Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

unajua tatizo la Nuclear War ? Sio kwamba Napiga na wewe unanipiga alafu tunasahau..., Mpaka leo kuna sehemu Amarica bado kuna mabaki ya contamination yaliyotokea wakati wa testing ya Atomic Bomb..., waulize Japan mpaka leo athari za yale mabomu....

Hii kitu inaweza kuteketeza mji mzima na mabaki yake kuendelea kusambaa karne hadi karne..., Hizo weapons ni ngumu mtu kuzitumia imebaki tu kama ya kujilinda na kutishia watu kwamba msiniguse mkinigusa nitakinukisha....

Russia sio mjinga NATO akiingia Ukraine na kwa Siasa zao na propanganda ni kama kumkaribisha mchawi jikoni kwako.. (kwahio strategically this move was always coming from Russia)
Siasa za nchi za NATO zikoje na za Russia zikoje?
Zinatofautiana nini?
 
Biden tried to define the United States in one word, but something went wrong:

“America is a nation that can be defined in one word. I was under... under... sorry, at the foot of the Himalayas with Xi Jinping. I traveled with him. Drove 17,000 miles when I was VP. But it is not exactly".
Galip SV
View attachment 2181167
Hakika uzee ni shida. Tunashauriwa ukizeeka unatakiwa upumzike. Mzee atakufa kwa presha za Urusi.
 
Kinachotokea Ukraine ni uhalisia ndugu,hisia zitafanya usione ukweli. Hii ni operation ambayo lazima iwe na matokeo, huenda usiyapende.
Matokeo? Bila shaka. Hadi sasa maiti karibu 20,000 ta Warusi, nahisi idadi ileile ya Ukraine. Uharibifu kibao. Watu watakaoendelea kusikia maumivu kutokana na jeraha, hadi mwisho wa maisha yao. Halafu nchi za Ulaya ambazo hadi sasa zilitumia pesa kidogo kwa jeshi (waliweza kuzitumia kwa utamaduni, utalii, pia misaada kwa mfumo wa afya Tanzania) sasa watanunua silaha.
Na mjinga mkuu ataona jinsi gani nchi yake inatengwa na maendeleo ya tekinolojia ya juu, umaskini utaongezeka. Chuki itabaki.
 
Tatizo sio Ukraine kutaka kujiunga NATO?
Watu wanakurupuka tu na kuchongoa midomo yao, hawajui chanzo cha haya yote. Russia sio mwenye tatizo katika hii vita.

● 2014 majimbo mawili yalijitoa katika nchi ya Ukraine, Luhansk na Donesk, yakajitangaza ni majimbo huru. Baada ya kujitoa na kujitangaza kuwa huru yalienda Moscow na kuomba msaada wa ulinzi kwa Rais Putin.

● Wakaingia mkataba wa ulinzi na Russia. Ukraine walipeleka majeshi katika miji hio week mbili zilozopita, Russia ilibidi apeleke majeshi yake kutuliza amani na ulinzi kama makubaliano yalivokua kati yake na Donesk na Luhansk. Ukraine akaanza kumshambulia msafara wake.

Putin akatoa tamko wanajeshi wa Ukraine waweke silaha chini na wajisalimishe. Wamegoma. Akaitisha mkutano UN wa dharura ili wajadili hali ya amani katika hio miji miwili wanajizungusha.

Mnataka afanye nini sasa??? Ni kuwachapa tu mpaka bukta zivuuke. Na atakaejisogeza nae anakula za uso.
 
Hajaichukua
Kidume siku ya leo kaishachukua kyiev, mji mkuu wa Ukraine.

● Marekani yuko wapi???

● Umoja wa mataifa uko wapi???

● Umoja wa ulaya uko wapi???

● Umoja wa africa uko wapi???

Wamekalia porojo tu kenge hao.
 
Kwa hiyo mkuu maandishi ya kirusi ndio ushahidi ya kwamba Urusi ana husika?

Kwa hiyo maandishi yangekuwa ya kiingereza tunge ituhumu wingereza sio?

Hata waukraine kirusi wana kijua sana tu kwa sababu wale ni jamii moja.

Ukiona vyombo vya habari havijaipa nguvu taarifa fulani kwenye huu mgogoro basi jua hiyo habari ni hasi kwa Ukraine.

Hilo shambulizi linge fanywa na Urusi ndio ingekuwa habari ya dunia hadi vikao vya umoja wa mataifa vingekuwa vimeitishwa.
Tafadali tafakari kdogo. Dai la Urusi eti Ukraine ilitaka kuzuia wananchi wasondoka halina mshiko. Kupga simu inatosha, treni isiende tena. Hakuna sababu kutumia silaha inayohtajika kwa mapigano. Tena aina hii ya Tochka ambayo si rahisi kulenga. Tena kukatisha tamaa wanajeshi wa Ukraine wanojitolea wakiamini wanaotetea familia zao. Hivyo waue familia zao???
Hata kama ni kweli kwamba jeshi la Urusi halitumii tena Tochka (sijachungulia), inajulikana wanamigambo wa Donetsk wanatumia.
Ndiyo, maandishi ya Kirusi ni dokezo kuhusu asili, hata kama si uthibitisho bado.
 
