Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bwana unaanza ujumbe kwa kudai mara 2 yule unayemjibu ni "mpumbavu" / "Kipumbavu", unaendelea kudau anachukia URUSI:
Sitaki kutumia lugha yako hapa. Sioni Yoda anachukia Urusi. au China.
Huna msingi. Madai yako hayaonyeshi matumizi ya akili.
Ninaweza kuheshimu, hata kupenda nchi - lakini kukosoa serikali au uongozi wake. Tena ni lazima pale ambako kiongozi anatenda jinai au anaongoza watu wake kutenda jinai.
Hao viongozi wanapita. Nchi na taifa linaendelea.
Ww mzee nimesha kwambia acha kushobokea coment zangu maana ww ni mpiga zumari wa kimagharibi humu ukiulizwa maswali linalo kubana una yakimbia haujibu unasubili tena mtu akoment tena urukie moment yake wakati huko nyuma amekuuliza swari umelikimbia kulijibu.

Una chukia kumuita mpumbavu ila yy kuita wale wanao iunga mkono Russia kwamba hawana akili ndio sawa?
 
1649537844784.png


​

Video Here https://americasbestpics.com/pictur...western-journalists-filmed-the-tKicZslS9?s=cl​


1649538144545.png


Video Here https://americasbestpics.com/pictur...western-journalists-filmed-the-tKicZslS9?s=cl​

 
SI nato wababe wajichanganye Hapo... Maana pale ni bandari ya magharibi ... Na ndio bandari ya kingdom zote za Urusi Kwa uchache ... Ntamaliza uhondo acha niandeke vizuri... Hakuna mwenye akili akavamia Hapo ..
Ebu tulia mkuu afu kaandae vizuri ili utuletee package ilio murua kabisa ...nondo safi ...habari ya huu mji hata sijaijua vizueri nasikiaga tu KALINGRADI ......jina la kibabe ubabeni ....
 
Ww mzee nimesha kwambia acha kushobokea coment zangu maana ww ni mpiga zumari wa kimagharibi humu ukiulizwa maswali linalo kubana una yakimbia haujibu unasubili tena mtu akoment tena urukie moment yake wakati huko nyuma amekuuliza swari umelikimbia kulijibu.

Una chukia kumuita mpumbavu ila yy kuita wale wanao iunga mkono Russia kwamba hawana akili ndio sawa?
Jaribu kusoma kabla ya kujibu.
 
Gadafi alifanya sabotage gani against the West,none.Kosa lake kubwa ni kuwapenda Walibya na kutaka kudhibiti mafuta yao,basi.Ni kama case ya Magufuli tu.Mbona unalinganisha vitu visivyo linganishika?Watanzania vipi,vichwa vimejaa makamasi?
Huwezi nielewa utashia kutukana tu,umemtetea Russia kuivamia ukraine kwa sababu za kimaslahi na kisiasa kama hiyo unaona ni sababu nzuri ku-justify uvamizi basi nchi yoyote kwa sababu za kisiasa na kiusalama kwako ni halali kuvamiwa au kuvamia,mbona iko transparent sana.Love is my religion.
 
Labda unyoshe historia yako kidogo? Gaddafi alifidia magaidi, hadi bomu kwenye ndege ya Pan Am 103 ( Lockerbie bombing). -- Tena aliua watu wake, hadi alipata uasi mkubwa. Alipoendelea kuchinja watu hovyo, Baraza la Usalama liliamua kuzuia ndegevita zake kwa no-fly-zone. Mwishoni ni watu wake waliomwua.
Heri usimlinganishe na Magu. HAkuwa mbaya mbaya vile.
Utumwa wa kifikra unamtesa huyo jamaa yaani yeye anajifanya anamjua sana Gaddafi kuliko walibya wenyewe!
 
Take it from me, hakuna vita hapo!

Kwa watu wa dini wenye mioyo minyoofu, hiyo ni ishara kubwa sana kwamba sasa uovu wa wanadamu umefikia kikomo kama ilivyokuwa wakati wa Gharika na Sodoma na Gomora.

