Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kweli bhana hata mimi nataka niijue historia ya ahko kamji ....halafu hata jina la huo mji limekaa kibabe babe ...
kabisa limekaa kibabe babe sanaaa ila inatakiwa tulifahamu hili
jamaa hapo kasema akitulia ataleta nondo zake pia hope hata Yericko Nyerere kama ataliona hili anaweza akatupa msaada wake kwauchache
kwenye wengi panakua na vingi
 
More than 704,000 people have been evacuated from the Donbass and dangerous regions of Ukraine to Russia since the beginning of the military special operation, Mikhail Mizintsev, head of the Russian National Defense Control Center, said.

Among the evacuees, 135,153 are children, he noted.
Galip SV
20220409_130401.png
 
View attachment 2182080
Upo sahihi ni hizi pre-type keyboard... Yes ni Kaliningrad ... Na nie eneo la Urusi ..lilichukuliwa ilikuwaje .. nipe muda ntaliandika vizuri... Na Hapo ndio akipigwa Hitler na Red Army wakati anavamia Poland....
Habari zako hovyo kama kawaida. Ilikuwa Ujerumani hadi 1945. 1945 Urusi ilichukua sehemu kubwa ya Poland na kuiingiza katika koloni zake Lithuania, Belarus na Ukraine. Wapoland waliondolewa. Badala yake robo moja ya Ujerumani ilichukuliwa, watu wote walifukuzwa ikapewa Poland. Sehemu ya Kaliningrad (iliitwa Koenigsberg) ilikuwa nusu ya jimbo la Prussia Mashariki ikakamatwa na Urusi. Tangu uhuru wa koloni zao eneo limebaki kama kisiwa.
Juzi wanasiasa Warusi walianza kupiga kelele wakatishatisha eti Lithuania na Poland wakifunga mipaka kwa raia wa Urusi - lazima waogelee (au watumie feri)
 
kabisa limekaa kibabe babe sanaaa ila inatakiwa tulifahamu hili
jamaa hapo kasema akitulia ataleta nondo zake pia hope hata Yericko Nyerere kama ataliona hili anaweza akatupa msaada wake kwauchache
kwenye wengi panakua na vingi
SI nato wababe wajichanganye Hapo... Maana pale ni bandari ya magharibi ... Na ndio bandari ya kingdom zote za Urusi Kwa uchache ... Ntamaliza uhondo acha niandeke vizuri... Hakuna mwenye akili akavamia Hapo ..
 
The network suggests that Ukraine is preparing a new provocation in Odessa in order to blame the Russian military.

Users noticed that the Ukrainian authorities imposed a curfew in the city from 21:00 on April 9 to 06:00 on April 11. At the same time, local residents were informed about the evacuation by train.

To get to the station without violating anything, as they say on the network, people were urged to arrive before 21:00. It is expected that there will be a large crowd at the station, as in Kramatorsk, when Ukraine hit civilians with Tochka-U.

At the same time, some Western media emphasized that there is a threat of attack in the region. Journalist Ilyas Mercouri pointed to a CNN headline: "Curfew imposed in Odessa today amid missile threat."
Galip SV
20220409_130401.png
 
A video of Boris Johnson's walk, who unexpectedly appeared in Kyiv, has been published on the network.

The British prime minister, after today's meeting with Zelensky, assured that he would help block the sale of Russian energy resources, as well as provide Ukraine with credit guarantees, 120 armored vehicles and anti-ship systems.

At the same time, the British themselves are now faced with a rise in the cost of living due to anti-Russian sanctions: fuel and food prices are rising, restaurants have to save.
Galip SV
20220409_130401.png
 
Umag
Habari zako hovyo kama kawaida. Ilikuwa Ujerumani hadi 1945. 1945 Urusi ilichukua sehemu kubwa ya Poland na kuiingiza katika koloni zake Lithuania, Belarus na Ukraine. Wapoland waliondolewa. Badala yake robo moja ya Ujerumani ilichukuliwa, watu wote walifukuzwa ikapewa Poland. Sehemu ya Kaliningrad (iliitwa Königsberg) ilikuwa nusu ya jimbo la Prussia Mashariki ikakamatwa na Urusi. Tangu uhuru wa koloni zao eneo limebaki kama kisiwa.
Juzi wanasiasa Warusi walianza kupiga kelele wakatishatisha eti Lithuania na Poland wakifunga mipaka kwa raia wa Urusi - lazima waogelee (au watumie feri)
Unafahamu maana ya kisiwa,peninsula na tombolo!!? Hiviii huo ujinga wenu mnunajifunzia wapi tukasome na sisi..!!?
 
Unatumia nguvu kubwa utapata faida gani Russia akishafanikiwa lengo lake jumapili/jumamosi la kuvamia hizo nguvu ungeziwekeza kwenye mambo ambayo yanatija kwako
😂😂😂😂 tunakumbushana tu.
 
