenda vizuri.Huyu ndo camanda mpya aliyepewa kazi maalum ukraine Alexander Dvornikov
View attachment 2183877
Anapeleka moto balaa hataki mazoea
Kyiv imekwisha imesambaratika Kyiv is a shell but njemba za Zelensky hatitaki elewaWe kenge naona una kaza hilo fuvu ebu jiongeze japo kidigo kachungulie japo kidogo nchi yenu ukraine ilivo kufa ....sio unadakia dakia tu eti misafara yenu sijui nini ...jinga..[emoji38][emoji38][emoji38]
Mimi nikiwaga nagonga huo utosi wake huyo nyamizi na nyundo nzito nzito .... msinifikirie vibaya ...jaman ...nilishaonaga huko ndani ya fuvu lake hamna kitu ....so mniwie radhi ..Huo ndio mtazamo wako na ww heshimu mitazamo ya mwenzako anaye iona Marekani si chochote sio kumtolea mapovu.
Mimi nasema zitaelewa tuu soon az posible ...we tafuta popcorn na coca ...ukae kwa kutulia [emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]Kyiv imekwisha imesambaratika Kyiv is a shell but njemba za Zelensky hatitaki elewa
Kwa hiyo hiyo mikopo italipwa kwa pesa ya baba yako?Hii ndio west
1.Mkopo wa SGR wao
2.Mabasi ya Mwendokasi wao
3.Terminal 3 Dar Airport wao
4.Upanuzi wa Bandari ya Dar wao
5.Ujenzi wa radar zote wao
6.Ndege zote tunazopanda kutoka kwao
7.Mkopo wa elimu mkubwa kuliko wote wao
8.Mkopo wa Covid kujenga shule wao
9.Pesa za TASAF kuwapa maskini wao
10.Umeme vijijini wao na kuboresa mitambo ya gesi waoUnashangaa Tanzania kununua ngano kwa pesa zake Urusi wakati Sukari inanunuliwa Brazil, Mafuta ya kula yanatoka Malaysia na Toothpick zinatoka China. Kalaghabao.
#Akili ndogo.
Kwa hiyo hiyo mikopo italipwa kwa pesa ya baba yako?
Bure kabisa, ngano ya dikteta Putin ni msaada au biashara? Kwa taarifa yako tunanunua ngano at market price ,kichaa Putin hafidii chochote hapo.
Ngoja nikuache huelewi hata maana ya ujinga.Halafu inaelekea unaabudu Wazungu.Mimi niliishi nao,nilisoma nao, nilikula nao,nilikuwa nawa-beat Chuoni,kwa hiyo to me Mzungu ni kama Mgogo tu,hawana la ziada.Nakupa pole sana wewe unaowaona special.Wale ni parasites tu ambao wanategemea resources zetu ili waweze kuishi.Kama umeshindwa hata kuelewa concept ya huo mfano wa 'banda la nyasi vs Mansion' basi utakuwa na tatizo.Pengine nikurahisishie tena
Wewe mtanzania unayeishi Dunia ya tatu iliyotopea kwenye umaskini wa kupindukia unakuwa na guts za kuwaita Wamarekani wanaoishi kwenye Ulimwengu wa kwanza katika nyanja zote kuwa ni wajinga kisa wamemchagua Rais usiyompenda wewe.Uanze kwanza kujiita 'mjinga' wewe unaeishi kwenye Dunia ya tatu maana umeshindwa kulisaidia Taifa lako hata kujivuta hatua moja mbele kuelekea maendeleo,hao Wamarekani huwawezi na hutokuja kuwaweza kuanzia wewe hadi kizazi chako cha tano baada yako wewe.
Astaghfirullah,Ngoja nikuache huelewi hata maana ya ujinga.Halafu inaelekea unaabudu Wazungu.Mimi niliishi nao,nilisoma nao, nilikula nao,nilikuwa nawa-beat Chuoni,kwa hiyo to me Mzungu ni kama Mgogo tu,hawana la ziada.Nakupa pole sana wewe unaowaona special.Wale ni parasites tu ambao wanategemea resources zetu ili waweze kuishi.
Aibu baba aibu,hayo machumachuma ni chujio TU kwa silaha za Urusi.Hivi kwanini marekani asipeleke zile THAAD za kwake wanazo tamba nazo kwenye social media kwamba ziko poah ni kwanini wanawasukuma wenzao wapeleke hizo made in SOVIET ...[emoji53][emoji53][emoji53]