Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,185
- 13,760
Haya pumzika sasa na wewe usinitolee povu pia kwa kumtolea povu mwingineHuo ndio mtazamo wako na ww heshimu mitazamo ya mwenzako anaye iona Marekani si chochote sio kumtolea mapovu.
Haya pumzika sasa na wewe usinitolee povu pia kwa kumtolea povu mwingineHuo ndio mtazamo wako na ww heshimu mitazamo ya mwenzako anaye iona Marekani si chochote sio kumtolea mapovu.
Huu ndiyo ushamba wenyewe sasa,hivi unajiona ni wewe peke yako ndiyo umeishi nao[emoji23][emoji23],wewe endelea kuchangia mada tu hayo mambo ya umeishi nao wakati unabishana na mtu ambae hata humjui,hivi unataka kila mtu aweke hapa maisha yake,patatosha kweli humu.Ngoja nikuache huelewi hata maana ya ujinga.Halafu inaelekea unaabudu Wazungu.Mimi niliishi nao,nilisoma nao, nilikula nao,nilikuwa nawa-beat Chuoni,kwa hiyo to me Mzungu ni kama Mgogo tu,hawana la ziada.Nakupa pole sana wewe unaowaona special.Wale ni parasites tu ambao wanategemea resources zetu ili waweze kuishi.
Mkuu naomba unitumie hii video pm maana hapa haifungukiWakuu ebu pitieni hii video muone jeshi la ukraine walijua ni wenzao .....kumbe ni warussia ....
Yaani wamewafagia wote ...View attachment 2184043
Ya ukoloni umeshawahi kusikia mkoloni mkubwa duniani, pamoja na Uingereza alikuwa Mrusi? Na anaendelea kushika maeneo ya koloni alizoingiza ndani ya mipaka yake bila kuuliza wenyeji. Tofauti na Uingereza ambao angalau walimwacha kila mmoja aliyetaka kwenda?huelewi . Nakwambia kuna biashara kubwa ya magonjwa inayoendeshwa na watu wachache duniani ndio maana magonjwa mengi ya ajabu.
Unapokuwa na shida huna uchaguzi. Inatulazimu kukopa kwa hao wezi. Ila Russia tunafanya biashara. Tena wanajali. Ndio sababu hata silaha zetu nyingi tunanunua kwao. Hawana masharti ya kijinga.Mkopo wa SGR ilikuwa mtoto wa Magu. Benki ya kutoa mkopo ni benki ya TZ iliyowezeshwa na taasisi za Uswidi na Denmark. Anayekopa anajua kwamba atapaswa kulipa kwa masharti aliyokubali. Kama alitumia akili, alifanya vile kwa makadirio ataona faida itakayolipa gharama za mkopo na kupunguza umaskini. Kama hakutumia akili, itakuwa ni hasara na kuongeza umaskini.
Unalalamika nini?
Kila siku huwa nawaambia hakuna silaha ya kuzuia makombora,hayo ma s-300,400,sijui Thaad au patriots nk ni matakataka yasiyokuwa na maana.Majeshi ya Russia yameinywa ile S-300 ya Slovakia (NATO) iliyopelekwa Ukraine kumsaidia Zelensky...
Kwa kutumia makombora ya Kalibr, Rushia waliishambulia na kuteketeza S-300 hiyo iliyokuwa imefichwa maeneo ya kusini ya mji wa Dnepropetrovsk, Ukraine.
Shikamoo Putin, ndio maana nakuelewa mnoo...
Ktk mji mwingine uitwao Konashenkov huko Ukraine, majeshi ya Russia yalivurumisha makombora ya Kalibr toka baharini na kuangamiza pisi nne za S-300, huku wanajeshi 25 wa Ukraine wakiswagwa na kufikishwa hadi kwenye ufalme wa Baba wa Mbinguni na makombora hayo....
View attachment 2184107View attachment 2184108
View attachment 2184122
Unapimaje efficiency yake wakati adui hana silaha za kuyafikia..Mpaka sasa S-400 inawaburuza sasa tukiweka S-500 hizo??View attachment 2184162
Kwa akili yako unadhani Russia atengeneze silaha na auze nje na asiweze kuidhibiti!!?Kila siku huwa nawaambia hakuna silaha ya kuzuia makombora,hayo ma s-300,400 nk ni matakataka yasiyokuwa na maana.
Operation no2 watajuta huu msafara kiboko
Ungekuwa unawajua usinge-waabudu.Huu ndiyo ushamba wenyewe sasa,hivi unajiona ni wewe peke yako ndiyo umeishi nao[emoji23][emoji23],wewe endelea kuchangia mada tu hayo mambo ya umeishi nao wakati unabishana na mtu ambae hata humjui,hivi unataka kila mtu aweke hapa maisha yake,patatosha kweli humu.
Wanakaza mafuvu akati wanajua hawawezi kusavaivu bila russiaHaya sasa mmoja mmoja wanasalenda[emoji2]View attachment 2184263
OkMkuu naomba unitumie hii video pm maana hapa haifunguki
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wanakeraa Hawa kujitia Warusi,yupo zake Namtumbo analeta fujo.