Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukisoma wewe inatosha Mkuu,mimi elimu yangu ya hapa na pale inanitosha kabisa midhari inanihakikishia mkate wa familia yangu,wewe 'msomi' wa kwa mnyamani huna msaada katika maisha yangu [emoji846]
Kuna tetesi kuwa Finland jirani yake Putin aliyekuwa hafungamani na upande wowote anataka kujiunga NATO. Sijajua kama ni habari sahihi au lah. Kama ni sahihi Putin anachokonolewa ili hasira zimpande zaidi.😃
 
Rais Wa Ukriane bwana Zelensky ni mchekeshaji nilitegemea zaidi ye ndo afanye Comedy Lakin anayefanya Comedy ni Putin na Kadrov wa Chechen ambaye yupo Kwa ajili ya picha za TikTok,

Urusi Sasa hivi wanakuja ns km 13, wamesahau kuwa walishapeleka convoys za Km 64? Halafu zote zimebaki story?

Sasa hivi wakati maisha yanaendelea kama kawa ndani Kyiev huku viongozi wakubwa wakiingia na kutoka kwa kupishana, Russia akija kustuka kile alichokuwa hakitaki kiingie Ukraine atakuta kimeshaingizwa, yaani mitambo ile ya kijasusi na kiulinzi aliyokuwa hataki iwekwe atastuka imeshawekwa tayari.

Ulaghai wa Putin Crimea...wananchi Crimea wameshaanza vuguvugu, hawataki tena kuwa sehemu ya Russia, waliahidiwa kwamna watasaidiwa kujitegemeza pia kukuza utalii wao, lakini sasa imekuwa sivyo, anachowafanyia Russia ni kuwahumiza wa Crimea kuhamia maeneo mengine ndani ya Russia huju Crimea akuzidi kuifanya ya kujeshi kwa kuzidi kujaxa na kurundika makambi na vifaa, huku jimbo likiingozwa ki Polisi kwa sheria kali mpaka wanajuta



View attachment 2182842


Britanicca

Putin mjanja sana anataka waingize vifaa vyao na hao askari wao wa kukodi then atume tena Hypersonic yake ikawamalize kama alivyowasaga mwezi uliopita. Chezea Putin wewe!!!
 
Urkrainian defense reports

Verified by actual Urkrainians, in Ukraine. The source is clearly listed in the graphic, feel free to find your own sources. You can share them in the comments

These are the indicative estimates of Russia's losses as of April 9, according to the Armed Forces of Ukraine.

See my other posts for details on Russian reports and further analysisView attachment 2182927
What about their (Ukraine) losses??!?!
 
Russia imeupelekea moto mkali msafara wa kijeshi wa jeshi la Ukraine..katika shambulio hilo magarivita na silaha za kudungulia ndege vya jeshi la Ukrain vimeteketezwa na kuwa majivu matupu

View attachment 2183010
Wapeleke msaada mwengine huu wahuni washaufyagia [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Uyo boris anavotembea utafikir roboti la kusetiwa. Kwahiyo wamesubir Russia atoke kyiv ndo waje? Kipindi kile babu biden aliishia poland.
Hahah pro Russia bwana sema wamefulushwa.afu Kuna habari nja kutoka Finland
 
Kuna tetesi kuwa Finland jirani yake Putin aliyekuwa hafungamani na upande wowote anataka kujiunga NATO. Sijajua kama ni habari sahihi au lah. Kama ni sahihi Putin anachokonolewa ili hasira zimpande zaidi.😃
Finland bado wanatafakari. Idadi kubwa la wananchi walibadilisha msimamo tangu uvamizi wa Ukraine. Zamani walikuwa %%30 waliopenda kujiunga na NATO, na wengi hawakutaka. Sasa ni zaidi ya %%60 wanaotaka kujiunga.
Hakuna anayewalazimisha au kushawishi - isipokuwa Bwana Putin.

Ona hapa taarifa ya Kifaransa:

france24.com

Finland gears up for historic NATO decision Helsinki
AFP) – Finland is preparing for a potentially historic decision "before midsummer" on whether to apply to join NATO as a deterrent against Russian aggression.
The Nordic nation of 5.5 million has traditionally been militarily non-aligned, in part to avoid provoking its eastern neighbour, with which it shares a 1,300 kilometre (830 mile) border.
But Russia's invasion of Ukraine on February 24 saw public support for joining NATO double from 30 to 60 percent, according to a series of polls.

"Never underestimate the capacity of Finns to take rapid decisions when the world changes," former Finnish prime minister Alexander Stubb told AFP.
Himself a long-time NATO advocate, Stubb now believes Finland making a membership application is "a foregone conclusion" as Finns re-evaluate their relationship with their neighbour.
Next week a government-commissioned national security review will be delivered to parliament, the Eduskunta, to help Finnish MPs make up their own minds, before it is put to a vote.
"We will have very careful discussions but not taking any more time than we have to," Prime Minister Sanna Marin told a news conference on Friday.
"I think we will end the discussion before midsummer," she added.
"My guess is that the application will be filed sometime during the month of May" in time for the June NATO summit in Madrid, Stubb said.

