Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Sasa mbona mnashangilia Luhansk, Donetsk na Crimea kujitenga kutoka Ukraine tena kwa fitina za Putin wala sio za raia wenyewe kutaka na mnailaani Ukraine inapojaribu kuyarudisha maeneo yake?
Mnajielewa?!
Mnajielewa?!
Kabisa MKUU
Mfano pale UHISPANIA kuna jimbo lile la KATALUNYA kila leo wanalilia kujitenga ila wanaminywa wanakua kimyaaa