Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sioni Ukraine kujiunga na NATO karibuni, NATO imekataa tangu 2008. Ila Finland wakitaka watapokelewa.
Hapo Putin anapata tokeo ambalo hakutegemea: Mpaka na nchi ya NATO kwa kilomita 1300. Hekima yake!
Sasa kama Finland atajiunga na NATO na yeye ataenda kumvamia kuwa anahatarisha usalama wake au ndiyo yals yale,wakati umeelekeza nguvu zako zote kuziba Sebuleni kunakovuja,Chumbani ndiyo kunavuja zaidi
 
View attachment 2183168

[emoji632] Marine Le Pen has taken the lead in the French presidential race with 27.8% of the vote against Macron's 26.5%, according to the interim results.
Wakienda hivi kwenye round ya pili sizan kama Macron atatoboa, Naziona hizo kura zote za wengine zikienda kwa huyo mama.

Tukumbuke alitoa ahadi akifanikiwa kushinda ataitoa France NATO na EU.
 
FMtmjf-XsBYQwiD.jpg
Watu wazima tujuane [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huna ushahidi wowote maana hujafanya kazi yako ya kuchungulia vyanzo vyako. Hii post ni takataka. Yule bwana hakuwa "the editor" wa gazeti kubwa la Ujerumani, alikuwa mmojawapo wa wanahabari kama 50 walioajiriwa na gazeti hilo. Baada ya kuondoka (hakuenda kwa amani) aliandika kutunga vitabu akianza kusambaza nadharia za njama, hasa kuhusu maovu ya Uislamu, ya wakimbizi kutoka nje ya Ulaya, na athira aliyodai ya huduma za kijasusi. Hakuwahi kulipwa na CIA.
Unataka ionekane kwamba ni takataka,lakini si takataka.Tupe ushahidi kwamba wao kama Journalists hawafundishwi kudanganya,maana yeye kasema wanafundishwa.

Pili,Udo Ulfkotte amesema yeye alikuwa Editor wa the Frankfurter Algemeine Zeitung,wewe unasema hakuwa,tupe ushahidi kwamba hakuwa.Na mind you by being an editor,alikuwa journalist pia.

Tatu,kusema tu kwamba Udo hakulipwa na CIA na kuleta accusations zingine ambazo hazina ushahidi haitoshi,lete ushahidi.Mpaka utakapoleta ushahidi, ndipo accusations zako zitakapokuwa kweli,otherwise ni udaku.

Nne, kwa nini unakingia kifua CIA,huoni kwamba it is bizzare?A Tanzanian unakingia kifua CIA,a very evil organization!Ningetegemea an American ndiye aikingie kifua CIA.Most likely wewe ni a CIA operative and also an extremely evil being.
 
This is how the Russian military is met in the Oryol and Kursk regions.

People greet the columns of the Russian Armed Forces heading towards Ukraine to participate in a special operation: many stand with Russian flags, some turn on the Katyusha, and the girls give chocolates with notes.
Galip SV
 
View attachment 2183173
Raia wako happy kishenzi,wamewaona wakombozi wao.
 
UONGO

Hayakuwa maandamano ya kuinga mkono Russia bali ya raia wa Russia wanaoishi Ujerumani kupinga kunyanyapaliwa.

Pia ni Ujerumani na Ulaya Magharibi tu ambapo unaweza kufanya maandamano ya aina hiyo ukabaki salama. Ukiandamana Urusi kupinga uvamizi utapotea.
Leo Ujerumani kulikuwa na maandamano ya kuiunga mkono Russia unaliongeleaje hili?
 
Huu ndio ushaidi wako?
Rubbish.
Sina ushahidi wowote kwamba Putin alifundishwa kuidanganya Kama sehemu ya kazi yake,Kama unao lete,Ila nina ushahidi kwamba Western mainstream media journalists are trained to cheat as part of their training.See this[emoji116]

Something incredible was revealed by a brave hero of humanity. Udo Ulfkotte was the editor of one of Europe’s largest newspapers, the Frankfurter Algemeine Zeitung. A few years ago he confessed to the world that journalists worldwide are paid by the CIA, secret societies, governments, billionaires etc. to... always lie, and never tell the truth to the public.
udo-ulfkotte-quote.jpg

And if you wish this[emoji116].
 
Wakienda hivi kwenye round ya pili sizan kama Macron atatoboa, Naziona hizo kura zote za wengine zikienda kwa huyo mama.

Tukumbuke alitoa ahadi akifanikiwa kushinda ataitoa France NATO na EU.
Huu ujinga huwa mnafundishwa wapi?
Nchi za EU haziendeshwi kienyeji hivyo kiimla kwa mtu mmoja tu kuamka na kujifanyia mambo yake.
Ufaransa haitoki NATO leo wala kesho hata angeshinda kibwengo.
Haiwezi kutoka NATO au EU bila bunge na wananchi kuamua hivyo kupitia referendum.
Huwezi kujifunza hata Brexit wewe akili ndogo.
 
Ndio Matatizo yako ya kuja jamvini na Mabaki ya chakula katikati ya wezere.
 
Back
Top Bottom