Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

I think it's time you lots use your sense for once. The missiles that WERE used were fired by the Ukrainian Military.
Russia make use of ISKANDER while Ukraine use TOCHKA-U. The Tochka-U is EXCLUSIVELY used and fielded by the Ukrainian Military.
The missiles used is from the Ukrainian land force. The first picture is from the scene of attack while the second is the difference between the Ukrainian Tochka-U missile and the Russian ISKANDER.
The Tochka-U missile used was tipped with cluster munitions, reason for the high civilian's death
View attachment 2181746
mtatetea sana uhalifu wa putin
 
Hawa wafuasi wa Putin vichwa vyao haviko sawa, unaweza yakuta weekend hii yametumbua macho yanatazama mechi za EPL, Bundesliga, Serie A, League 1 na NBA huku wanatukana West ni Mashoga na wamama na Russia anamkomesha US!
Viumbe wa ajabu sana.
Hapo ukute na yeye kapanga foleni ya kutahiriwa bure
 
I think it's time you lots use your sense for once. The missiles that WERE used were fired by the Ukrainian Military.
Russia make use of ISKANDER while Ukraine use TOCHKA-U. The Tochka-U is EXCLUSIVELY used and fielded by the Ukrainian Military.
The missiles used is from the Ukrainian land force. The first picture is from the scene of attack while the second is the difference between the Ukrainian Tochka-U missile and the Russian ISKANDER.
The Tochka-U missile used was tipped with cluster munitions, reason for the high civilian's death
View attachment 2181746
Kaka usilete propaganda zaidi kuhusu mambo ambayo huwezi kujua. Urusi ilisema haitumii Tochka-U tena. Wengine wanasema, roketi hizo walirudisha tena kwa vikosi kadhaa; magari ya Kirusi ya Tochka-U yalitazamiwa na kupigiwa picha Belarus. Urusi ilikataa. Na wewe unataka "kujua"??

Hakika wanamigambo wa Donetsk wanazo Tochka-U kufuatana na taarifa mbalimbali.
Kwa hiyo_ asante kwa picha nzuri, kwa bahati mbaya hazithibitishi kitu.
 
Kwenye angle ya demilitarization na kuhusiana na kule kwa DON BAS unahisi looser hapa ninani
Achana na mauaji ya majeshi miundombinu ya UKRAINE na vifaa vyapande zote mbili
Unadhani kama unaurate uwezo wakijeshi wa UKRAINE miezi mitatu kabla ya hii OP na baada ya hii OP iko sawa ama haipo sawa !!!??
Kwamba demilitary imefanikiwa kwakiasi gani ama imefail kwakiasi gani
Pia utoe tathmni yako yajumla ya hii OP ilipoanza mpaka ilipofikia juu ya yale aloyatangaza PUT IN yamefanikiwa ama yamefail kwa kiasi gani !!!??
Mwambie kwamba bwana zelesky bado anaomba kukutana na Mr put in
Screenshot_2022-04-09-18-40-17-673_com.facebook.katana.jpg
 
Upo dunia gani? Hujui kwmba Ruble inatumika?? Au unataka tuanze kubishana haya ?? Germany alishasema anategemea energy from Russia na haon mbadala sasa wewe umeshiba wali dona unakuja kunyea huku shenz sana.


Kama hujui za chini chini tulia hapa nikupe vitu mdg wangu EU wote bado wananunua na wanafanya busn na mrussi unataka wafe njaa? Au ulitaka watangaze wanalipa kwa ruble?? Tumia ubongo kufikiri vzr, punguza kula chips mdg wangu.

View attachment 2181762
🤣🤣🤣🤣 za chini chin, Daah Pro Russia bwana
 
Kwa hiyo na sisi Tanzania tungemchekea Iddi Amin?Mbinu zote za nchi za Magharibi za kui-sabotage na kuisambaratisha Urusi zilikuwa zina andaliwa Ukraine.Which powerful country can tolerate that.Marekani ingevumilia haya?Uingereza ingevumilia?Ujerumani ingevumilia haya?Surely no.Now,why should Russia be expected to tolerate this,ni double standards za ajabu sana.
Shida watu wengi humu ni wavivu kusoma au hawajui wapi wakasome.
 
Hawa wafuasi wa Putin vichwa vyao haviko sawa, unaweza yakuta weekend hii yametumbua macho yanatazama mechi za EPL, Bundesliga, Serie A, League 1 na NBA huku wanatukana West ni Mashoga na wamama na Russia anamkomesha US!
Viumbe wa ajabu sana.
vijirusi vya matombo kwa mtogole utaviweza kwa maneno ya sizitaki mbichi hizi, hapo ukute baada ya kuangalia viburudisho vya western then usiku wanapongonoka wanavaa mipira ya bei punguzo kwa hisani ya marekani ili wasipate ngoma!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] za chini chin, Daah Pro Russia bwana
Hawa wameshapagawa,wanataka hii forum kuigeuza kama kijiwe cha kahawa,za chini chini huku akiwa Buguruni kwa mnyamani anashushia gahawa na kashata[emoji3][emoji3]
 
Huku vimefungulia westlife au Celine Dion.
#Chichidodos[emoji1787]
vijirusi vya matombo kwa mtogole utaviweza kwa maneno ya sizitaki mbichi hizi, hapo ukute baada ya kuangalia viburudisho vya western then usiku wanapongonoka wanavaa mipira ya kwa hisani ya marekani ili wasipate ngoma!
 
Looser ni Ukraine

Hajafanikiwa kuilinda mipaka ya ardhi yake kwani mpaka sasa miji kibao imeangukia mikononi mwa urusi pamoja na majimbo ya donbass kujitoa kbs Ukraine.

Urusi amefanikiwa kuiharibu miundombinu ya kijeshi ya Ukraine kwa asilimia kubwa mpaka sasa. Haihitaji ushahidi inaejulikana

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kinachokuja Sasa duru zinasema ni kibaya..inaelezwa kuwa Sasa itakuwa ni Vita kamili na siyo operesheni Tena..ni huko kusini na mashariki mwa ukraine. Inaelezwa baada ya hapo ni Kiev na kuuteka mji...
 
Back
Top Bottom