LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23] uzi zingine inabidi tu ucomment ili siku ukipoast na ww, wana kama mtoa mada msinyime japo like ilaaaa mmmh,,,,,,kama taifa kazi tunayo
 
Ndugu wanajamvi habari za jioni na poleni kwa kazi nzuri mliyoifanya tangu Jumatatu na hata tunahitimisha wiki yetu.
Jambo moja kubwa limenifikirisha sana kiasi cha kunileta mahali hapa kuvuna maarifa.

Namtizama zaidi Rais Vladmir Putin kama kiongozi mwenye haiba nzuri Russia, mshawishi na mchapakazi. Pia namuona kama kiongozi mwana mikakati na hodari.

Je ana interest gani kuishambulia UKRAINE?
Achukue nchi
 
Na mpigaji anakufa pia...
Hakuna nchi iliyo tayari kwa sasa kutumia silaha za nyuklia mkuu...
Silaha za nyuklia walizonazo Urusi na Marekani zanaweza kuingamiza Dunia zaidi ya mara tano......
 
Islael ndio wakina nani tena Mkuu?
Haujui kuwa warusi wengi ni damu ya kiisrael! Mfano mliliki wa Chelsea Abromovic!Kipindi Rumi inaipiga Israel au uyahudi na kuidondosha Waisrael wengi walikimbilia ulaya hasusani ulaya mashariki ikiwa ni pamoja na ujerumani ambako walikumbana na mauaji chini ya Aldof Hitler! Kizazi kingi kilikimbia mashariki mwa ulaya kwa sehemu kubwa Urusi! Kwa hiyo Mrusi na Mwisrael nindugu wa damu! Piaukicheki warusi ni high IQ sana kama Israel!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] uzi zingine inabidi tu ucomment ili siku ukipoast na ww, wana kama mtoa mada msinyime japo like ilaaaa mmmh,,,,,,kama taifa kazi tunayo
Bora angeandika tu #UziTayari akatembea mbele kuliko kuandika pumba na kuzidi kujiaibisha.
 
Hongera kwa uzuri mzuri. Hakika ni hata mbuyu ulianza kama mchicha
 
Marekani ameprove Hana lolote. Hii itasaidia nchi kuingia kwenye mrengo wa Russia. Maana naye Ni mbabe haingiliwi.
Nilishangaa sana alicho fanya mrusi syria na venezuela nikawa sijaamini lakini sasaivi rasmi najua US amepata mbabe.
 
Sasa Urusi atakubali ashindwe vita ili hali ana nuclear weapon?
Sia lazima atumie nyuklia. Wana makombora mengi ya kutumia na kuichakaza Ukrain, Cha muhimu sio kuichakazi nchi, utapata nini?? kuna wanachotaka baada ya vita..ikiwa hamna mtu wa chochote baada ya kupiga nyuklia kuna fiada gani. Vita hii sio ya umwamba kama wengi wanavyodhani, ni ya kupata wanachotaka..Urusi wanataka kumtoa Kiongozi wa nchi na waweke anaewaunga mkono kwa maslahi yao.
 
SPUTNIK reports that [emoji635] Putin ready to send delegation for talks with [emoji1255] Kiev – Kremlin
 
Back
Top Bottom