The United States has problems with the theft of property of Russians.

The US Congress failed to pass a law on the "seizure" of the assets of Russian businessmen to transfer the proceeds to Ukraine. This was reported by the Washington Post, citing its sources.

The non-governmental organization American Civil Liberties Union (ACLU) prevented such legislation from being passed.

According to the newspaper's sources, representatives of the ASWGS told congressmen that such a law would run counter to US law, as it would not allow Russian businessmen to challenge the seizure of their property in a US court.

The organization explained that even if approved by Congress, the US judiciary would have repealed this law.

Such an outcome would lead to Moscow's "propaganda victory" over Washington, the ASWG warned.
 
200,000 homes in France could be left without power for 2 hours to save money

The government newspaper published a decree on possible cuts in energy and gas supplies. It follows from the text that the authorities are seriously thinking about a point cutoff of electricity from consumers.

True, at first they will try to unload the system at the expense of the largest consumers. If this does not help, residential buildings will be de-energized.
 
Nimedata!Mimi na-offer taarifa ambayo watu pamoja na wewe hamna,halafu unasema nimedata, how stupid are you!Hii ni kuwa-wezesha kuelewa mgogoro wa Urusi na Ukraine vizuri.Bila kuwa na uhusiano wa historia zao,huwezi kuelewa kabisa mgogoro huo,utakuwa una-hang tu.At most ulipaswa kunishukuru,badala yake unanikebehi tena,ajabu sana.
Historia ni muhimu, ila uhusiano wako na historia ni sawa na uhusiano baina ya samaki na baisikeli. Historia hujui kitu, unanakili na kupesti ujinga wa wafanyabiashara wa Marekani ambao wanapika nadharia za nyama kwa makelele makubw ili wapate views (views=pesa) kwenye tovuti zao. Hii ya "Khazarian Mafia" ni upuuzi mtupu. Wanaisumulia kwa sababu watu ni wachache ambao wana picha kuhusu siku zile hivyo wanajisikia huru kutunga hadithi bila hatari ya kutambuliwa.
 
The sanction package, which has not yet come into force, includes:

▪️A ban on the import of Russian coal from August;

▪️A ban on access of Russian ships to European ports;

▪️A ban on cargo transport links with Russia and Belarus, including transit through the EU, except for the transfer of medicines and food;

▪️A ban on the supply of aviation fuel, semiconductors, complex electronics, software, sensitive equipment to Russia;

▪️A ban on the supply of wood, cement, fertilizers, seafood and alcohol from Russia;

▪️A ban on participation of Russian companies in public procurement in the EU;

▪️New sanctions against Russian businessmen, high-ranking officials;

▪️A complete ban on transactions with 4 Russian banks.
 
⚡️ Actions of the West in Ukraine could lead to 'military confrontation' between US & Russia, Antonov says
Kwa jinsi nchi za Magharibi zinavyo isaidia Ukraine,anything is now possible.Ni wazi sasa kwamba Ukraine is fighting on behalf of the West,na sidhani kama Urusi watauvumilia hili for too long.
 
Ni safari ndefu kwa sababu miondombinu muhimu, misaada yote na mikopo inatoka kwao!
1.Mkopo wa SGR wao
2.Mabasi ya Mwendokasi wao
3.Terminal 3 Dar Airport wao
4.Upanuzi wa Bandari ya Dar wao
5.Ujenzi wa radar zote wao
6.Ndege zote tunazopanda kutoka kwao
7.Mkopo wa elimu mkubwa kuliko wote wao
8.Mkopo wa Covid kujenga shule wao
9.Pesa za TASAF kuwapa maskini wao
10.Umeme vijijini wao na kuboresa mitambo ya gesi wao
Wapiga propaganda za mashoga wapo wanaendelea. Akina Nyamizi na wenzake wapo. Afrika tupo na safari ndefu sana. Mwanamke kama Nyamizi anashangilia ushoga!!!!
HII NI HATARI SANA.
 
Kwa jinsi nchi za Magharibi zinavyo isaidia Ukraine,anything is now possible.Ni wazi sasa kwamba Ukraine is fighting on behalf of the West,na sidhani kama Urusi watauvumilia hili for too long.
Urusi ilijua hilo na ilitegemea kutokea hilo kwa sababu walijua fika akimuadhibu "kibaraka" wao lazima watasimama.....sasa hapo lazima Rusia itakoleza moto ambao dunia itatikisika zaidi.
 
Kwa jinsi nchi za Magharibi zinavyo isaidia Ukraine,anything is now possible.Ni wazi sasa kwamba Ukraine is fighting on behalf of the West,na sidhani kama Urusi watauvumilia hili for too long.
Ukraine inapigania kwa ajili yake yenyewe kwa sababu imeshambuliwa bila sababu.
Urusi haivumilii kitu, inashambulia.
Urusi imeshatisha mengi, lakini uwezo wake ina mipaka.
Roketi kutoka Slovakia zimepita tu mpaka na kufika Ukraini, baada ya matishio mengi kutoka Urusi, na baada ya matangazo mengi ya marafiki wa Putin eti Urusi itazuia hatua ya aina hii.
 
Back
Top Bottom