That cannot deter Russia from attacking any NATO member mkuu. Kumbuka Russia baada ya kuichukua Ukraine itakuwa na position nzuri ya kutandika kila sehemu tena wakileta mchezo anawazimia gas na baada ya hapo maandamano makubwa na akiwatisha kuwa nuke basi hapo habari kwisha
🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🔥🔥🔥😂😂😂😂
 
SI nato wababe wajichanganye Hapo... Maana pale ni bandari ya magharibi ... Na ndio bandari ya kingdom zote za Urusi Kwa uchache ... Ntamaliza uhondo acha niandeke vizuri... Hakuna mwenye akili akavamia Hapo ..
iandae vyema MKUU
 
😂😂😂😂
Vita haipiganwi kama kula maandazi na chai ya rangi unang'ata andazi popote tu hata umetizama kwingine.

Hapo kuna mission inatakiwa kukamilishwa ikiwemo kuepuka majeruhi na vifo vya raia, uharibifu wa miundo mbinu, kuwakamata walengwa wakiwa hai nk.

Urusi wamejipa saa 72 kukamilisha misheni yao. Leo rais wa Ukrain ndugu Zelesky akiongea toka mafichoni ameaga washirika wake wa NATO kuwa itakuwa mara ya mwisho kuongea nao kwani ndani ya saa 48 zijazo lolote laweza tokea kwake akiwa yeye ni mlengwa wa kwanza. Hizo saa 48 ukiongeza 24 zilizopita ni saa 72 za misheni ya Mrusi.

Vita sio maana wasio na hatia wanaumia kwa maslahi ya wapuuzi wachache
😂😂😂😂😂😂
 
Urusi na Ukraine: Ifahamu kambi ya kijeshi ya Urusi yenye uwezo mkubwa wa kijeshi iliyoijengwa juu ya dunia​

SmartSelect_20220409-235115_Chrome.jpg

Urusi imekuwa ikishutumiwa kwa kupanga kutumia silaha kali aina ya thermobaric - zinazofahamika pia kama mabomu ya vacuum, mabomu ya cluster na kwamba huenda ikawa inajiandaa kwa mashambulio ya nyuklia -katika uvamizi wake wa Ukraine, licha ya kwamba wataam na wachambuzi wanapinga uwezekano wa mashambulio ya nyuklia.

Hatahivyo, tisho la uwezo wa kijeshi wa Urusi limekuwepo, kabla ya mashambulio ya hivi karibuni ya uvamizi wa utawala wa Rais Putin dhidi ya Ukraine. Tangu awali Putin ameonekana kuwa amekuwa akijiandaa kwa vita vikubwa hususan kwa kuyajengea uwezo majeshi yake ya anga, majini na nchi kavu.

Mojawapo ya maandalizi hayo ni kujengwa kwa kambi kubwa ya kijeshi katika eneo la juu kabisa la dunia- kwenye katika Arctic iliyoyatia kiwewe mataifa ya magharibi.

Ardhi ya Franz Josef ni makao ya ngome ya jeshi la Urusi na chanzo cha kuwepo kwa mahusiano ya wasiwasi zaidi na nchi za magharibi.

Marekani imekuwa ikiishutumu mara kwa mara serikali ya Urusi kwa kuilifanya eneo la juu ya dunia yaani mzingo wa Arctic kuwa la ''kijeshi''.

Kujibu hayo, Mkuu wa kikosi cha Urusi cha manowari za kaskazini aliiambia BBC kwamba shughuli za Umoja wa Kujihami wa nchi za Magharibi (NATO) na jeshi la Marekani katika eneo hilo "bila shaka " ni za uchokozi na zimefikia kiwango ambacho hakijashuhudiwa tangu Vita vya Pili ya Dunia.

Arctic, kipaumbele cha Urusi​

Waandishi wa BBC walikuwa miongoni mwa waandishi wa habari wa kwanza wa kigeni kukaribishwa kutembelea kisiwa cha Alexandra, uliopo mwendo wa saa mbili kwa safari ya ndege kutoka mji wa Murmansk juu ya Arctic.

Arctic, ambayo ni bahari ndogo zaidi ya bahari tano za dunia, ni mahali penye hali ya hewa isiyo na huruma katika sayari ya dunia, kuna baridi kali linalolindwa na barafu mwaka mzima.
Kiwanja kidogo cha ndege kimeboreshwa ili kuruhusu aina azote za ndege kutua katika kipindi chochote cha majira ya mwaka.
Na kwenda nje ya barabara ilikuwa ni kama kuteleza kwenye barafu.

Chini ya kilomita 960 chini ya ncha ya Kaskazini zaidi ya dunia hali ya hewa ni baridi kupita kiasi.
Mvua ya barafu hunyesha hata saa sita mchana.
Katika baridi kali, viwango vya joto hushuka hadi chini ya nyuzi joto hasi 50 na wanajeshi wanalazimika kuondosha kwa muda magari yao kwenye eneo hili ili kuwatawanya dubu ambao ni maarufu wanaozurura karibu na ngome ya jeshi.
SmartSelect_20220409-234649_Chrome.jpg

Hata hivyo, licha ya hali ya hewa mbaya juhudi za kuongeza uwepo wake katika eneo hilo limekuwa ni jambo la kipaumbele kwa Urusi.

