Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unataka ionekane kwamba ni takataka,lakini si takataka.Udo Ulfkotte amesema yeye alikuwa Editor wa , the Frankfurter Algemeine Zeitung,wewe unasema hakuwa,tupe ushahidi kwamba hakuwa.Na mind you by being an editor,alikuwa journalist pia.

Kusema tu kwamba hakulipwa na CIA na accusations zingine zote haitoshi,mpaka utakapoleta ushahidi ndio utakapokuwa ukweli.
Hata yeye kusema alilipwa na CIA haitoshi mpaka alete ushahidi wa hayo malipo. Burden of proof iko kwake na wewe mfuasi wake.
 
RS-26 Rubezh
Hii inaitwa mama mkanye mwanao
images (48).jpeg
IMG_20220410_234429.jpg
 
Mm hii habari nimeiona Dw ni raia wa Ujerumani ndio walikuwa wanaandamana walikuwa pande mbili unao iunga mkono Russia na wanaoiunga mkono Ukraine na polisi walikuwepo ili kuhakikisha hakutokei vurugu kati ya hizo pande.
Huna mfano kuhusu yale wanayodai?
Sawa, huko Ujerumani ni marufuku kuonyesha alama ya Z kwa sababu inachukuliwa kama kukubaki jinai = mashambulio dhidi Ukraine ambayo ni jinai katika sheria ya kimataifa.
Kwa hiyo wtakuwepo watu kadhaa wanaounga mkono vita ya Putin lakini wanaogopa kusema.
Ila usishau: wale Warusi wa Ujerumani ni watu walioondoka Urusi hawakutaka kuishi huko. Ama ni Wajerumani kutoka Urusi yaani familia yenye historia ya mababu waliohamia zamani (karne kadhaa) Urusi kutoka Ujerumani; au ni Wayahudi Warusi (Ujerumani ilipokea lakhi 2-3) au ni Warusi kabisa waliotaka kuondoka huko.
Picha nyingi unaona bendera za Urusi na Ujerumani kandokando.
Kwa hiyo: wanachopinga hasa ni ubaguzi dhidi ya wasemaji wa Kirusi, na kushtakiwa eti ni wauaji. Wanataka watoto wao wasikemewe wakiongea kirusi kati yao.
 
Huna mfano kuhusu yale wanayodai?
Sawa, huko Ujerumani ni marufuku kuonyesha alama ya Z kwa sababu inachukuliwa kama kukubaki jinai = mashambulio dhidi Ukraine ambayo ni jinai katika sheria ya kimataifa.
Kwa hiyo wtakuwepo watu kadhaa wanaounga mkono vita ya Putin lakini wanaogopa kusema.
Ila usishau: wale Warusi wa Ujerumani ni watu walioondoka Urusi hawakutaka kuishi huko. Ama ni Wajerumani kutoka Urusi yaani familia yenye historia ya mababu waliohamia zamani (karne kadhaa) Urusi kutoka Ujerumani; au ni Wayahudi Warusi (Ujerumani ilipokea lakhi 2-3) au ni Warusi kabisa waliotaka kuondoka huko.
Picha nyingi unaona bendera za Urusi na Ujerumani kandokando.
Kwa hiyo: wanachopinga hasa ni ubaguzi dhidi ya wasemaji wa Kirusi, na kushtakiwa eti ni wauaji. Wanataka watoto wao wasikemewe wakiongea kirusi kati yao.
Mbona umengangania Warusi walio kimbia ?
Mm hii habari nimeiona Dw shirika la habari la kijerumani.
Kulikuwa kuna makundi mawili kati ya lile linalo unga mkono Russia na lingine linaunga mkono Ukraine tena wote ni raia wa Ujerumani usitake kujifanya una uchungu sana na ulaya kuliko wenye Ulaya yao.
 
Huu ujinga huwa mnafundishwa wapi?
Nchi za EU haziendeshwi kienyeji hivyo kiimla kwa mtu mmoja tu kuamka na kujifanyia mambo yake.
Ufaransa haitoki NATO leo wala kesho hata angeshinda kibwengo.
Haiwezi kutoka NATO au EU bila bunge na wananchi kuamua hivyo kupitia referendum.
Huwezi kujifunza hata Brexit wewe akili ndogo.
Naona mrugaruga kutoka kolomije una uchungu na Ulaya kuliko wenye Ulaya yao.
 
Kumbe anasera nzuri acha ashinde kwakweli
EU na NATO nitaasisi za hovyo kabisa kuwahi kutokea
Wafatiliaji wa pembeni wanadai kutangaza kwake kule ni sawa na ku'declare vita kwa kikundi flan kileee ambacho alichokiorodhesha Victor Orban aliposhinda uchaguzi.
Screenshot_20220410-235705-01.jpg
Hapa atafanyiwa figisu figisu hatotoboa.
 
