Rais Wa Ukriane bwana Zelensky ni mchekeshaji nilitegemea zaidi ye ndo afanye Comedy Lakin anayefanya Comedy ni Putin na Kadrov wa Chechen ambaye yupo Kwa ajili ya picha za TikTok,
Urusi Sasa hivi wanakuja ns km 13, wamesahau kuwa walishapeleka convoys za Km 64? Halafu zote zimebaki story?
Sasa hivi wakati maisha yanaendelea kama kawa ndani Kyiev huku viongozi wakubwa wakiingia na kutoka kwa kupishana, Russia akija kustuka kile alichokuwa hakitaki kiingie Ukraine atakuta kimeshaingizwa, yaani mitambo ile ya kijasusi na kiulinzi aliyokuwa hataki iwekwe atastuka imeshawekwa tayari.
Ulaghai wa Putin Crimea...wananchi Crimea wameshaanza vuguvugu, hawataki tena kuwa sehemu ya Russia, waliahidiwa kwamna watasaidiwa kujitegemeza pia kukuza utalii wao, lakini sasa imekuwa sivyo, anachowafanyia Russia ni kuwahumiza wa Crimea kuhamia maeneo mengine ndani ya Russia huju Crimea akuzidi kuifanya ya kujeshi kwa kuzidi kujaxa na kurundika makambi na vifaa, huku jimbo likiingozwa ki Polisi kwa sheria kali mpaka wanajuta
View attachment 2182842
Britanicca