Change of heart​

Finland declared independence in 1917 after 150 years of Russian rule, only for its vastly outnumbered army to fight off an attempted Soviet invasion during the Second World War inflicting heavy losses on the Red Army.
Hostilities ended in a peace deal that saw Finland ceding several border areas to the Soviet Union.
Finnish leaders agreed to remain neutral during the Cold War in exchange for guarantees from Moscow that it would not invade.
The country's forced neutrality to appease its stronger neighbour coined the term "Finlandization".
Finland has remained outside the transatlantic military alliance, and despite some cuts after the Cold War it has focused on maintaining well-funded defence and preparedness capabilities.
"We're able to mobilise 280,000 to 300,000 men and women within a matter of days," Stubb said, adding that 900,000 reserves could also be called up.
Last week Finland's government agreed a 40-percent hike in defence spending by 2026, to further strengthen the country's position.
"We have walked a long way when it comes to our security policies, and they have worked so far," said Centre Party MP Joonas Kontta.
Like the majority of his parliamentary colleagues, the 32-year-old used to think that NATO membership was "something that we don't need at the moment".
But Russia's invasion "changed something in Europe in a way that can't be changed back", he told AFP, and Kontta recently announced that he now believes it is time to seek to join the alliance.
A number of MPs have also recently announced similar changes of heart regarding Finland's "NATO question" -- although many more are keeping their positions to themselves awaiting more detailed discussions.
- Anti-NATO minority
Only six of Finland's 200 MPs in a recent poll by public broadcaster Yle openly voiced anti-NATO views,
including Markus Mustajarvi from the Left Alliance party
Finland and Sweden's non-alignment "has brought stability to the whole of Northern Europe", the Lapland MP told AFP.
Mustajarvi questions whether NATO's Article 5 commitment to mutual defence would provide genuine protection in case of an attack.
Instead he cites Finland's own defence capabilities which are "so strong that they would force Russia to think what price it would pay for attacking".
Despite receiving "all sorts of feedback" from the public and his fellow MPs over his stance, Mustajarvi insists he has "thought this through to the end and so far I don't see a reason to change my position".

Grey zone​

Since Russia's attack, Finland's leadership has undertaken an intensive series of talks to canvass opinion from other NATO states about a possible membership bid.
Along with neighbouring Sweden, Finland has received public assurances from secretary general Jens Stoltenberg that the alliance's door remains open, as well as expressions of support from numerous members including the US, UK, Germany, France and Turkey.
But attempting to join NATO would likely be seen as a provocation by the Kremlin, for whom the expansion of the US-led alliance on its borders has been a prime security grievance.
Finland's president Sauli Niinisto has warned that Russia's response could be "on the brash side", including airspace, territorial violations and hybrid attacks.
The Kremlin has pledged to "rebalance the situation" in the event of Finland joining NATO.
Meanwhile, Foreign Minister Pekka Haavisto has acknowledged that Russia could seek to destabilise a membership bid during the "grey zone" between an application and its ratification by all 30 NATO states, which could take four months to a year.
"Finland has always tried to stay away from the grey zone," Stubb said, but he believes that Finland has the resilience to withstand potential Russian aggression or hybrid attacks.

© 2022 AFP
 
Kwa hiyo hswajspoteza hata my mmoja Wala kifaru...This is too much....propaganda keenye Vita hii imezidi mno kwa kweli...
Hata wakipoteza sio tatizo ,tatizo ni Kwa Hawa wavamizi, wababe waliodhani wangetumia siku 3 kuchukua ikulu ya Kyiv 🤔
 
Ningependa sana kukubali lakini kwa bahati mbaya kuna mifano kwamba inawezakana. Mataifa ya Maindio yalivamiwa na Marekani, na mengi hayapo tena, mengine kwa mabaki madogo tu na kivutio kwa watalii... Vilevile Urusi. Sehemu kubwa ya eneo la Urusi ni ardhi ya mataifa na makabila mengine waliovamiwa na kutawaliwa na Urusi hadi kupotea. Kuna nini kilichobaki na Tartari waliotawala sehemu kubwa zinazoonyeshwa sasa kuwa Urusi?
Ukufauli kutwaa eneo na kunyamazisha wenyewji, utahitaji vizazi vichache hadi kubadilisha lugha na utamaduni... Hii ni shabaha ya Putin anayeona ilikuwa kosa kubwa kuwapa Ukraine eneo la pekee (chini ya mamlaka ya Urusi) miaka 100 iliyopita.
Umeandika vizuri ila nakukumbusaha Ukrain ilikuwepo kabla ya Urussi nasio Urussi ili ipa eneo Ukrain.
 
Back
Top Bottom