Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

.
Screenshot_20220409-163610.jpg
Screenshot_20220409-163618.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20220409-163637.jpg
    Screenshot_20220409-163637.jpg
    50.2 KB · Views: 22
Hahaha. Hujanielewa tu boss. UKRAINE kuharibiwa nchi si kushindwa vita. Kushindwa vita kunapimwa na objective za bita. Objective ya vita ya URUSI ni demilitarization, na ya UKRAINE ni kujilinda mpaka URUSI aachane na anachokifanya. Sasa mpaka sasa looser ni nani ukiangalia hizo objective?

Kwa upande wa nchi kuharibika nakubali kweli UKRAINE kapoteza maana URUSI ipo salama haina magofu.
Kwenye angle ya demilitarization na kuhusiana na kule kwa DON BAS unahisi looser hapa ninani
Achana na mauaji ya majeshi miundombinu ya UKRAINE na vifaa vyapande zote mbili
Unadhani kama unaurate uwezo wakijeshi wa UKRAINE miezi mitatu kabla ya hii OP na baada ya hii OP iko sawa ama haipo sawa !!!??
Kwamba demilitary imefanikiwa kwakiasi gani ama imefail kwakiasi gani
Pia utoe tathmni yako yajumla ya hii OP ilipoanza mpaka ilipofikia juu ya yale aloyatangaza PUT IN yamefanikiwa ama yamefail kwa kiasi gani !!!??
 

I think it's time you lots use your sense for once. The missiles that WERE used were fired by the Ukrainian Military.
Russia make use of ISKANDER while Ukraine use TOCHKA-U. The Tochka-U is EXCLUSIVELY used and fielded by the Ukrainian Military.
The missiles used is from the Ukrainian land force. The first picture is from the scene of attack while the second is the difference between the Ukrainian Tochka-U missile and the Russian ISKANDER.
The Tochka-U missile used was tipped with cluster munitions, reason for the high civilian's death
1649512737425.png
 
Kwenye angle ya demilitarization na kuhusiana na kule kwa DON BAS unahisi looser hapa ninani
Achana na mauaji ya majeshi miundombinu ya UKRAINE na vifaa vyapande zote mbili
Unadhani kama unaurate uwezo wakijeshi wa UKRAINE miezi mitatu kabla ya hii OP na baada ya hii OP iko sawa ama haipo sawa !!!??
Urusi bado yupo nchini kwa watu akipigania kufanikisha lililompeleka ina maana bado hajafanikisha. Akitoka huko atapimwa kama kafanikisha au ni looser.

Huwezi sema Urusi kashinda kwa kutumia kugezo cha kupungua uwezo wa jeshi la UKRAINE sababu si objective ya URUSI, tutasema URUSI ameshinda ikiwa atafanya kile kilichompeleka kwa 100%.
 
Leo Russia anaonewa wivu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Vipi No Rubble no gas, ilifanikiwa?

Upo dunia gani? Hujui kwmba Ruble inatumika?? Au unataka tuanze kubishana haya ?? Germany alishasema anategemea energy from Russia na haon mbadala sasa wewe umeshiba wali dona unakuja kunyea huku shenz sana.


Kama hujui za chini chini tulia hapa nikupe vitu mdg wangu EU wote bado wananunua na wanafanya busn na mrussi unataka wafe njaa? Au ulitaka watangaze wanalipa kwa ruble?? Tumia ubongo kufikiri vzr, punguza kula chips mdg wangu.

IMG_2346.jpg
 
Urusi bado yupo nchini kwa watu akipigania kufanikisha lililompeleka ina maana bado hajafanikisha. Akitoka huko atapimwa kama kafanikisha au ni looser.

Huwezi sema Urusi kashinda kwa kutumia kugezo cha kupungua uwezo wa jeshi la UKRAINE sababu si objective ya URUSI, tutasema URUSI ameshinda ikiwa atafanya kile kilichompeleka kwa 100%.
OP bado inaendelea hatuwezi kutoa full analysis
Ila hapa nimeitaka tathmini yamuda mchache tuloona toka kuanza kwa hii OP
Hatuwezi kufunga mjadala kwamba tayari naini kashinda nani bado maana mapambano yanaendelea
Ila twaweza toa tathmni kwauchache kama ilivyo kwampira una dakika 45 zakwanza nauchambuzi wake ama tathmini zake na ule wa FT
 
1.NATO haikuundwa "kuicontain" USSR bali kujilinda "defensive" dhidi ya USSR na mataifa mengine yoyote ambayo yangeibua kitisho kwa nchi wanachama.USSR nayo ilikuwa na umoja wake unaoitwa Warsaw Pact ambao ulivunjika.
Kwa nini NATO imeendelea kuwepo?
Kwa sababu Mataifa yasio na mfumo wa kidemokrasia au yaliyo ya kidikteta ni vigumu sana kutabiri mwenendo wake kwa sababu yanategemea maamuzi ya mtu mmoja aliye mamlakani. Russia chini ya Gobrachev au Boris Yelstin ni tofauti sana na Russia chini ya Putin. Hao wawili walionekana kuwa na viashiria fulani vya demokrasia kwa mbali na kuaminika, Putin ni kinyume chao kabisa.

Pia NATO imetanua malengo yake kutoka lengo kuu la Ulinzi tu kwa nchi wanachama hadi kuwapa support wapigania demokrasia duniani kote.

2. Sijui historia ya NATO au US ya kuvamia nchi nyingine ili kutanua himaya yake kwa idadi.

3.Demokrasia ni moja tu na ina misingi muhimu inayofanana ambayo ni uchaguzi huru na wa haki, uhuru wa vyombo vya habari, mihimili mitatu inayojitegemea n.k
1. Unacheza na maneno kukwepa nukta muhimu. Na hiyo idea ya kujidefend sijui imeitoa wapi with all due respect. AW

"NATO, the North Atlantic Treaty Organization, was formed in 1949 with the aim, first and foremost, of acting as a deterrent to the threat of Soviet expansion in Europe after World War II." ~ Dw

Deterring/discouraging soviet expansion in europe = Containing Soviet union. ( 'Contain' means action of keeping something harmful under control)

Hata kama ukisema iliundwa ili kuji'defend' (toa ushahidi) bado itakuwa ni kujilinda dhidi ya USSR

Swali bado linasimama. Leo ussr haipo kwa nini nato bado ipo!?

Swali linalofuatia hapo umeliskip nafkiri makusudi. NATO wamevunja makubaliano yao na Gorbachev (USSR) kwamba NATO haitajitanua tena kuelekea ulaya mashariki (nchi zilizokuwa kwenye ussr hazitajiunga/hazitaungwa kwenye NATO) Leo hii former countries za Ussr zimeungwa NATO Kwanin?

2. Mimi nimezungumzia invasions kama invasions sijataja mambo ya lengo la kujitanua himaya yake. Umeleta hilo lengo kijanja ili ukwepe idadi zote za uvamizi zilizofanywa na Us na washirika wake duniani. Kwasababu tu lengo halikuwa kujitanua basi uvamizi sio uvamizi sio!? Uvamizi ni uvamizi regrdless ya lengo (hili ntakujibia)

Kwa mujibu wa wikipedia (List of invasions) kuanzia 1945 mpaka leo
  • Russia ana rekodi ya kufanya vamizi (mara 3) dhidi ya nchi nyingine [2022 Ukraine, 2014 Ukraine, 2008 Georgia]
  • USA/NATO and allies kuanzia 1945 mpaka leo wamefanya vamizi zisohesabika [ 1950 NK, 1956 Egypt (France & Uk member wa nato*), 1961 Cuba, 1965 Dominican republic, 1970 North Vietnam, 1983 agrenada, 1989 Panama, 1991 Iraq, 1994 Haiti, 2001 Afghanistan, 2003 Iraq]

Unailaumu Russia kuwa ni mvamizi unawaacha USA and Co. Thats hypocritical, brother. Russia is guilty of invasions but so is US&NATO. Kumlaani mmoja (tena mwenye idadi kubwa ya uvamizi) na kumuacha mmoja si haki.

Na kauli yako kuwa "Russia ina historia ndefu ya kuvamia nchi majirani na kugombania mipaka. Pia haipendi kuzungukwa na nchi zinazofuata demokrasia halisi na utawala wa sheria."
Ni uongo wa wazi wazi tena wenye chumvi nyingi. Historia ndefu hiyo ni ipi!? Zaidi ya Georgia na Ukraine ni nchi ipi ishavamiwa na Urusia!?

3. Demokrasia ni moja sawa lkn kila nchi ina tamaduni zake na taratibu zake kwenye kuendea hiyo demokrasia. Mimi sio mtaalamu sana wa masuala ya siasa na uongozi/utawala lkn nina imani democrasia haiwezi kuendewa sawa na nchi zote duniani.