Huyo mama ndio aliahidi hivyo mkuu?
Yah Jomba.. Hadi NATO na EU wako nerves kuuchungulia uchaguzi huu af kuna jamaa mmoja ajiita akili kubwa anahoji hizi taarifa tunazitolea wapi mbona hazimpendezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220411-000408-01.jpg
Ila Tz tuna mazuzu wengi mno ambao wanajiangalia kwenye kioo wanajiona wanajua sana...
 
UONGO

Hayakuwa maandamano ya kuinga mkono Russia bali ya raia wa Russia wanaoishi Ujerumani kupinga kunyanyapaliwa.

Pia ni Ujerumani na Ulaya Magharibi tu ambapo unaweza kufanya maandamano ya aina hiyo ukabaki salama. Ukiandamana Urusi kupinga uvamizi utapotea.
Nimesoma post yake ya hayo maandamano nikaishia kucheka.
 
Unataka ionekane kwamba ni takataka,lakini si takataka.Tupe ushahidi kwamba wao kama Journalists hawafundishwi kudanganya,maana yeye kasema wanafundishwa.

Pili,Udo Ulfkotte amesema yeye alikuwa Editor wa the Frankfurter Algemeine Zeitung,wewe unasema hakuwa,tupe ushahidi kwamba hakuwa.Na mind you by being an editor,alikuwa journalist pia.

Tatu,kusema tu kwamba Udo hakulipwa na CIA na kuleta accusations zingine ambazo hazina ushahidi haitoshi,lete ushahidi.Mpaka utakapoleta ushahidi, ndipo accusations zako zitakapokuwa kweli,otherwise ni udaku.

Nne, kwa nini unakingia kifua CIA,huoni kwamba ni bizzare?A Tanzanian unakingia kifua CIA!Most likely wewe ni CIA operative.
Ongea kama mtu mzima, tafadhali. Sijui jinsi unavyotumia neno editor, kwa kawaida ni yule anayewajibika kwa maudhui ya jarida au gazeti, hii haikuwa nafasi yake. aliajiriwa tu kama mwandishi wa habari. Tafuta wasifu wake, utaona kwamba baada ya kuondoka kwenye ajira alianza kuandika mengi ya ajabu. alihukumiwa mara kadhaa.
Sina kazi ya kukinga wala CIA wala KGB, ila hakuna ushahidi wowote kuhusu CIA kumlipa Ulfkotte. Yeye alihitaji kuuza vitabu vyake, hivyo alipigia debe kwa kila namna.
Soma wasifu waake!
 

The French mercenaries fighting in Mariupol have been annihilated.​


The French mercenaries of the Foreign Legion who arrived on Ukrainian territory to fight Russian troops and militias of the Donbas People’s Republics have been annihilated on the outskirts of Mariupol.​

This is indicated by the belongings found next to the corpses, which include documents and personal belongings, and even a green beret, a sign of their crushing defeat (*).
The French mercenaries were unable to break the siege and were pushed towards the port area of Mariupol, which has not yet been taken.
The head of French military intelligence has been dismissed by the government, officially for failing to foresee the Russian attack on Ukraine on 24 February, and Macron has ordered the evacuation of all French fighting in Ukraine.
After the neo-Nazis of the Azov Battalion were driven out of Mariupol airport, near which the mercenaries abandoned all their bases and equipment, they will most likely retreat with them to the city’s port.
A few days ago, a helicopter was shot down 20 kilometres off the coast of Mariupol with two officers of the DGSE, the external security department of the French Ministry of Defence, which was presumably supposed to ensure the evacuation of the French mercenaries from the port of Mariupol.
A similar attempt also failed shortly afterwards, when another helicopter was shot down before reaching Mariupol and fell into the sea near the coast.
The number of French Foreign Legion mercenaries that have been annihilated in Mariupol remains unknown.
The Foreign Legion serves as a cover for the deployment of special operations commandos from NATO countries, especially the US and the UK, and if in Syria NATO special forces were leading the jihadists, in Ukraine they are doing the same with the Azov Battalion, which is nothing more than an appendage of the Atlantic Alliance.
The attack on the fuel depots in Belgorod, in the Russian interior, was not carried out by the Ukrainian army, but by a group of saboteurs from the US and British special services, although this information has so far not been confirmed. However, an anonymous German intelligence source claims that the attack was carried out by British special services.
It was apparently a response to the failed operation to evacuate the leaders of the Azov Battalion from Mariupol, another operation that was carried out by NATO countries’ special operations commandos.
One of the Mi-8 helicopters involved in the failed evacuation was shot down by a US-made “Stinger” surface-to-air missile captured by Russian forces. The helicopter had 17 Nazis on board, 15 of whom were killed. The two survivors were captured by Russian troops. During interrogation one of them spoke of the presence of dozens of Western special services elements disguised as international volunteers in Mariupol and elsewhere in Ukraine.
(*) https://avia-pro.fr/news/francuzskiy-inostrannyy-legion-polnostyu-razbit-v-mariupole
Los mercenarios franceses que combatían en Mariupol han sido aniquilados - mpr21
 
Back
Top Bottom