Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Huyu ndo camanda mpya aliyepewa kazi maalum ukraine Alexander Dvornikov
Anapeleka moto balaa hataki mazoea
Anapeleka moto balaa hataki mazoea
Huo Moto anakupelekea wewe zwazwa na familia yako , idiot . Hivi Ile misafara yenu ya silaha na wanajeshi wa kivita km 24 kuelekea kiev iliishia wapi ? AuHuyu ndo camanda mpya aliyepewa kazi maalum ukraine Alexander Dvornikov
View attachment 2183877
Anapeleka moto balaa hataki mazoea
Baada ya mwezi mmoja tukija kuwauliza hapa msije kutokwa povu,maana mwanzoni huwa na mbwembwe sanaHuyu kamanda wa Kirusi aliyebadili huko Ukrane inaonekana anaroho mbaya sana, maana inaonekana Ukrane anazidiwa pamoja na kupewa Silaha za kutosha na mabeberu.
Kama umeshindwa hata kuelewa concept ya huo mfano wa 'banda la nyasi vs Mansion' basi utakuwa na tatizo.Pengine nikurahisishie tenaUna uhakika gani kwamba mimi sina mansion.Kwa taarifa yako ninayo na stage ya kuwazia nyumba au gari yenye hadhi nimetoka,sasa nataka kushauri wengine.
Anyway,ni kawaida kumhurumia mwanadamu mwenzio anapoteseka hasa kama uliona maamuzi aliyoyafanya ni ya kijinga na out of stupidity au bad advice akayafanya.
Kumbe unarefer vitabloid huko,nikadhani source ya habari yako ni magazeti ya kuelewekaKwanini unasema hivyo!?! Ni kweli hiyo kitu imeshashughulikiwa...hata gazeti la mabeberu la Sun limeandika hivyo....ilikuwa imefichwa kwenye hangar lakini ikafukuliwa huko huko...
Wewe umeagiza ipi hapo?Car Made in Russia
4. LADA XRAY
View attachment 2183673
5. LADA LARGUS SW
View attachment 2183675
6. LADA NIVA TRAVEL
View attachment 2183676
7. LADA NIVA LEGEND
View attachment 2183678
AiseeeWewe umeagiza ipi hapo?
TagAZ (Russian: ТагАЗ, Таганрогский автомобильный завод, romanized: Taganrogskiy Avtomobilnyi Zavod, lit. 'Taganrog Automobile Factory') was an automotive assembly plant located in Taganrog, Russia. An affiliated enterprise is the Rostov Truck Factory.Russia siyo Mabwepande (Made in Russia)
TAGAZ AQUILA
View attachment 2183801
Tagaz C190
View attachment 2183802
Tagaz C10
View attachment 2183804
Acha hasira. Sisi tunatoa maoni tu wanaopigana hatuna hata nasaba nao.Huo Moto anakupelekea wewe zwazwa na familia yako , idiot . Hivi Ile misafara yenu ya silaha na wanajeshi wa kivita km 24 kuelekea kiev iliishia wapi ? Au
Wewe huwa naona unapost Mambo mengi humu kuhusu Vita vya Ukraine ambayo huwa nayapata pia YouTube ..😁😁Kumbe unarefer vitabloid huko,nikadhani source ya habari yako ni magazeti ya kueleweka
Duh...mbona nyie watu mna hasira Sana?!Huo Moto anakupelekea wewe zwazwa na familia yako , idiot . Hivi Ile misafara yenu ya silaha na wanajeshi wa kivita km 24 kuelekea kiev iliishia wapi ? Au
Hata kipindi David Comeron ana ahidi kuitoa wingereza kwenye umoja wa Ulaya iwapo atachaguliwa kuwa waziri mkuu watu walimuona kama kichaa lakini unaona ni kipi kilicho tokea.Issue hapa tumeambiwa ni NATO na siyo EU, pamoja na yote ngoja tusubiri na ningefurahi kweli huyo Mama ashinde halafu tuone kama France itajitoa
Hiyo ndio tabia yetu watz kubeza walio tuzidi akiwemo ww.Kama umeshindwa hata kuelewa concept ya huo mfano wa 'banda la nyasi vs Mansion' basi utakuwa na tatizo.Pengine nikurahusishie tena
Wewe mtanzania unayeishi Dunia ya tatu iliyotopea kwenye umaskini wa kupindukia unakuwa na guts za kuwaita Wamarekani wanaoishi kwenye Ulimwengu wa kwanza katika nyanja zote kuwa ni wajinga kisa wamemchagua Rais usiyompenda wewe.Uanze kwanza kujiita 'mjinga' wewe unaeishi kwenye Dunia ya tatu maana umeshindwa kulisaidia Taifa lako hata kujivuta hatua moja mbele kuelekea maendeleo,hao Wamarekani huwawezi na hutokuja kuwaweza kuanzia wewe hadi kizazi chako cha tano baada yako wewe.
Utakuwa umechanganya mafile wewe[emoji3][emoji3]Wewe huwa naona unapost Mambo mengi humu kuhusu Vita vya Ukraine ambayo huwa nayapata pia YouTube ..[emoji16][emoji16]
Haya ngoja tumwombee Mama ashinde kisha tutakuja kuulizana hapaHata kipindi David Comeron ana ahidi kuitoa wingereza kwenye umoja wa Ulaya iwapo atachaguliwa kuwa waziri mkuu watu walimuona kama kichaa lakini unaona ni kipi kilicho tokea.