Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukrain hawana NyukliaTaifa la Ukraine ni miongoni mwa nchi zinazomiliki silaha za Nyuklia na makombora ya masafa marefu
Ni taifa kubwa tu la watu milioni 45 kulingana na takwimu za mwaka 2020
Jamaa wana silaha za kila aina lakini wanapigwa biti na mrusi wanaufyata
Kila mtu anaijua nguvu ya Putin na Urusi,lakini nachotaka kusema hapa ni kuwa, kama nchi nyingine tusiwe kama Ukraine
Hata kama ni Russia na manguvu yote ukraine alitakiwa akitishiwa kuvamiwa naye aonyeshe misuli ya umwamba
Taifa la watu milioni 45 sio taifa dogo wakuu ni taifa ambalo linaweza kuwa na uwezo wa kutunisha misuli kwa taifa hata lenye watu milioni 300
Sasa wapo milioni 45 wanakua waoga hivyo na wanaonyesha udhaifu mkubwa,jee wangekua milioni 3 au 4 jee?
Taifa la watu milioni 45 mkiamua kuwekeza kwenye jeshi na uwezo mkubwa mnauwezo wa kulitunishia misuli dola lolote hapa ulimwengu, milioni 45 inakutosha kuwa superpower nawe ukatunisha misuli
Na silaha za nyukilia wanazo lakini wamekua watu waoga hivyo?Vita ikitokea Ukraine wakijipanga wakipigana na Russia hata kama mrusi atashinda lakini wangemuachia russia makovu fulani au kumporomosha kiuchumi,kwamba vita viww virefu vya kufa na kupona.
Ukraine anapitwa hadi na nchi kama Israel ambayo ina idadi ndogo lakini wanatunishia misuli madola makubwa,kila kitu ni kujipanga,Israel sio wengi ni nchi ndogo lakini kijeshi wanajitahidi vipi hao ambao wapo milioni 45 na wamejionyesha dhaifu hivyo
Una makombora ya masafa marefu yanayofika Moscow halafu unatishiwa kuvamiwa?Kwanini usitamke wazi kabisa kwamba ukivamiwa utaishambulia Moscow kwa makombora ya masafa marefu?
Hii nchi ni ya ajabu sana....Mimi kwa hili nasimama na Urusi katika huu mgogoro lakini Ukraine wanafeli sana masilaha yote hayo lakini wameshindwa hata kupiga mkwara tena watavamiwa na hawatafanya kitu,hawa jamaa ni useless kabisa
Ukraine hawafai kuigwa
(1) Warusi wana ukabila sana. Angalia warusi waliopo Ukraine wanavyojifanya kuwa wao siyo wa-ukraine. Ni sawa na Wamasai walioko Kenya eit kukataa kuwa siyo wakenya bali ni watanzania, au wamasai wa Tanzania kusema siyo watanzania bali ni wakenya. Warusi utaifa wao umeungana kikabila siyo mipaka ya nchi.Kutokana na yanayoendelea donbas,luhansck na donesck wanasiasa wa Ukraine wapo makini sana na maamuzi yao kwa sabab makosa kidogo tu hayo majimbo matat watayakosa jumla na nchi itavurugika.
Na ktk mapambano kuwa na silaha kali hakukupi dhamana ya kushinda pambano tumejionea kwa saudia na washirika wake dhidi ya wahouth.
Ingawaje unasema kuwa Ukraine wana silaha za nyuklia lkn sidhan km zinaweza wasaidia km hawapo vzr kiujasus,unapotaja nchi zinazotamba ktk ujasus huwez kutoitaja urus,us na nato licha ya ubabe wao lkn mara nyingi tu huwa wanalalamika kujasusiwa na urus sasa Ukraine unadhan amesalimika vp na ujasus wa urus ilhal juzi tu wamesema tovut yao ya usalama imedukuliwa kwa siku mbili mfululizo???
kukubali yaishe nn RUSSIA hakutaka kuikaia UKRAINE ila yupo wazi UKRAINE haitakiwi kuingia NATO hili kaliweka wazi kama NATO wanauwezo waiunge UKRAINE na NATO ndio mutaelewaWatu wametengeneza silaha nyingi na za hatari lakini kiuhalisia hawatazitumia na badala yake migogoro itasuluhishwa mezani.
Katika dunia ya leo vita ni ghali sana na unapopigana kisha vita vikiisha na uchumi wako unakuwa umesambaratika kabisa na kuujenga tena ni kazi ngumu kushinda vita vyenyewe na haijalishi kama ulishinda hivyo vita au la.
Hiyo scenario ndio kila nchi inajaribu kuepuka bila kujali nchi ni kubwa au ndogo na inapofika hapo ndio maana hata Russia leo hii nimesikia wameanza kuondoa wanajeshi wao kutoka kwenye mpaka wao na Ukraine.
Russia wameona isiwe shida kwani wakiwekewa vikwazo wameona hawana dawa ya vikwazo na wanafahamu athari ya vikwazo vya kiuchumi ni mbaya kuliko kuikalia ardhi ya Ukraine kwa nguvu hivyo naona wanaelekea kukubali yaishe.
Nato imeshaweka wazi kwamba swala la Ukraine kujiunga na Nato liko pale pale na kwamba Russia hana haki ya kuiamulia Ukraine mambo yake.kukubali yaishe nn RUSSIA hakutaka kuikaia UKRAINE ila yupo wazi UKRAINE haitakiwi kuingia NATO hili kaliweka wazi kama NATO wanauwezo waiunge UKRAINE na NATO ndio mutaelewa
maneno bila matendo hayasaidii lipo lipo wapi wakati nisasa kijanaNato imeshaweka wazi kwamba swala la Ukraine kujiunga na Nato liko pale pale na kwamba Russia hana haki ya kuiamulia Ukraine mambo yake.
mrusi kelele tu hana huo ubavu ajaribu apigwe nyie mnawaona kama wanaiweza dunia ahahah. Alikuwepo mwanaume hitler huyo putin mweupe tu.Nipo Manzese kwa mfuga mbwa.
Wewe unaijua Urusi au unaisikia tu. Urusi akitia mguu mahali marekani hufyata mkia fasta. Nakupa mifano miwili: Marekani ilikuwa inataka kumwondoa rais Asad wa Syria ili waweke kibaraka wao. Urusi ikapeleka majeshi yake huko na marekani akashindwa vibaya. Marekani ilitaka pia kumwondoa rais Maduro wa Venazuela ili waweke kibaraka wao, Urusi akatia timu na biashara ya kumtoa Maduro ikaishia hapo. Kwa ziada: Marekani waliwarubuni Ukraine wamwasi rais wao na wakamweka kibaraka wa Mabeberu aliyepo hadi leo. Kuona hivyo Urusi haikupepesa macho ikavamia Crimea, na hakuna yeyote aliyethubutu kujaribu kuwazuia. Sasa soma mkwarta wa Urusi hapa uone kama anaogopa au la:mrusi kelele tu hana huo ubavu ajaribu apigwe nyie mnawaona kama wanaiweza dunia ahahah. Alikuwepo mwanaume hitler huyo putin mweupe tu.Nipo Manzese kwa mfuga mbwa.
READ MORE: Moscow responds to US security proposal 'cherry picking'
READ MORE: NATO expansionism has suffered a major setbackNato ameshaweka wazi kwamba swala la Ukraine kujiunga na Nato liko pale pale na kwamba Russia hana haki ya kuiamulia Ukraine mambo yake.kukubali yaishe nn RUSSIA hakutaka kuikaia UKRAINE ila yupo wazi UKRAINE haitakiwi kuingia NATO hili kaliweka wazi kama NATO wanauwezo waiunge UKRAINE na NATO ndio mutaelewa
maneno bila vitendo ni taarab au mziki kama miziki mengineNato ameshaweka wazi kwamba swala la Ukraine kujiunga na Nato liko pale pale na kwamba Russia hana haki ya kuiamulia Ukraine mambo yake.
Let us close this baseless argument because we won't gain anything out of it, after all none of us is a Russian or Ukrainian.maneno bila vitendo ni taarab au mziki kama miziki mengine
hakuna siku utaiona UKRAINE ikiwa NATO kama waingojea utaingojea mpaka kufa kwako
Madai yake yame kataliwa na majeshi anarudisha home.Eti urusi inaogopa kuivamia Ukraine [emoji16] unaongea ukiwa tandale or gongolamboto nini mzehe!!!!!!
Ni kweli Kwa sababu wahawana mkataba Wooten na Ukraine si mwanachama wa NATo.Marekan Ashanza kupeleka anti tank.Putin Hawez kuiva mia Ukraine narudi HawezTatizo watz tuna ujuaji wa kinonko sana.
Urusi ikiamua itaivamia Ukraine na Marekani hatofanya chochote zaidi kulialia na kuweka vikwazo.
Marekani na vibaraka wake wangekuwa na nia ya kweli kuisaidia Ukraine wangeisadia kukomboa majimbo mawili yanayo shikiliwa na waasi.
Inashangaza eti jeshi ambalo limeshindwa na kukundi cha waasi chenye wapiganaji wasiozidi 50,000 eti kije kukabiliana na moja wapo ya jeshi kubwa duniani.
Iwapo vita itatokea nakuhakikishia jeshi la Ukraine halitaweza kuhimili nguvu ya jeshi la Urusi hata ndani ya wiki mbili.
Una ifananisha Ukraine na Tz. ni ya 22 kijeshi duniani.Mwisho wa wiki hii Russia wanaingia hapo Ukraine. Us hana ubavu wa kumzuia Russia
Rudi kasome bila Marekan Ujeruman ingeshinda vita.Huyo Hitler alipigwa na Warusi na siyo taifa lingine kamaulikuwa hujui sasa ujue
Pia bila Marekan Russia au umaoja wa kisoviet usinge kuwepo.Wanadanganywa na movies za waingereza na USA. Hawjaui mpk Leo bila Russia UK ingekuwa majivu
Mbona husemi kama uyo Russia amechezea kichapo na hicho kinchi kidogo Cha GeorgiaHao watu wa Ulaya na NATO waziingize kwenye umoja huo wa NATO hizo Ukraine na Georgia kama kweli wapo serious kuitisha Russia. Russia anaogopa adui wa ndani ya nchi yake haogopi adui kutoka nje.
====
Dawa ya NATO inachemka.
Unafatilia Sana siasa za huko umechambuwa vizur saana mkuuuHata USA hana ubavu wa kuzuia mradi wa bomba la gas, sababu gas inayopatikana toka russia ni rahisi kuliko inayopatikana marekani.
Haushangai kansela wa ujerumani alipeleka helmets 5000 kama support kwa ukrain ?
Mnufaikaji mkubwa wa gas ya urusi ni German.
Na kama vita itatokea ulaya haiwez ku stand against Russia kamwe, narudia kamwe even China na India wakiamua kuunga mkono bado sababu Russia technologia ya silaha yuko far sana na compete na Marekani na hata baadhi ya technolojia marekani hana kama hypersonic missile.
Kama wachambuzi wabobezi baadhi walivyochambua kwenye huu uzi uko juu ni issue ya uchumi ndo inaweza kusababisha Russia asimponde Ukrain. Na sio vitisho vya Western bloc wakiongozwa na USA.
India hawez kuingilia .pia china ana uwadui majiran zake wote kasoro Korea kaskazin.Ujeruman ina Hela anawez nunua gesi kokote Urussi ndo loser ndoman madai yake yame kataliwa na majeshi anarudisha.afu aliyevkwambia Us anauza gesi nani? yaye anazalisha pia nimtumiaj mkibwa kiasi kwamba ana importHata USA hana ubavu wa kuzuia mradi wa bomba la gas, sababu gas inayopatikana toka russia ni rahisi kuliko inayopatikana marekani.
Haushangai kansela wa ujerumani alipeleka helmets 5000 kama support kwa ukrain ?
Mnufaikaji mkubwa wa gas ya urusi ni German.
Na kama vita itatokea ulaya haiwez ku stand against Russia kamwe, narudia kamwe even China na India wakiamua kuunga mkono bado sababu Russia technologia ya silaha yuko far sana na compete na Marekani na hata baadhi ya technolojia marekani hana kama hypersonic missile.
Kama wachambuzi wabobezi baadhi walivyochambua kwenye huu uzi uko juu ni issue ya uchumi ndo inaweza kusababisha Russia asimponde Ukrain. Na sio vitisho vya Western bloc wakiongozwa na USA.