Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni ujinga kusema Luhansk na Donbas, Luhansk ni sehemu ya Donbas na iliporwa na Urusi tangu mwaka 2014

Halafu unaposema tayari wameongeza vita imeisha?
Tayari washaongeza MKUU
Unavyodhaania kwamba DON BAS na LUHANSK zitakua tena eneo la UKRAINE lile pole sana
UKRAINE hawezi akajiunga na NATO kwanza hii OP aliopigwa inapeleka mbele zaidi ya miaka 20 matarajio yao yakujikaribisha kwa NATO
Kwanza hii OP ikisimama eneo kubwa kule uwanda wa PWANI litakua chini ya RUSSIA pia ataachwa ainue vifusi vyake asimamishe miji yake
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
The Ministry of Internal Affairs of Russia signed an agreement on cooperation with the ministries of the DPR and LPR.

View attachment 2181468
@Yoda
Kama unadhania RUSSIA hawezi kurejelea alichokifanya CRIMEA mwaka 2014 naomba pitia hapa maana hayo majimbo hayatakaa yarejelee tena UKRAINE milele
Pia kama unafikiria kwamba baada ya hii OP eti UKRAINE atajiunga na NATO naomba jifikirie tena ila EU anaweza akajiunga ila sio NATO
 
Kwanza nchi zote haziwezi kujiunga na NATO,kwa sababu nchi zote duniani haziwezi kukudhi vigezo vya kujiunga NATO. Hiyo ni hypothetical ya kitoto.

NATO iliundwa kwa ajili ya ulinzi dhidi ya USSR mwanzo wa vita baridi kati Magharibi na Ulaya Mashariki. Kilikuwepo na bado kitisho kikubwa cha USSR na sasa Urusi kuvamia nchi jirani za Ulaya ambazo hazionyeshi kuwa na muelekeo wa Urusi Kisiasa na Kiuchumi. Russia ina historia ndefu ya kuvamia nchi majirani na kugombania mipaka. Pia haipendi kuzungukwa na nchi zinazofuata demokrasia halisi na utawala wa sheria.

China sio nchi ya kidemokrasia, ni nchi ya kidekteta ya utawala wa chama kimoja cha Kikomunisti, Udikteta wa China ni wa kichama zaidi kuliko mtu mmoja.

Russia huwa inapenda kujitambulisha kama taifa la kidemokrasia ila sio kweli, uchaguzi wa Russia hauna tofauti na uchaguzi wa Rwanda, Uganda au Burundi. Viongozi wa upinzani wanafungwa kwa makosa ya mchongo na wanauwawa. Putin tayari amebadilisha Katiba ya nchi ili aendelee kubaki madarakani hadi mwaka 2030

Uingereza ni nchi ya kidemokrasia, kusema Uingereza sio demokrasia kwa sababu kuna ufalme ambao ni ceremonial ni strawman.
Hapo kwenye migogoro ya mipaka, Russia ameshapigana na Karibu Kila Jirani yake kisa mpaka, Ikiwemo China ambaye watu wanaona ndio swahiba wa China...

Russia wao wanapenda kujitanua kwa hofu zisizo lazima
 
Kwanza nchi zote haziwezi kujiunga na NATO,kwa sababu nchi zote duniani haziwezi kukudhi vigezo vya kujiunga NATO. Hiyo ni hypothetical ya kitoto.

NATO iliundwa kwa ajili ya ulinzi dhidi ya USSR mwanzo wa vita baridi kati Magharibi na Ulaya Mashariki. Kilikuwepo na bado kitisho kikubwa cha USSR na sasa Urusi kuvamia nchi jirani za Ulaya ambazo hazionyeshi kuwa na muelekeo wa Urusi Kisiasa na Kiuchumi. Russia ina historia ndefu ya kuvamia nchi majirani na kugombania mipaka. Pia haipendi kuzungukwa na nchi zinazofuata demokrasia halisi na utawala wa sheria.

China sio nchi ya kidemokrasia, ni nchi ya kidekteta ya utawala wa chama kimoja cha Kikomunisti, Udikteta wa China ni wa kichama zaidi kuliko mtu mmoja.

Russia huwa inapenda kujitambulisha kama taifa la kidemokrasia ila sio kweli, uchaguzi wa Russia hauna tofauti na uchaguzi wa Rwanda, Uganda au Burundi. Viongozi wa upinzani wanafungwa kwa makosa ya mchongo na wanauwawa. Putin tayari amebadilisha Katiba ya nchi ili aendelee kubaki madarakani hadi mwaka 2030

Uingereza ni nchi ya kidemokrasia, kusema Uingereza sio demokrasia kwa sababu kuna ufalme ambao ni ceremonial ni strawman.
Hata UK niyakidikteita tena udikteita wakifamilia
Pia hata UN niyakidikteita tena udikteita wawazi
Kama kweli mwauchukia udikteita inatakiwa muanze kuukemea na kuuondoa udikteita uliotamalaki kule UNSC halaf mujaribu huko kwengine
Pia hata US kwenyewe nchi inaendeshwa kidikteita ndio maana kura milion ngapi cjui za hillary clinton za wananchi hazikuweza kumpeleka WH ila kura 100s za wajumbe zikaweza kumpeleka DT pale WH
Inaonesha udikteita ndio mfumo bora kabisa wakiutawala nakiuongozi ulimwenguni
Pia US UK na WESTERN wooote ndio wafadhili wakubwa wamadikteita ulimwenguni tukianzia QATAR SAUDIA MISRI BAHRAIN nk
 
Ni ujinga kusema Luhansk na Donbas, Luhansk ni sehemu ya Donbas na iliporwa na Urusi tangu mwaka 2014

Halafu unaposema tayari wameongeza vita imeisha?
Error
LUHANS na DONESK
shida tutashindwa kujibiana ikiwa makosa madogo madogo yakurekebishana tunaanza kuitana wajinga namatusi mengine tutakua hatufiki
Mie nimeongelea utayari wakuongezwa sijasema kama vita imeisha ama laa DON BAS haikuporwa mwaka 2014 mwaka huo jamaa walipita na CRIMEA walichokifanya DON BAS waliibua tu vikundi vilivyokua vinaendedha UASI maeneo hayo
Ahsante
 
Unaniuliza swali tena mimi? Wewe si umeleta hio hoja?. Usikurupuke kucomment kama hujui chochote itakusaidia bora uwe mjinga upate elimu kuliko kujikuta ni bingwa wa kucomment kumbe ni falasi tu.
😂😂😂😂😂 mnakana matapishi yenu .pro🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺 hayana hata kumbukumbu kuwa yalisema lengo la vita ni kuichukua mazima Kiev 😛😛😛😛😛😛😛😛
 
GANGA ZUMBUKUKU KATIKA UBORA WAKO WA UZUMBUKUKU........ebu leta mapicha ya ukraine ilivoharibiwa na cluster bombs ....cruiser missiles....ISKANDER M......[emoji18][emoji18][emoji18]
Nina picha nyinyi za marehem wakirusi wakiiba sufuria na washing mashine nikuwekee Bibi?
 
Wabebe zote zinazoingia Ukraine from west
pro🇷🇺🇷🇺🇷🇺 mnacheza mdumange wa zelensky kisawasawa. Kila siku tunaambiwa humu maliupol na kharkiv zimeshachukuliwa MAZIMA na 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺 lakini cha ajabu kila muda mnaleta taarifa kuwa mapigano makari sana yamefanyika miji hiyo na 🇷🇺🇷🇺🇷🇺 ameshinda . sasa kama mmeshaumiliki mji je hayo mapigano nmapigana na nani ?😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom