Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

200,000 homes in France could be left without power for 2 hours to save money

The government newspaper published a decree on possible cuts in energy and gas supplies. It follows from the text that the authorities are seriously thinking about a point cutoff of electricity from consumers.

True, at first they will try to unload the system at the expense of the largest consumers. If this does not help, residential buildings will be de-energized.
PARIS itakua haina tofauti na KIBERA [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Urusi hashambuliwi, anashambulia. Yupo nje ya mipaka ya nchi yake. Anayevumilia si Urusi ni Ukraine. Au ilitakiwa Ukraine asiombe msaada wa kivita aache watu wake wauwawe huku anapiga magoti kwa Urusi?
Kwa hiyo na sisi Tanzania tungemchekea Iddi Amin?Mbinu zote za nchi za Magharibi za kui-sabotage na kuisambaratisha Urusi zilikuwa zina andaliwa Ukraine.Which powerful country can tolerate that.Marekani ingevumilia haya?Uingereza ingevumilia?Ujerumani ingevumilia haya?Surely no.Now,why should Russia be expected to tolerate this,ni double standards za ajabu sana.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Ndugu yangu waambie hata hao marekani hawayajui malengo ya put in huko ukrein
Kabisa MKUU Al assad pitia haps jamaa katia neno huyu
Mana anaweza akawa kaiaminisha dunia kwamba anataka hivi kumbe akawa anataka vile
Malengo ya hii OP yanayojulikana wazi kabisa nikwa UKRAINE kua mbali na NATO hayo mengine kama usemavyo hata hao PENTAGON hawayaelewi
 
Ila unafiki hauwezi kuisha duniani, Kumbe Japan walikuwa wameorodhesha hawa Azov kwenye list ya Vikundi vya Ugaidi toka 2021... Sa hivi wamewatoa tena kwa "Apologies" nyingi nyigi...

The Japanese Security Service has removed Azov from the list of "International Terrorism 2021", where it appeared as a "neo-Nazi group".

The site now publishes an apology and recognition that the classification of the Ukrainian unit as "neo-Nazi" was erroneous and they are taking measures to prevent such mistakes from happening again in the future.
 
Magaidi ya NATO YANAZIDI KUJIPIGA NGUMI YENYEWE the so called vikwazo wala haytuumizi sisi tu hata yenyewe na Viserikali vyao vingi vitaanguka uchaguzi ujao vingi sana sana...
Kakate majani
 
Kwa hiyo na sisi Tanzania tungemchekea Iddi Amin?Mbinu zote za nchi za Magharibi za kui-sabotage na kuisambaratisha Urusi zilikuwa zina andaliwa Ukraine.Which powerful country can tolerate that.Marekani ingevumilia haya?Uingereza ingevumilia?Ujerumani ingevumilia haya?Surely no.Now,why should Russia be expected to tolerate this,ni double standards za ajabu sana.
Hizi clip 2 tu zatosha kujielezea who is behind kwenye huo Mgogoro wa Russia na Ukraine...
na hii
 
Astaghfirullah !
Putin Jasusi Mbobezi kama Mh. Bernard Membe , amesha ithibitishia dunia ya kwamba yeye ndiye mbabe kwa sasa.

Hivyo Marekani ni kama CCM tu mbele ya Chadema! Yaani mwanamke hawezi kupigana na mwanaume kirahisi tu. Labda akuvizie na kuzikamata zile nanihii (kwa Marekani ni vikwazo dhidi ya Russia), hapo atashinda.
 
Ni safari ndefu kwa sababu miondombinu muhimu, misaada yote na mikopo inatoka kwao!
1.Mkopo wa SGR wao
2.Mabasi ya Mwendokasi wao
3.Terminal 3 Dar Airport wao
4.Upanuzi wa Bandari ya Dar wao
5.Ujenzi wa radar zote wao
6.Ndege zote tunazopanda kutoka kwao
7.Mkopo wa elimu mkubwa kuliko wote wao
8.Mkopo wa Covid kujenga shule wao
9.Pesa za TASAF kuwapa maskini wao
10.Umeme vijijini wao na kuboresa mitambo ya gesi wao
Bila kusahau NET za bure na ARV
 
Kwa nini mnakomaa kutembeza bakuli kuomba na kuchukua misaada na mikopo ya mashoga badala ya kwenda kupewa huko kusiko kwa mashoga?

Unaniuliza swali tena mimi? Wewe si umeleta hio hoja?. Usikurupuke kucomment kama hujui chochote itakusaidia bora uwe mjinga upate elimu kuliko kujikuta ni bingwa wa kucomment kumbe ni falasi tu.
 
Back
Top Bottom