Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hiyo ndio tabia yetu watz kubeza walio tuzidi akiwemo ww.
Nyinyi sindo huwa mnaibeza Urusi kwa kuiita masikini wakati Uchumi wa nchi yenu ni sawa na asilimia 4 tu ya Uchumi wa Urusi.
Kwa hiyo usi mtuhumu mwenzako kwa tabia ambayo hata ww unayo.
Huwa ninaibeza Russia vs US na si vinginevyo,maana huwa mnajitoaga akili kutaka kulinganisha Uchumi wa US na Russia.Yes nakazia tena Russia ni maskini mbele ya US tena ni maskini kweli
 
Duh...mbona nyie watu mna hasira Sana?!
Matusi ya Nini Sasa?! Ukraine inapigwa Sana tu Tena Sasa nyie mna hasira na matusi juu why?!?!
[emoji38][emoji38][emoji38] asa Mkuu mbona kama vile unawa mbeleeeeza ...mkanyage la utosi kamanda maana humu tuko vitani usiangalie sura za pro west ......watakuchosha we kanyaga iskander m ...la utosi si unaona yeye anakupiga na javelin ...
 
Baada ya mwezi mmoja tukija kuwauliza hapa msije kutokwa povu,maana mwanzoni huwa na mbwembwe sana
Wewe kenge ngedere ukraine imegeuka majivu huko wewe unakuja kujamba jamba hapa eti ....eti baada ya mwezi moja sijui nyumbu gani HILO LIMEDULA LIMEKAA vizuri kweli huko upstair ....kweli zellensk kawateka ...nyumbu kabisa
 
Nilishakwambia wewe endelea kwanza [emoji480][emoji480],bado unanuka shombo la maziwa.
Eti eeeh
IMG_20220408_205130.jpg
 
Wewe kenge ngedere ukraine imegeuka majivu huko wewe unakuja kujamba jamba hapa eti ....eti baada ya mwezi moja sijui nyumbu gani HILO LIMEDULA LIMEKAA vizuri kweli huko upstair ....kweli zellensk kawateka ...nyumbu kabisa
Naomba usinizoee mpumbavu mkubwa wewe usiye na malezi kutoka kwa Wazazi wako.Unanijia kila sehemu na mitusi unadhani mimi ni mtoto mwenzio.Shenzi huna adabu kabisa.
 
Huo Moto anakupelekea wewe zwazwa na familia yako , idiot . Hivi Ile misafara yenu ya silaha na wanajeshi wa kivita km 24 kuelekea kiev iliishia wapi ? Au
We kenge naona una kaza hilo fuvu ebu jiongeze japo kidigo kachungulie japo kidogo nchi yenu ukraine ilivo kufa ....sio unadakia dakia tu eti misafara yenu sijui nini ...jinga..[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwa wenye akili timam em fatilizeni mlolongo wa hizi kauli... Af mniambie mmeelewa nini...

[emoji1255][emoji298]A new wave of war will begin in the east and south, there will be the most difficult battles and it’s not a fact that we will stand, - Zelensky

[emoji635][emoji1255][emoji298]Russia has almost finished preparing for the offensive operation in Donbass, - Ministry of Defense of Ukraine

[emoji298][emoji298]The Pentagon recommends Zelensky to withdraw troops from the eastern front.

This is reported by TG channels close to the Zelensky administration. This is the second such recommendation in the last 2 weeks.
 


Russian attack helicopters 'destroy Ukrainian military convoy'

Russian attack helicopters have destroyed a convoy of Ukraine's armoured vehicles and anti-aircraft warfare, Russia's defence ministry has reported. "Attack helicopters KA-52 ... destroyed weapons and military equipment of the armed forces of Ukraine," the ministry's reported as saying in a statement. The ministry published video footage of attack KA-52 helicopters flying at extremely low altitude, launching missiles and firing from guns at ground targets
 
Kwani George sarous yeye ni nani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kukuelezea maelezo ya kumhusu huyo George Soros inategemea na nini kilichomo akilini mwako kuhusu ulimwengu na walimwengu. Inategemea unaitizama dunia kutokea wapi, Bondeni au Mlimani.

Nimetumia neno bonde na Mlima nikiwa na maana ya wingi wa taarifa unazoeza kuzipata kulingana na position ya hayo maeneo. Mlimani unakua more detailed c'z unaweza kuview eneo kubwa ilhali bondeni unakuw less detailed fika kwasabab eneo unaloeza kulitizama ni finyu.

Ukizitafuta taarifa za huyu jamaa kutokea bondeni utaambiwa ni Hungarian Born American Billionaire, Investor na Philanthropist...

Ila ukitafuta taariza zake kutokea mlimani, utajua kua ni miongoni mwa viumbe ambao wako na agenda mbovu kwa humanity...

Nakosa nianzie wapi kukuelezea kwasabab kitendo tu cha kumuulizia ni nani yaonesha hufaham mambo MENGI mno kuhusu ulimwengu na walimwengu so reply moja haitoshi...
 
Hii post mbna mnairudia sana??
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]....sasa hawana habari mpya asa watapost nini we unafkiri .....waache tu nao wajifariji .....ila sisi magwiji yaani miamba ikiongozwa na mkuu PUT IN ....tuna mega ardhi taratibu yaani mdogo mdogo mpaka mpaka ukraine yoote iwe ndani ya MOSCOW....[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom