Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The military of the People's Militia of the LPR, during the cleansing of Rubizhne, found an apartment with artillery spotters of the Armed Forces of Ukraine.

The nationalists barricaded themselves, one of them wanted to blow up a grenade, but the enemy was quickly neutralized.

The windows of the house, which was occupied by snipers and Aidar militants, overlook the square, where humanitarian aid is issued and civilians gather for evacuation.

Weapons, machines for their manufacture, American and nationalist symbols were found in the apartment.
Galip SV
 
Nyie sio raia Ukraine, hamna haki ya kuwapangia WaUkraine mnachotaka, mnaweza kupanga mnachotaka kwenye nchi yenu tu.
Maadam hawana uwezo nguvu watapanguwa tuu
Nawakikaidi watapigea tuu nadhani unaiona UKRAINE ilivyo
Ilitakiwa kwanza watafte nguvu ndio wajipangie namna wanavyotaka kuishi la sivyo gharama zake kubwa nahawataweza kuishi kama wanavyoyataka
Kwenye kujiamulia mambo yao UKRAINE hawana tofauti na KENYA
 
Wanazi wa Russia
Screenshot_20220410-101447_Samsung%20Internet.jpg


Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunakumbushana tu mkuu . usipaniki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanaume kujichekesha chekesha hovyo ni lazima utiriwe shaka maana hiyo sio huruka ya kiume bali ni huruka ya mwana mke malaya na mwanaume shoga kwa hiyo jirekebishe.
 
Mwanaume kujichekesha chekesha hovyo ni lazima utiriwe shaka maana hiyo sio huruka ya kiume bali ni huruka ya mwana mke malaya na mwanaume shoga kwa hiyo jirekebishe.
Mkuu una tatizo la matumizi ya R na L?

hebu nawe fanyia kazi hilo swala.

pia kama kweli una hoja, jitahidi kujiepusha na lugha chafu.
 
Jitahidi kusoma vitabu ... Especially vya Espionage.. utatambua Kwa namna Gani dunia inamhitaji mrusi ... Serikali moja inamhitaji mafungano Kwa mahitaji ya nani... Nilibaki kimya mbishane .. ila nakupa nondo ... Jisomee .utajiona upo wapi na uwezo wako wa akili.

Ukisoma wewe inatosha Mkuu,mimi elimu yangu ya hapa na pale inanitosha kabisa midhari inanihakikishia mkate wa familia yangu,wewe 'msomi' wa kwa mnyamani huna msaada katika maisha yangu [emoji846]
 
Kuna pro[emoji635][emoji635][emoji635] ni waongo kuliko kasim majaliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakiongozwa na yule Mzee wa Kyiv kuwa majivu masaa machache yajayo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuh tunakumbushana tu
Hapo unataka wakimbie kabisa.Hao waliokuwa wanatuongopea wamebaki wanasoma uzi kimya kimya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hutaki acha ... Nimechangia nyuzi nyingi sana .. sii hii .. fuatilia... Na hata humu nilisema .. HATUNA impact yeyote... Ufanyalo wewe Mimi yule na yule .. halina Afya katika liendelealo... Yes .. Father Kitima ndio alikuwa mkuu wangu wa chuo .. fuatilia vizuri sasa unijue ... Najibu sana mazinguzi... Katika thread hii .. we got no impact yet we spit what we swallow even you...
Teh teh kumbe ni 'msomi' wa SAUT tena hii ya enzi za Fr.Kitima,walau ungekuwa Legendary wa SAUT ya enzi za Fr.Deo Rweyongeza, ungenielekeza cha kusoma ningekuelewa ndugu msomi [emoji3]
 
Ukisoma wewe inatosha Mkuu,mimi elimu yangu ya hapa na pale inanitosha kabisa midhari inanihakikishia mkate wa familia yangu,wewe 'msomi' wa Manerumango huna msaada katika maisha yangu [emoji846]
Tafadhali usitukane Manerumango!!! Ni watu wazuri, hawana hatia katika mambo tunayojadili.
 
Ukisoma wewe inatosha Mkuu,mimi elimu yangu ya hapa na pale inanitosha kabisa midhari inanihakikishia mkate wa familia yangu,wewe 'msomi' wa Manerumango huna msaada katika maisha yangu [emoji846]
kwanza kusoma kitu gani ? Wasikubabaishe hao .
Wasomi wangapi humu Tanzania tumewashuhudia wakitudanganya mchana kweupe? .Mtu kuwa muongo haihitaji kusoma sana .
 
Russia-US 'military confrontation' possible – Moscow


Western countries, by “pumping” weapons into Ukraine, risk leading the US and Russia “onto the path of direct military confrontation,” Moscow’s ambassador to Washington, Anatoly Antonov, said earlier this week.


Since the launch of Russia’s military offensive in Ukraine, NATO countries and their allies have refrained from direct military involvement in the conflict, but have been actively providing Kiev with weapons and ammunition.


By doing so, the ambassador said in an interview with Newsweek, Western states are “directly involved in the current events” and are inciting “further bloodshed.” Antonov called these actions “dangerous” and “provocative.”
Anasema vizuri, kweli wote lazima wajidhibiti. Nchi inayoshamnbuliwa ina kila haki kutafuta vyombo vya kujitetea, haki ya kimataifa haina vizuizi kumsaidia anayeshambuliwa , hata chini ya ngazi ya kushiriki katika mapigano.
Marafiki wa Putin wanalialia sana eti Urusi moja inapigana na nchi 30... Lakini hali halisi hadi sasa jeshi ya nchi kubwa duniani (=Urusi) ilipigana tu na vikosi vya jirani aliye na makisio ya kijeshi ya 10% ya Urusi akijitetea hadi sasa kwa silaha ndogo za mbegani.
Naelewa huzuni kwamba mafanikio hadi sasa ni madogo; naelewa pia huzuni kwamba watu wengi hawamini hekima ya mpango wa kupoteza asilimia 20% za jeshi na vifaa huko Kyiv kwa kusudi la kukinga tu mashambulio katika kusini, kamwe ya kuvamia Kyiv!!!! siyo ni kawaida kuharibu 20% ya jeshi lako kwa kukinga opereshani inayojaribu tangu wiki ngapi kuteka Mariupol??

Hata hivyo, wasilie mno. Wajifariji kwamba hadi sasa hakuna askari 1 wa NATO aliyefyatua risasi 1.
 
Back
Top Bottom