Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urkrainian defense reports

Verified by actual Urkrainians, in Ukraine. The source is clearly listed in the graphic, feel free to find your own sources. You can share them in the comments

These are the indicative estimates of Russia's losses as of April 9, according to the Armed Forces of Ukraine.

See my other posts for details on Russian reports and further analysisView attachment 2182927

Hzi taarifa zenu mbna kila siku zina ukakasi? Zinatofautiana?
IMG_2167.jpg
 
+-Sawasawa ila ukumbuke: Putin alifundishwa mambo yake katika utumishi wa KGB; uwongo na udanganyifu zilifundishwa kama ufundi wa upelelezi kwenye vyuo vyao alipohitimu.
Sina ushahidi wowote kama Putin alifundishwa kudanganya kama sehemu ya kazi yake,kama unao lete,ila nina ushahidi kwamba Western mainstream media journalists are trained to cheat,as part of their training.See this👇

Something incredible was revealed by a brave hero of humanity. Udo Ulfkotte was the editor of one of Europe’s largest newspapers, the Frankfurter Algemeine Zeitung. A few years ago he confessed to the world that journalists worldwide are paid by the CIA, secret societies, governments, billionaires etc. to... always lie, and never tell the truth to the public.
udo-ulfkotte-quote.jpg

And if you wish this👇.
 
Russia imeupelekea moto mkali msafara wa kijeshi wa jeshi la Ukraine..katika shambulio hilo magarivita na silaha za kudungulia ndege vya jeshi la Ukraine vimeteketezwa na kuwa majivu matupu

View attachment 2183010

Kuna watu niliwaambia humu ndani hzo silaha anazopewa ukraine kwa Russia sio kitu, Russia anauwezo wa kutuma kombora nchi yoyote ya NATO na hakuna airdefense itakayozuia yani akisema natuma kombora Washington linafika freshy na linafanya maafa.

Silaha za west zimefeli sana kwa Russia, mrussi anamtia aibu sana marekani airdefense zake ni mbovu afu wanataka battle na mrussi si watachakazwa hawa. Eti unampelekea mrussi javelin na unategemea itafanya kazi mbele ya Russia.

Kuna watu humu ndani Pro USA hawaijuii Urussi vzr wamekua wanaangalia movie za kina Rambo wanadanganywa wanaamini. Russia wako vzr sana kwenye sekta ya teknology Elon Musk mwenyew anafanya kzi na Warussi kwenye satelite zake huko hawa jamaa ni hatari.

Teknologia waliyonayo kwenye jeshi ni hatari na kuna silaha nyingi sana hawajatuonesha hawanaga jambo wenyewe ni kazi kazi hawana muda na media kama US. Wakati Russia anafanikiwa kutest airdefense mpya S-550 yenue uwezo wa kuangamiza target mpaka 10,000km na inauwezo wa kuzuia hypersonic missiles. Kumbuka mpaka sasa marekani anafeli kutest hilo kombora anaishiaa kutudanganya eti alitest kimya kimya wkt kafeli mara 3.

US atamshinda Russia kwenye sekta zingine lkn sio millitary. Hakuna nchi inayompa wakati mgumu US mipango yake mingi inafeli coz ya Russia yani hawa jamaa wamemshika US pabaya sana. Na US anawaogopa ataishia kuwapa sanctions tu na sio kupigana na Mrussi inshort hao NATO wote kwa Russia ni wachumba hakuna chochote wanachoweza mfanya wataishia piga kelele kwenye media tu

Боже, благослови Россию
 
Taratibu usiwe na haraka haya mahaba kwa Mrusi yata kufanya uimbe taarabu..
202725261.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wanaelekea mzigoni tena...

Picha za setilaiti zimeonesha msafara mrefu wa kijeshi wa majeshi ya Russia ukiwa na zana kali za kivita za kuangamiza hadi sisimizi wa Ukraine

(yakiwemo makombora ya hypersonic yale ambayo Marekani na shoga zake NATO wanashinda wanamuomba Mungu huku jasho likiwavuja vikwapani ili angalau waijue teknolojia ya Mrusi aliyoitumia kuyatengeneza makombora hayo nao wakopi/waigilizie)

View attachment 2183015

Si tulitangaza operation 1 imeenda sawa tunaanza ya 2 sasa.
 
Zelensky akiri Putin kupitia majeshi yake ameiadhibu vibaya Ukraine na waUkraine. Asema kuwa sio kwamba anapenda kujadiliana na Putin ili kupata amani ya Ukraine...ila analazimika afanye hivyo.

Zelensky kaapa kutochezea fursa/ngekewa hiyo aliyopewa na Putin baada ya yeye Zelensky kuililia kwa muda mrefu

View attachment 2183027

Si wanapiga kelele humu kuwa wanashinda?
 
Kuna tetesi kuwa Finland jirani yake Putin aliyekuwa hafungamani na upande wowote anataka kujiunga NATO. Sijajua kama ni habari sahihi au lah. Kama ni sahihi Putin anachokonolewa ili hasira zimpande zaidi.[emoji2]

Kumbe mnakiri NATO ipo kwa ajili ya Mrussi kwamba nchi 30+ bado zimemshindwa taifa moja tu si aibu hzi?
 
🔥Tomorrow Lukashenko will go to the Far East of Russia.
It is known that he will not only visit the Vostochny cosmodrome (where talks with Putin will be held on Tuesday). But he will also visit Vladivostok. There the First was going to fly for a long time. He promised the governor of Primorsky Krai Oleg Kozhemyako to come to visit. Have been friends for many years.
📍The First Pool is already in place😉
 
Back
Top Bottom