Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
kumbe kiasi jamaa wamuogope nawamuundie TUMEHiyo ni Bomber mpya ya Russia. Western wana taarifa za juu juu tu.
kumbe kiasi jamaa wamuogope nawamuundie TUMEHiyo ni Bomber mpya ya Russia. Western wana taarifa za juu juu tu.
MKUU unaniuliza ama unaniinjoy tuuKwani Ufaransa iko NATO?
kwakweli kwahuu msimamo wake hatatoboa kamweWafatiliaji wa pembeni wanadai kutangaza kwake kule ni sawa na ku'declare vita kwa kikundi flan kileee ambacho alichokiorodhesha Victor Orban aliposhinda uchaguzi. View attachment 2183192 Hapa atafanyiwa figisu figisu hatotoboa.
Sidhani kama ataivamia finland. 😄😄😄. Kwa sasa nina kila sababu ya kuamini kuwa anataka mambo yaishe ni vile USA na washirika wake hawajaruhusu hili suala lifikie ukingoni.Huo uwezo na hiyo jeuri hana.Unakumbuka kama week 3 zilizopita ulihoji swali la msingi sana lakini kipindi hicho Pro Russia walikuwa hawashikiki.
Swali lenyewe ulihoji "Hii vita ya Ukraine inaweza kuisha haraka sana kama NATO/US watapenda iishe,lakini kwa nini wameamua kupeleka silaha zaidi kwa Ukraine badala ya kuimaliza hii Vita?" Hakuna aliyekujibu lile swali,sasa kwa kinachoendelea na ukiwaona kina Finland wanajitokeza kutaka kujiunga na NATO ni kama wanazidi kumsakizia auvae mkenge zaidi.
[emoji1][emoji1] hayo yanapendaga kubishana kila kitu hata ambacho hayajakifuatilia kwa undani,ili mradi yaonekane yanajua tu.Yah Jomba.. Hadi NATO na EU wako nerves kuuchungulia uchaguzi huu af kuna jamaa mmoja ajiita akili kubwa anahoji hizi taarifa tunazitolea wapi mbona hazimpendezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 2183194 Ila Tz tuna mazuzu wengi mno ambao wanajiangalia kwenye kioo wanajiona wanajua sana...
Hapana,iko kwny Eastern Africa standby Force(EASF).Kwani Ufaransa iko NATO?
Aisee,hii kali.Topol-M (SS-27 Mod 1)
Operational
range
11,000 km (6,800 mi)
Maximum speed
7,320 metres per second (26,400 km/h; 16,400 mph; Mach 22)
View attachment 2183200
Hilo dude jeupe naona lilitua South Africa mwezi uliopita
Na wewe unaamini France atajitoa NATO kweli kisa huyo mgombea mwanamke? Hizi ni porojo unapewa,baada ya muda tutaulizana tena hapa kama France kajitoa NATO na walioleta hizi porojo watakaa kimya kama si wao walizileta.Kumbe anasera nzuri acha ashinde kwakweli
EU na NATO nitaasisi za hovyo kabisa kuwahi kutokea
mkumbushe bbc na cnn walivyoomba radhi na kukiri kudanganya kwenye mgogoro wa irakSina ushahidi wowote kama Putin alifundishwa kudanganya kama sehemu ya kazi yake,kama unao lete,ila nina ushahidi kwamba Western mainstream media journalists are trained to cheat,as part of their training.See this👇
Something incredible was revealed by a brave hero of humanity. Udo Ulfkotte was the editor of one of Europe’s largest newspapers, the Frankfurter Algemeine Zeitung. A few years ago he confessed to the world that journalists worldwide are paid by the CIA, secret societies, governments, billionaires etc. to... always lie, and never tell the truth to the public.
![]()
And if you wish this👇.
![]()
What nobody told you about Ukraine – mind blowing!
Shocking evidence of how the media worldwide is lying to humanity about what is really going on with Ukraine and Russia. A must see!www.stopworldcontrol.com
Mkuu huyu bwana mdogo ni muongo muongo mno.Anatuletea story za kijiweni hapa watu wazima na akili zetu.Ameingia JF na pupa ya hatari sijui hata hakuwahi kutulia na kuona waliopo hapa wanasoma ni watu wazima.Bila aibu kabisa eti France atajitoa NATO ,hata mtoto mdogo hii hawezi kukubali ukimwambiaHuu ujinga huwa mnafundishwa wapi?
Nchi za EU haziendeshwi kienyeji hivyo kiimla kwa mtu mmoja tu kuamka na kujifanyia mambo yake.
Ufaransa haitoki NATO leo wala kesho hata angeshinda kibwengo.
Haiwezi kutoka NATO au EU bila bunge na wananchi kuamua hivyo kupitia referendum.
Huwezi kujifunza hata Brexit wewe akili ndogo.