Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,384
- 3,254
HahahaNipo Beijing ila madude nayafuatilia kwa ukaribu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaNipo Beijing ila madude nayafuatilia kwa ukaribu
Miji imefika mingapi na kiujumla wana miji mingapi mkuuNipo Beijing ila madude nayafuatilia kwa ukaribu
Miji karibia 13 nadhani by asubuhi yule commedian wa Ukraine atakuwa mafichoni kama Russia itaendelea na strikeMiji imefika mingapi na kiujumla wana miji mingapi mkuu
Safi nakufuatilia kwa karibu Mkuu. Toka lini joti akapewa nchi.Miji karibia 13 nadhani by asubuhi yule commedian wa Ukraine atakuwa mafichoni kama Russia itaendelea na strike
Yani apigane atumie resources zote ili tu aweke Madarakani serikali tiifu,ndio utakuwa upumbavu gani sasa.Hapo lengo ni kuichukua Ukraine yote na kuwa sehemu ya Urusi kama ilivyokiwa awali-au hujasikiliza speech ya Putin babu.kinacho fuata ni kuondoa serikali ya Ukraine madarakani na kuweka serikali nyingine tiifu
Yah! Nimeiona wamekamata na nuclear plant ya huko!Muda huu tunavyongea mji wa Chernobyl imeshangukia kwenye mikono ya Warusi
Kumbuka Marekani ananunua silaha Urusi Jeshi lina viwanda vya silaha ndio maana bajeti zinatofautianaMarekani ana aircraft carriers 11 urusi ana 2, military budget ni mara tatu ya Russia
Au kitu kizitoPutin Ana sema Ana weza kukupiga na kitu chenye ncha kali kilicho changanywa na mlipuko mkubwa kuliko ulio wahi kusikia au kuambiwa akiwa chooni kwake wewe ukiwa kokote kwenye angle ya Dunia! kumbuka mambo ya kutumiana barua kwenye bahasha yalisha pitwa na nyakati!
Huyu huyu aliyesaidiwa na Putin pindi alipotaka kupinduliwa?Zile drone za uturuk zikiwashwa itakuwa kama Ethiopia, mrusi ataomba poo.muache aingize magari kwa pupa nahisi analiwa timing kama ilivyokuwa ethiopia, syria kwa jeneral khalifa, na armenia.
Apigwe tuAdui mkubwa na mbaya sana ni jirani yako. Ukraine ni jirani wa karibu sana na Russia.
Lengo kuu la NATO na Marekani ni kaziangusha Russia, China, N.Korea, Iran na Venezuela ili kuondoa mizania duniani. Hizi nchi zikianguka kutakuwa hakuna kikwazo kwao kwenye kila jambo, na hata ukoloni utarudi upya.
Ukraine jirani mkubwa na Russia anapokuwa na uswahiba na NATO na Marekani ni hatari sana kwa Russia, China, n.korea, Iran na dunia.
Marekani anapeleka silaha nzito Ukraine kwa kisingizio Cha kuihami Ukraine dhidi ya Russia.
Muwahi Adui yako kabla hajamaliza kujipanga, hicho ndicho anachofanya Putin kwa Ukraine. Naungana na Putin kwenye safari yake, dunia atakuwa salama zaidi kama urusi itakuwa na nguvu pia.
Putin anataka kuionyesha dunia vita ya kigiditali.
😂😂😂 chenye ncha kaliAu kitu kizito
Tusiposhangilia ulitaka tufanyaje:Huku kwetu tanzania naona kila mtu kawa mshangiliaji wa kusifu urusi kuwa mbabe.
sawa ni mbabe ila unafahamu mzozo wa vita vya pili vya dunia ulianzaje.
Hii ni historia ambayo inaweza kutokea na kwa nini mataifa makubwa yamebaki kukemea na sio kuunga mkono.
Urusi bado inatafuta njia ya kurudisha maeneo yake iliyopoteza kwa kuvunjika umoja wa USSR.kuvinjika kwakwe ni moja ambalo taifa tunalitegemea labda linaweza kuipa nguvu ukrain ni USA akifatiwa na washirika wake.
katiba taarifa ambazo watu wengi wanaziipuzia kuwa urusi alishaandaa kila target ya nchi yoyote itakayo taka kuungilia jambo lolote.
na kama hizi nchi zitaingilia basi ile sinema inayo itwa Terminal ikionesha kila nchi ikilusha kombora ndio itakuwa mwanzo wa vita vya tatu kwenye dunia.
sisi tunaoshangilia hata dawa kufikisha vijijini ngumu embu tujitafakari kuomba amani ya dunia.
kutokufikia na uchumi kuyumba wa dunia na vita ambazo kila kona zimetawala