Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
NakaziaPutin amechukua Kyiv tayari[emoji848]
NakaziaPutin amechukua Kyiv tayari[emoji848]
Napenda kuuliza maswaliKwanza nchi zote haziwezi kujiunga na NATO,kwa sababu nchi zote duniani haziwezi kukudhi vigezo vya kujiunga NATO. Hiyo ni hypothetical ya kitoto.
NATO iliundwa kwa ajili ya ulinzi dhidi ya USSR mwanzo wa vita baridi kati Magharibi na Ulaya Mashariki. Kilikuwepo na bado kitisho kikubwa cha USSR na sasa Urusi kuvamia nchi jirani za Ulaya ambazo hazionyeshi kuwa na muelekeo wa Urusi Kisiasa na Kiuchumi. Russia ina historia ndefu ya kuvamia nchi majirani na kugombania mipaka. Pia haipendi kuzungukwa na nchi zinazofuata demokrasia halisi na utawala wa sheria.
China sio nchi ya kidemokrasia, ni nchi ya kidekteta ya utawala wa chama kimoja cha Kikomunisti, Udikteta wa China ni wa kichama zaidi kuliko mtu mmoja.
Russia huwa inapenda kujitambulisha kama taifa la kidemokrasia ila sio kweli, uchaguzi wa Russia hauna tofauti na uchaguzi wa Rwanda, Uganda au Burundi. Viongozi wa upinzani wanafungwa kwa makosa ya mchongo na wanauwawa. Putin tayari amebadilisha Katiba ya nchi ili aendelee kubaki madarakani hadi mwaka 2030
Uingereza ni nchi ya kidemokrasia, kusema Uingereza sio demokrasia kwa sababu kuna ufalme ambao ni ceremonial ni strawman.
Jione ulivyo jaa unafikiki mpaka ww mwenyewe unajishutukia.1.Nchi gani ililazimishwa na Marekani au washirika wake kuamini kile wanachoamini wao?
2.Ililazimishwa kuamini au kufanya nini?
3.Ililazimishwaje?
Upo keko mwanga huko umeshiba njegere unaropoka eti vikwazo havitafanya kaziLazima walipe hao ndo walikua na project na Russia ya Nord strem 2 so mmarekani akaona wivu kwamba Russia angepaa sana kiuchumi. Ila germany anategemea nishati kutoka Russia. Leo hii umwambie achukue gas Qatar cost mara2 si uchumi na viwanda vyake utadidimia sana.
Hivyo vikwazo vingi havitafanya kazi watu watafanya biashara kama kawaida. Ni suala la muda tu
Jione ulivyo jaa unafikiki mpaka ww mwenyewe unajishutukia.
Acha unafikiki mkuu maana unafiki hauna tofauti na uchawi.
Yaani ww wa kuuliza swali kama hilo?
Ukija kwahoja kama hizi tutajibiana sio kwavihojaMalengo yao ama hutaki kujua au hujajaribu kutafuta, au hupendi kusema ukijua. Putin aliwahi kusema waziwazi hakubali Ukraine ni taifa na nchi tofauti na Urusi, alisema ilikuwa kosa kubwa la Lenin kukubali Ukraine iwe jamhuri la pekee nje ya Urusi ndani ya Umoja wa Kisovyeti. Alisema makosa ya zamani yanatakiwa kusahihishwa.
Hii ni lugha ya mkoloni ambaye ahwezi kuachana na makoloni yake. Waingereza waliongea hivyo kwa muda mfupi kuhusu nchi za Afrika kabla ya kulazimishwa kuachana nazo.
Tayari washaongeza MKUUSiku hiyo itafika pale Russia itakapojaribu kuongeza eneo la uvamizi zaidi ya ule waliofanya 2014, vinginevyo wasipojiunga NATO nchi yao itaendelea kuchukuliwa vipande vipande mpaka iishe yote.
Siwezi kuhangaika na kupoteza muda kukujibu kitu unacho kijua.Jibu maswali acha kurukaruka kama maharage kwenye sufuria
MKUU bila yashaka itakua kuna ukweli unaoendelea huko UKRAINE umeugundua si bureMm nipo Tanzania, hali yangu si mbaya japo mafuta yamepanda bei. Ukraine ipo vibaya ni kweli, nchi imeharibiwa sana na mabomu. Urusi ni bully.
Jama yetu Tsh kapata siri gani yakinachoendelea huko field UKRAINE mbna naona kama anaanza kuingia akili nakuelewaFiguratively speaking Ukr mna hali mbaya.
Wiki chache baadae nchi yenu itakuwa mji kasoro bahari.
Urusi ni bully, NATO ni waoga (kwa mujibu wa Zelensky mwenyewe) [emoji1787]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Napenda kuuliza maswali
1. Kama Nato iliundwa kwa ajili ya kuicontain USSR na sasa USSR haipo hiyo NATO kwanini bado ipo na ndio kwanza inaendelea kujitanua!? Ni kwanini NATO wamevunja makubaliano waliyowekeana na bwana Gorbachev kwamba NATO haitosambaa kuelekea mashariki!?
2. Kati ya USA/NATO na Russia ni nani ana historia ya kuvamia nchi ambazo zinakwenda kinyume na mitizamo yake!?
3. Unafikiri ni sahihi kwa nchi moja kuamua style ya demokrasia inayotakiwa kufuatwa na nchi nyingine!?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
hiv haunaga source zingine zaidi ya tweeter? ili kusudi tuweze kufanya tathmin kama ni kweli