Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
.
Sikusema hao wafanyabiashara wa MArekani ni Khazarian Mafia. Ni hao waliobuni hadithi ya uwongo kuhusu Khazarian Mafia ambayo haiko. Biashara ya intaneti katika nchi hizi ni hivi: unaunda tovuti, unaweka matangazo ya kibiashara ya makampuni kama Amazon, Mcdonald, wauzaji wa kila aina. Wanalipa kama matangazo yao yanatazamiwa. Senti tu. Hivyo kila tovuti inpeleka programu ndogu za "cookies" kwenye vifaa vyetu watumiaji, vinahesabu tunaangalia nini, mara ngapi. Mwenye tovuti anatafuta njia ya kuvuta watu kwake ili walete "clicks" kwenye kurasa zake. Watu kama hao unaonakili wanajaribu kupata clicks kwa kuwaza hadithi za ajabu; kadri damu na jinai na njama ziko nyingi, zinavuta watu wanaoleta clicks. Hawajali ukweli wala nini, wanataka kuvuta watu tuz.Mbona umekasika sana mkuu.Sioni hata sababu za wewe kukasirika.Na Wafanyabiashara wa Marekani si ndio Khazarian Mafia wenyewe,watafunuaje siri zao tena,ins't this common sense.Na una uhakika gani wametunga,watunge ili wapate faida gani hasa.Anyway hapa tunachofanya ni kupeana knowledge tu,tena kwa nia njema.Ukiona knowledge haiku interest leave it,mbona hao sio ndugu zetu,why become so bitter.It seems you have a vested interest.
Mwezi mmoja na siku kadhaa kidume kakimbia 🤣🤣🤣🤣🤣Kidume siku ya leo kaishachukua kyiev, mji mkuu wa Ukraine.
● Marekani yuko wapi???
● Umoja wa mataifa uko wapi???
● Umoja wa ulaya uko wapi???
● Umoja wa africa uko wapi???
Wamekalia porojo tu kenge hao.
⚡️ Actions of the West in Ukraine could lead to 'military confrontation' between US & Russia, Antonov says
Leo Russia anaonewa wivu 🤣🤣🤣🤣Lazima walipe hao ndo walikua na project na Russia ya Nord strem 2 so mmarekani akaona wivu kwamba Russia angepaa sana kiuchumi. Ila germany anategemea nishati kutoka Russia. Leo hii umwambie achukue gas Qatar cost mara2 si uchumi na viwanda vyake utadidimia sana.
Hivyo vikwazo vingi havitafanya kazi watu watafanya biashara kama kawaida. Ni suala la muda tu
Case ya Marekani ni tofauti kabisa na Urusi.Marekani mambo yao wanafanya without provocation,history tells it all.Anything they do is for econonomic and political gain.What Russia is doing in Ukraine is not for economic and political gain,it is purely for self defence.The West wants to destroy Russia by using its' proxy Ukraine and Russia as a nation must defend itself.Anachofanya Urusi ndicho alichofanya Iddi Amin, Kuvamia eneo la nchi nyingine. Pamoja na udhaifu wake, Ukraine hapaswi kumpigia magoti Urusi, anatakiwa ajilinde mpaka mwisho. Hizi nchi kubwa zinaonaga raia wake wana thamani sana kuliko nchi nyingine. USA ashafanya sana huu upuuzi na URUSI naye anaufanya. BULLIES.
