Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Majeshi ya Russia yameinywa ile S-300 ya Slovakia (NATO) iliyopelekwa Ukraine kumsaidia Zelensky...
Kwa kutumia makombora ya Kalibr, Rushia waliishambulia na kuteketeza S-300 hiyo iliyokuwa imefichwa maeneo ya kusini ya mji wa Dnepropetrovsk, Ukraine.
Shikamoo Putin, ndio maana nakuelewa mnoo...
Ktk mji mwingine uitwao Konashenkov huko Ukraine, majeshi ya Russia yalivurumisha makombora ya Kalibr toka baharini na kuangamiza pisi nne za S-300, huku wanajeshi 25 wa Ukraine wakiswagwa na kufikishwa hadi kwenye ufalme wa Baba wa Mbinguni na makombora hayo....