"Kama kituo cha anga za mbali "
Hata muundo wa ngome unataka kuweka wazi masuala machache: imepakwa rangi za bendera ya Urusi na inaonekana kwa rangi zake dhidi ya turubai jeusi linaloizingira.
Umbo lake lina sura tatu, ngome hii ni ya pili ya aina yake katika eneo la Arctic na inaweza kuwapokea hadi askari 150

Kabla ya kuwaonesha wanahabari kila kitu, kamanda mkuu alisema kambi hiyo imetengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu na ina ufanisi wa kutosha wa kiikolojia na kwamba ni "kama kituo cha anga za mbali, katika eneo tu la Arctic badala ya obiti."

Lakini onyesho lenyewe liko nje, ambako mitambo ya kurusha makombora ya Bastion inapanda na kushusha mashine zake za kufyatua huku mwanajeshi aliyevalia magwanda meupe ya kujificha akiwa amesimama kwenye eneo la ulinzi mkali akiwa na bunduki mkononi na pisto kwenye kifua chake.

Makombora ya Bastion
Mifumo ya makombora ni ya "kuharibu meli za adui," alisema mwanajeshi mwingine.
Ina "ufanisi mkubwa" alisema.
SmartSelect_20220409-234905_Chrome.jpg

Kikosi cha kaskazini kilionesha uwezo wake wa kijeshi mapema mwaka huu wakati mauari tatu za nyuklia zilipovunja barafu kwa wakati mmoja, ujanja ambao haukuwahi kushuhudiwa kabla.

Katika mazoezi hayo hayo ya Arctic, ndege mbili za mapigano aina ya jet zilipaa juu ya Ncha ya Kaskazini, na kuongezewa mafuta angani.

Ujanja huu wa kijeshi unaifanya Marekani na NATO kuwa makini na uwepo wa wanajeshi wa Urusi katika kanda iliyopanuka kwa kiwango ambacho hakijashuhudiwa tangu wakati wa Vita Baridi.

Msemaji wa NATO alithibitisha kwamba muungano huo umeanza doria na mazoezi, kujibu alichosema "mazingira yenye changamoto zaidi kiusalama."
 
Urusi na Ukraine: Ifahamu kambi ya kijeshi ya Urusi yenye uwezo mkubwa wa kijeshi iliyoijengwa juu ya dunia​

View attachment 2182125

View attachment 2182118

Hata hivyo, licha ya hali ya hewa mbaya juhudi za kuongeza uwepo wake katika eneo hilo limekuwa ni jambo la kipaumbele kwa Urusi.

"Kama kituo cha anga za mbali "
Hata muundo wa ngome unataka kuweka wazi masuala machache: imepakwa rangi za bendera ya Urusi na inaonekana kwa rangi zake dhidi ya turubai jeusi linaloizingira.
Umbo lake lina sura tatu, ngome hii ni ya pili ya aina yake katika eneo la Arctic na inaweza kuwapokea hadi askari 150

Kabla ya kuwaonesha wanahabari kila kitu, kamanda mkuu alisema kambi hiyo imetengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu na ina ufanisi wa kutosha wa kiikolojia na kwamba ni "kama kituo cha anga za mbali, katika eneo tu la Arctic badala ya obiti."

Lakini onyesho lenyewe liko nje, ambako mitambo ya kurusha makombora ya Bastion inapanda na kushusha mashine zake za kufyatua huku mwanajeshi aliyevalia magwanda meupe ya kujificha akiwa amesimama kwenye eneo la ulinzi mkali akiwa na bunduki mkononi na pisto kwenye kifua chake.

Makombora ya Bastion
Mifumo ya makombora ni ya "kuharibu meli za adui," alisema mwanajeshi mwingine.
Ina "ufanisi mkubwa" alisema.
View attachment 2182121
Kikosi cha kaskazini kilionesha uwezo wake wa kijeshi mapema mwaka huu wakati mauari tatu za nyuklia zilipovunja barafu kwa wakati mmoja, ujanja ambao haukuwahi kushuhudiwa kabla.

Katika mazoezi hayo hayo ya Arctic, ndege mbili za mapigano aina ya jet zilipaa juu ya Ncha ya Kaskazini, na kuongezewa mafuta angani.

Ujanja huu wa kijeshi unaifanya Marekani na NATO kuwa makini na uwepo wa wanajeshi wa Urusi katika kanda iliyopanuka kwa kiwango ambacho hakijashuhudiwa tangu wakati wa Vita Baridi.

Msemaji wa NATO alithibitisha kwamba muungano huo umeanza doria na mazoezi, kujibu alichosema "mazingira yenye changamoto zaidi kiusalama."
hii habari hao biibiisii waache upuuzi
yaani wameaindika kama wamelazimishwa kenge wale
 
Back
Top Bottom