Malengo yao ama hutaki kujua au hujajaribu kutafuta, au hupendi kusema ukijua. Putin aliwahi kusema waziwazi hakubali Ukraine ni taifa na nchi tofauti na Urusi, alisema ilikuwa kosa kubwa la Lenin kukubali Ukraine iwe jamhuri la pekee nje ya Urusi ndani ya Umoja wa Kisovyeti. Alisema makosa ya zamani yanatakiwa kusahihishwa.MKUU
Naomba nieleweke kwanza malengo ya RUSSIA alioyatangaza kwenye hii OP yanajulikana
Haya yakwangu kama kuhusiana na hio ODESA haya sidhanii kama PUT IN alitangaza ila nimetoa mie kama maoni na mawazo yangu ukiangalia OP ilipoegemea kwasasa
Yale aloyatangaza RUSSIA ndio malengo yake achana na maneno ntakayokua nayasema mie
Mie sijui mpango mkakati wowote wa RUSSIA na hii OP yao
Pengine walikua na nia yakupita na komedian wamechemka ama pengine nia yako kama wanavyoisema ama wanania namalengo zaidi ya haya ila sio lazima wayatangaze ama wote tuyajue
RUSSIA sio ZIMBABWE
(1) Warusi wana ukablia sana. Angalia warusi waliopo Ukraine wanavyojifanya kuwa wao siyo wa-ukraine. Ni sawa na Wamasai walioko Kenya kukataa kuwa siyo wakenya bali ni watanzania, au wamasai wa Tanzania kusema siyo watanzania bali ni wakenya. Warusi utaifa wao umeungana kikabila siyo mipaka ya nchi.
(2) Ukraine waliharibiwa silaha zote za Nuklia baada ya USSR kuvunjika na viwanda vyote vya nyuklia vikaharibiwa. Zoze hilo lilifanyika sana wakati wa utawala wa Clinton na Yelstin. Kulikuwa na makubalinao ya kiulinzi waliyokuwa wamehaidiwa kutoka urusi, lakini baada ya kuharibiwa silaha zote za nyuklia, Putin katupilia mbali makubaliano hayo.
(3) Kiwanda cha chernobyl bado ni gofu miaka yote hii zaidi ya arobaini.
(4) Baada ya kumegewa Crimea, walianzisha jeshi lao na kulipa mafunzo na silaha kali sana kutokea Marekani na Europe. Vita ikipiganwa leo haikutakuwa njia rahisi sana kwa urusi kama ilivyotokea wakati wa Crimnea, inawezekana kabisa urusi akajutia kujipeleka katika vita hiyo.
(5) Walishafufua kiwanda chao cha ndege za kivita. Wakati wa USSR, kuna ndege fulani za kivita zilikuwa zinatengenewa Ukraine ikiwa ni pamoja na lile dege kubwa sana kuliko yote dunian la Mriya. Baada ya usalama wao kuwa wa mashaka, walifufua ile production line ya ndege za kivita na viwanda vya silaha. Ingawa havijafika mbali, ila ni swala la muda tu.
BS, magharibi iliwekeza sana kujenga uchumi wa Urusi walikuwa na matumaini wanapata nchi mpya ya kujenga uchumi wa mkimataifa. Makampuni ya magharibi yalileta viwanda vya kutengeneza magari (yaani Moskvich na Lada za zamani zilikuwa takataka ) na vifaa vingine. Walileta tekinolojia ya kuimarisha sekta ya gesi na ya mafuta.Case ya Marekani ni tofauti kabisa na Urusi.Marekani mambo yao wanafanya without provocation,history tells it all.Anything they do is for econonomic and political gain.What Russia is doing in Ukraine is not for economic and political gain,it is purely in self defence.The West wants to destroy Russia by using its' proxy Ukraine and Russia as a nation must defend itself.
maneno bila vitendo ni taarab au mziki kama miziki mengine
hakuna siku utaiona UKRAINE ikiwa NATO kama waingojea utaingojea mpaka kufa kwako
Russia asifikiri hii itakuwa ni Crimea nyingine na asifikiri akiivamia Ukraine dunia watabaki wamekaa tu kwenye fensi.
Ukraine lazima watapigana kuilinda nchi yao na mataifa marafiki hawatakuwa mbali nao ila shida itakuwa kwa Russia kwani madhara watakayopata uchumi wao utawapelekea kuwa The Banana Republic.
