Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 15,410
- 35,923
Mki calculate vifaa alivyo poteza russia msi sahau ba zile alizo ziache USA kwa wa Taliban
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁😁 yaani hayana cha kushika Haya ma🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺 viazi .Walikuwa wanakamsemo kao No Rubble no Gas 🤣🤣🤣🤣. Hii kauli sijaiona tena
😁😁😁 hapo unamnanga msemaji wa Putin bwana Peskov. Maana ni yeye katuambia juzi kuwa uvamizi wa🇷🇺🇷🇺🇷🇺 huko 🇺🇦🇺🇦🇺🇦 umeleta maafa kwa jeshi la 🇷🇺🇷🇺🇷🇺na hata hivyo lengo lao halijatimia kwenye hii ngwe ya kwanza , akasema wanategemea malengo yao yatimie kwenye ngwe ya pili 😂😂😂😂😂😂Mki calculate vifaa alivyo poteza russia msi sahau ba zile alizo ziache USA kwa wa Taliban
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anapiga hata nzi namfahamu nilisoma naeView attachment 2179386
Mlenga shabaha wa FSO akiwa kwenye moja ya kuta za Kremlin, katikati ya Moscow.
Unajua maana hypersonic??Kama hypersonic tu inamshinda unategemea nini?
😂😂😂😂😂 sisi kazi yetu kuwakumbusha tu matamshi yenu 😁😁😁😁😁muda huu kiev inaenda kuchukuliwa. wanajeshi wa ukraine wameanza kusarenda
pro🇷🇺🇷🇺🇷🇺 tunawakumbusha maneno yenu ya mwezi mmoja uliopita 😂😂😂😂😂Tukimpiga Ukrain ndipo tutaenda mezani kwa sharti 1 tu, kuondoa vikwazo vyote vilivyowekwa na wahuni
😂😂😂😂😂 tunakumbushana tu .Tayari tupo Kiev saizi na tunapiga kama tulivyowaaminisha awali na tunashukuru kwa kutuamini,hakika hatutawaangusha.
😂😂😂😂😂Putin amekataa hizo mambo. Amesema tayari ashaanza ^special operation,^ na lazima ikamilike. Too late for the president! Lazima Ukraine plus nchi zote za former USSR zirudi Russia.
Wamarekani wenzangu wa kimbiji eyo wasup man. Hahahaaa.
Nimetania kidogo hapo lakini kwakweli babu Biden na serikaliyake hawalali usingizi kwa aibu wanayo ipata huko ulaya, yani nikama Putin anawapiga wao.
Kwamtazamo wangu.
ukiangalia kimkakati Putin akimalizana na Kiev hataishia pale.
Kama kweli kilicho mfanya kuvamia Ukraine ni security issues,then anahitaji kuwafurusha wanajeshi wa US Poland na Romania.
Sababu nyingine nikwamba tayari Putin na washirika wake wameona US ni debe tupu kwahiyo watataka kumjaribu Poland waone atafanyanini.
Bilashaka Putin anaamini US akibaki Poland atakuwa haja maliza kazi sababu US watatumia ukaribu huo wa Poland ama Romania kuleta usumbufu Ukraine ambayo itakuwa tayari chini ya Russia.
Wamesha mjaribu Syria, na Venezuela wakaonakumbe hanauwezo mkubwa kiasi hicho.
Vi nchi vingine kama Latvia na Lithunia havina sumu Putin akivitaka anaweza kutuma migambo tu.
Ngoja tusubiri muda simrefu moto utawakatu.
Kidume siku ya leo kaishachukua kyiev, mji mkuu wa Ukraine.
● Marekani yuko wapi???
● Umoja wa mataifa uko wapi???
● Umoja wa ulaya uko wapi???
● Umoja wa africa uko wapi???
Wamekalia porojo tu kenge hao.
alisikika mlevi wa ki🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺 baada ya kunywa vodka 😂😂😂Putin anaweza kuivamia hata marekani na wasifanye chaochote
😂😂😂😂😂Mwanaume putin,bado kilomita 10 tu,aingie kiev,kazi kwenu NATO marafiki wakati wa raha..View attachment 2130839
Nimedata!Mimi na-offer taarifa ambayo watu pamoja na wewe hamna,halafu unasema nimedata, how stupid are you!Hii ni kuwa-wezesha kuelewa mgogoro wa Urusi na Ukraine vizuri.Bila kuwa na uhusiano wa historia zao,huwezi kuelewa kabisa mgogoro huo,utakuwa una-hang tu.At most ulipaswa kunishukuru,badala yake unanikebehi tena,ajabu sana.Aiseee ...........!!!!!!!!!!!
Wewe umedata.....
😂😂😂😂Sia lazima atumie nyuklia. Wana makombora mengi ya kutumia na kuichakaza Ukrain, Cha muhimu sio kuichakazi nchi, utapata nini?? kuna wanachotaka baada ya vita..ikiwa hamna mtu wa chochote baada ya kupiga nyuklia kuna fiada gani. Vita hii sio ya umwamba kama wengi wanavyodhani, ni ya kupata wanachotaka..Urusi wanataka kumtoa Kiongozi wa nchi na waweke anaewaunga mkono kwa maslahi yao.