Hawa watoto wanasumbua sana ubongo haufikiri kabisa kila kitu ushabiki, Putin alishassema mtalipa kwa ruble na huwa hapindishi sasa Germany ananua gas na analipa kwa ruble sasa walitaka itangazwe kila media kuna vitu vingine vinafanyika kimya kimya na media za west haziwez ongelea hio ishi coz wataonekana wameshindwa na aibu kwao.
Mara ya mwisho nafatilia juzi habar za gazprom walisema kila kitu kinakwenda sawa. Mtu unampa mpaka tweet huyu farage anajua kabisa Germany wanalipa ruble sasa kwa tweet kama hii ukiiosoma unajua kabisa nini kinaendelea sasa hawa madogo wanakza mafuvu yao ni hasara kwakweli
View attachment 2182013
Kwamba mbongo anajua kuliko nigel farage. Hawa vijana acha niwaweke pending tu, napoteza muda tu. Ni ngumu sana kumuelimisha mtu mwenye mahaba yan anakua kama kapewa limbwata.