Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Russia anachungulia hayo mapito ya silaha na magodown anayapa hypersonic guided missileHakuna cha kumzuia russia hapo kombora zitapita kama kawaida. Silaha nyingi sana zimetumwa ukraine mrejesho wake ni upi? Mbona comedy wenu kila siku analia yeye tu mara sina silaha, mara hichi mpaka sasa kapewa silaha nyingi sana zinakwenda wapi?
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app