Mrusi mjanja, hapa ataingia kwa kigezo cha kusaidia watu wenye asili ya russia, hii vita mwishowe itapiganwa hapo hapo ukraine tu, hawa nato nao wakiingiza jeshi ni kwa ajili ya kuwasaidia ukraine kukomba donetsk na luhask na sio kuishambulia ardhi ya russia, nae mrusi atafanya hivyo hivyo, akishinda mrusi basi hapo ndio kaishamega hayo maeneo, ila akishindwa basi ndio bai bai,asahau Ukraine, itajiu ga NATO kwa jeuri kubwa.
Siku hiyo itafika pale Russia itakapojaribu kuongeza eneo la uvamizi zaidi ya ule waliofanya 2014, vinginevyo wasipojiunga NATO nchi yao itaendelea kuchukuliwa vipande vipande mpaka iishe yote.
Acha ujinga wewe,kwani hata kama waliweka viwanda Urusi,waliweka kwa kuwa wanawapenda Warusi,si waliweka for their economic gain and advancement of the wider NWO agenda.Amkeni people,mbona mnampigia chapuo Shetani?BS, magharibi iliwekeza sana kujenga uchumi wa Urusi walikuwa na matumaini wanapata nchi mpya ya kujenga uchumi wa mkimataifa. Makampuni ya magharibi yalileta viwanda vya kutengeneza magari (yaani Moskvich na Lada za zamani zilikuwa takataka ) na vifaa vingine. Walileta tekinolojia ya kuimarisha sekta ya gesi na ya mafuta.
Putin alianza kuota ndoto za kurudisha yale aliyoona kama "ukubwa wa Urusi" akaumizwa moyono kwamna koloni nyingi zilipata uhuru akaanza mchezo wa kuzirudisha. Ukraine hasa kwa sababu historia yao ya pamoja ilianza mjini Kyiv, miaka 1000 iliyopizta,
Hataki kukubali kwamba katika miaka hii mingi taifa 3 zilijitokeza, ambayo ni kawaida uiangalia maeneo mengine.
Hakuna anayetaka kumega Urusi (isipokuwa watu kama Chechen bado wanatafuta uhuru) lakini Putin anataka kufuta taifa la Ukraine.
Case ya Marekani ni tofauti kabisa na Urusi.Marekani mambo yao wanafanya without provocation,history tells it all.Anything they do is for econonomic and political gain.What Russia is doing in Ukraine is not for economic and political gain,it is purely in self defence.The West wants to destroy Russia by using its' proxy Ukraine and Russia as a nation must defend itself.
Nani anaweka viwanda kwa kupenda? Waliweka kwa faida! Kama Urusi ina faida katika biashara ya amani, wengi wengine wanapata faida. Msingi ni kufaidiana. Ila kama anatumia utajiri kwa fujo, wote wanapata hasara.Acha ujinga wewe,kwani hata kama waliweka viwanda Urusi,waliweka kwa kuwa wanawapenda Warusi,si waliweka for their economic gain and advancement of the wider NWO agenda.Amkeni jamani,mbona mnampigia chapuo Shetani?
Siku hiyo itafika pale Russia itakapojaribu kuongeza eneo la uvamizi zaidi ya ule waliofanya 2014, vinginevyo wasipojiunga NATO nchi yao itaendelea kuchukuliwa vipande vipande mpaka iishe yote.
Ila wamekutana na kigingi. Sema Japan kwa Russia sio kitu. Hiyo kazi ni ya kidukuIla unafiki hauwezi kuisha duniani, Kumbe Japan walikuwa wameorodhesha hawa Azov kwenye list ya Vikundi vya Ugaidi toka 2021... Sa hivi wamewatoa tena kwa "Apologies" nyingi nyigi...
The Japanese Security Service has removed Azov from the list of "International Terrorism 2021", where it appeared as a "neo-Nazi group".
The site now publishes an apology and recognition that the classification of the Ukrainian unit as "neo-Nazi" was erroneous and they are taking measures to prevent such mistakes from happening again in the future.