Putin amechaguliwa kwa kura, nchi ya urusi inayo bunge na mahakama, na vipo vyombo vya habari (ijapokuwa censorship inafanyika kama inavyofanyika kokote duniani) hiyo inatosha kuiita ni nchi ya kidemokrasia. Kuna madhaifu ndio kama ambavyo nchi nyinginezo duniani zilivyo. Hakuna nchi inayoweza kujidai yenyewe inapractise democrasia 100% bila mapungufu yeyote. Juzi sijui lini nasikia Trump analalamika kuibiwa uchaguzi. Kipindi cha trump swala la kuibiwa uchaguzi ndio lilishamiri mpk kupelekea trump kukosana na boss wa fbi akamtumbua. Km uchaguzi ungekuwa kweli wa huru na haki kwa 100% kusingekuwa na vilio kama hivyo.

Mbwa ili umpige unampa kwanza jina baya

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
View attachment 2181803
 
OP bado inaendelea hatuwezi kutoa full analysis
Ila hapa nimeitaka tathmini yamuda mchache tuloona toka kuanza kwa hii OP
Hatuwezi kufunga mjadala kwamba tayari naini kashinda nani bado maana mapambano yanaendelea
Ila twaweza toa tathmni kwauchache kama ilivyo kwampira una dakika 45 zakwanza nauchambuzi wake ama tathmini zake na ule wa FT
Ni ngumu kwa sababu hata katika tathmini kabla ya kuanza inayoitwa OP ya URUSI kila mtu alitegemea UKRAINE kumalizwa mapema sana, hivyo inashangaza mpaka sasa kuwa imesimama ikijitetea.
 
Hahaha. Hujanielewa tu boss. UKRAINE kuharibiwa nchi si kushindwa vita. Kushindwa vita kunapimwa na objective za bita. Objective ya vita ya URUSI ni demilitarization, na ya UKRAINE ni kujilinda mpaka URUSI aachane na anachokifanya. Sasa mpaka sasa looser ni nani ukiangalia hizo objective?

Kwa upande wa nchi kuharibika nakubali kweli UKRAINE kapoteza maana URUSI ipo salama haina magofu.
Looser ni Ukraine

Hajafanikiwa kuilinda mipaka ya ardhi yake kwani mpaka sasa miji kibao imeangukia mikononi mwa urusi pamoja na majimbo ya donbass kujitoa kbs Ukraine.

Urusi amefanikiwa kuiharibu miundombinu ya kijeshi ya Ukraine kwa asilimia kubwa mpaka sasa. Haihitaji ushahidi inaejulikana

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Urusi anatakiwa Kunyandua Hizi silaha mara tu zinapoingia ndani ya Ukraine..Kwa kweli Warusi mmetutia aibu sana sana...Mkwwara wote kumbe jeshi nyanya Ukraine tu mmeshindwa kuichukua dah....
S300 imefika Ukraine bila Urusi kujua
 
Looser ni Ukraine

Hajafanikiwa kuilinda mipaka ya ardhi yake kwani mpaka sasa miji kibao imeangukia mikononi mwa urusi pamoja na majimbo ya donbass kujitoa kbs Ukraine.

Urusi amefanikiwa kuiharibu miundombinu ya kijeshi ya Ukraine kwa asilimia kubwa mpaka sasa. Haihitaji ushahidi inaejulikana

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hapa unataka nikupinge kwani? Umeshahitimisha hivyo jibu langu kwako ni OKEY.
 
“Here you have the “economic organization”. This is no longer the European Union. It's just NATO's economic relations department."

So Maria @MariaVladimirovnaZakharova Zakharova reacted to the words of the head of EU diplomacy Borrell that the conflict in Ukraine should be resolved by military means.
Galip SV
20220409_130401.png
 
Russian Ambassador to the United States Anatoly Antonov said that the West should stop pumping Ukraine with weapons.

“It is extremely important that Western countries stop adding fuel to the fire by drugging the Kyiv regime,” he said.

Instead, there is a "clear need" for the US and allies to urge Ukraine to comply with international humanitarian law, he said.

The leaders in terms of military supplies are the United States, Britain, Estonia, Turkey, the Czech Republic, Ireland, Poland, Croatia, Slovenia, Spain, Sweden, France and Germany, as well as non-NATO Finland.
Galip SV
20220409_130401.png
 
Back
Top Bottom