Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Anachofanya Urusi ndicho alichofanya Iddi Amin, Kuvamia eneo la nchi nyingine. Pamoja na udhaifu wake, Ukraine hapaswi kumpigia magoti Urusi, anatakiwa ajilinde mpaka mwisho. Hizi nchi kubwa zinaonaga raia wake wana thamani sana kuliko nchi nyingine. USA ashafanya sana huu upuuzi na URUSI naye anaufanya. BULLIES.
Hahaha
Ukraine mna hali mbaya sana. Sasa hivi mnalalamika kuwa bullied. Pambaneni acheni kulialia

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kila siku anapewa silaha zinaharibiwa na kuchukuliwa na majeshi ya Russia. Russia mpaka sasa wanashehena za silaha kutoka west hawana hata mpango nazo.

Eti slovakia kapeleka S-300 sasa hio kwa Russia itasaidia nini? Mbwa wako umemfuga unamjuaa in out ukaamua kumuuza sasa uliyemuuzia ndo anamtumia kama mlinzi getini akitegemea atakubwekea.
Mwanzoni wao walikiwa na pv 250 za s300 sijui baada ya kuanza operation ya kijeshi zilienda wapi. Sasa hii moja sijui itafua dafu gani km zile 250 zilishindwa.

Mtu anakupiga hypersonic missile hiyo s300 itafanya nn ss

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hujui kuwa zelenskyy ni kibaraka wa US, kuchaguliwa na Wananchi sio kigezo. Kuanzia leo ndomana nakwambia hakuna lolote unalojua tumia jukwaa hili upate elimu.
Mbona Gaddaf alikuwa kibaraka wa Russia,marekani na washirika wake wakamuondoa na wewe uliona ni uonevu/uvamizi?kwanini huo msimamo wako wa haki usisimame nao na kwa uvamizi wa ukraine?
 
Mnajua licha ya kupeleka Majeshi Luhansk ila bado Ukraine anakomboa maeneo.

Alafu ndio manataka vita na Poland na Finland [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usijichekeshe ili tukuone mcheshi.
Maeneo gani ambayo yamekombolea huko Luhansk. Mbona unaleta taarifa tupu kutoka mfukoni mwako!?

Achilia mbali Finland na nani sijui Russia anapigana na NATO wote na anawamudu vizuri tu. Maeneo aliyoyachukua mpaka sasa ni mengi na anakaribia kuifanya Ukr land locked.

Vikwazo vimebackfire hamna risasi nyingine mnayoweza kuitumia. Putin mastrplan mastermind [emoji91]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hahaha
Ukraine mna hali mbaya sana. Sasa hivi mnalalamika kuwa bullied. Pambaneni acheni kulialia

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mm nipo Tanzania, hali yangu si mbaya japo mafuta yamepanda bei. Ukraine ipo vibaya ni kweli, nchi imeharibiwa sana na mabomu. Urusi ni bully.
 
Mm nipo Tanzania, hali yangu si mbaya japo mafuta yamepanda bei. Ukraine ipo vibaya ni kweli, nchi imeharibiwa sana na mabomu. Urusi ni bully.
Figuratively speaking Ukr mna hali mbaya.
Wiki chache baadae nchi yenu itakuwa mji kasoro bahari.

Urusi ni bully, NATO ni waoga (kwa mujibu wa Zelensky mwenyewe) [emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kutofautisha kati ya kuichukia nchi na kuchukia matendo yake maovu kama ya uvamizi na ubabe wa kijinga ?
Kama una chukia ubabe wa kijinga mbona huichukii Marekani na washirika wake ambao ndo vinara wa ubabe wa kijinga wa kulazimisha kila nchi iamini kile wanacho kiamini wao?
Acha unafiki.
 
Mbona Gaddaf alikuwa kibaraka wa Russia,marekani na washirika wake wakamuondoa na wewe uliona ni uonevu/uvamizi?kwanini huo msimamo wako wa haki usisimame nao na kwa uvamizi wa ukraine?
Gadafi alifanya sabotage gani against the West,none.Kosa lake kubwa ni kuwapenda Walibya na kutaka kudhibiti mafuta yao,basi.Ni kama case ya Magufuli tu.Mbona unalinganisha vitu visivyo linganishika?Watanzania vipi,vichwa vimejaa makamasi?
 
Putin ni kichwa kigumu
Kweli unakubaliana na jamaa kabisa kwamba kwenye hivi vita shida iko kwa urusi!? Mnashangaza nyie ProNato/Ukraine

Mpaka hapa aliyepoteza sana ni nani!? Hao mataifa marafiki wamefanya nini significant cha kuisadia Ukraine dhidi ya urusi!?


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kweli unakubaliana na jamaa kabisa kwamba kwenye hivi vita shida iko kwa urusi!? Mnashangaza nyie ProNato/Ukraine

Mpaka hapa aliyepoteza sana ni nani!? Hao mataifa marafiki wamefanya nini significant cha kuisadia Ukraine dhidi ya urusi!?


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Huyo jamaa mui-ignore,ataku-potezea muda.Nahisi ni covert operator wa CIA.
 
Ah hivi bado huu Uzi upo? Swali tu bado tunashanikia urusi au mifuko yetu ishatoboka vya kutosha? Maana mwanzoni nilisema mwishoni itaumia mifuko yetu Na kweli inaumia!
 
Kifupi Ukraine Ikijiunga NATO ndio mwisho wa Russia. Au hii vita ikiisha na Russia akapigwa ndio mwisho wa Russia na NATO itabakia kummaliza China then India.
Acha hayo. Kwanza si mwisho wa Urusi. Hakuna anayetaka kumaliza Urusi. Urusi mtulivu anahitajika sana. NATO ni jumuiya ya kuteteana, hawana kazi ya "kumaliza" China. China isipoanza kuvamia wengine (pamoja na Taiwan), hakuna atakayepigana na China.
 
Usijichekeshe ili tukuone mcheshi.
Maeneo gani ambayo yamekombolea huko Luhansk. Mbona unaleta taarifa tupu kutoka mfukoni mwako!?

Achilia mbali Finland na nani sijui Russia anapigana na NATO wote na anawamudu vizuri tu. Maeneo aliyoyachukua mpaka sasa ni mengi na anakaribia kuifanya Ukr land locked.

Vikwazo vimebackfire hamna risasi nyingine mnayoweza kuitumia. Putin mastrplan mastermind [emoji91]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mzee tumia vizuri bongo yako plz
 
Back
Top Bottom