Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Mpaka sasa hivi kinachompa Putin wakati mgumu ni propaganda za marekani, kwamba atakapovamia Ukraine basi atakua amewaprove right marekani kitu ambacho Putin ataki sababu hii itawapa credit marekani.
Kinachowapa nguvu wamarekani ni teknolojia waliyonayo wanajua kinachoendelea mpaka mwa Russia na Ukraine, katikati ya wiki Russia walisema vikosi vinarudi kwenye Kambi zake kumbe ilikuwa ni kinyume vikosi vilikuwa vinaongezeka na marekani kama kawaida amejua kupitia satellite na anaendelea na propaganda na hii inaendelea kumpa Putin wakati mgumu.