Mungu yule wa Gharika na Sodoma na Gomora ndiye yule yule ambaye tunaye sasa. Hajabadilika.

Amekuwa na subira kwa muda mrefu, sasa:"Enough is enough "
Du kuna watu wana muda wa kupoteza. Zikihujumiwa nchi za Kiafrika hamuandiki yote haya. Who cares kama Ukraine wanauawa au vinginevyo wakati ni wabaguzi wa kunuka. Bravo brother PUTIN VIVA VIVA MON FRERE GRACIAS AMIGO
 
Ww jamaa una kila dalili za kuwa shoga maana si kwa kujichekesha chekesha kama mtoto wa kike.
😂😂😂😂 tunakumbushana tu mkuu . usipaniki 😂😂😂😂
 
Msafara wa kijeshi wa Russia wa urefu wa kilomita 64 (maili 40, yaani ni sawa na umbali toka Dar esa Salaam hadi Mlandizi ) upo kaskazini mwa Kyiv kama inavyoonekana kwenye picha iliyochukuliwa na satellite (kwa mujibu wa chombo cha habari cha Reuters). Vita bado mbichiii, lazima Kyiv ichukuliwe.


View attachment 2134919
Msafara wa siafu huu.😂😂😂😂
"Lazima tuichukue Kiev " alisikika pro🇷🇺🇷🇺🇷🇺 baada ya kunywa vodka .
 
Tuiombee UKRAINE, Urusi ameingia VITANI sasa na sio Opareshini kama ilivyokuwa mwanzo. Mauaji ni makubwa mno sasa. CHINA imetangaza wazi atafanya biashara na URUSI na hatambui vikwazo hivyo.
🤔🤔🤔🤔kumbe ilishakua vita tayari ?!!!!!
🙏🙏🙏🙏🙏
 
Shukran MKUU
Ila wengi ama wooote walokua wanatarajia kwamba OP ya UKRAINE inaweza ikachukua muda mchache nahisi walikua hawapo sahihi
RUSSIA ama hata US hata angeenda kupigana na SOMALIA isingekua wepesii hvyo maana ile sio kama unapiga huku unaempiga tulia tuuuu
Ila SHUKRAN sana MKUUU
Pamoja mkuu
 
The Ministry of Defense spoke about the heroism of three more Russian servicemen.

Lieutenant Colonel Mykola Paskar with his group conducted reconnaissance near a strategically important settlement controlled by Ukraine. He discovered and suppressed enemy firing points, destroying seven nationalists.

The rest fled, leaving their ammunition and Javelins behind. Despite being wounded, Nikolai continued to pursue them and lead his subordinates.

Senior Sergeant Kirill Ivshin, as part of the tactical group of the howitzer artillery battalion, supported the landing force abandoned behind enemy lines. The Grad battery, positions of D-30 howitzers, enemy mortars and more than 100 nationalists were destroyed.

Lieutenant Colonel of the Medical Service Arkady Smolnikov personally organized the evacuation when the enemy hit the Russian-controlled airfield. There were no losses. Under his leadership, more than 100 removals of more than 1 thousand wounded were carried out.
Galip SV
20220409_130401.png
 
Unafahamu Battle of Kilinigrad ... !!? Na Kilinigrad ipo wapi.. !!! Na ni eneo la Urusi!? .... Nawaambia msome mjue Geopolitics... Humu mtabishaaaaaaa tutabishanaaaaa.... Mjinga yeyote akapige pale Kilinigrad...
Okey.
 
The Russian military brought more than 10 tons of humanitarian aid to the village of Stanislav, Kherson region.

Local residents said that not a single store in the district was open after shelling began from the direction of Nikolaev in late March, according to the Russian Defense Ministry.

People were given food packages, which include pasta, buckwheat, canned fish and meat

Video of the Ministry of Defense of the Russian Federation.
Galip SV
20220409_130401.png
 
Back
Top Bottom