Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

HatariView attachment 2181650View attachment 2181651
IMG-20220405-WA0013.jpg
 
Miji karibia 13 nadhani by asubuhi yule commedian wa Ukraine atakuwa mafichoni kama Russia itaendelea na strike
😂😂😂😂tunakumbushana pro🇷🇺🇷🇺🇷🇺.
 
Yani apigane atumie resources zote ili tu aweke Madarakani serikali tiifu,ndio utakuwa upumbavu gani sasa.Hapo lengo ni kuichukua Ukraine yote na kuwa sehemu ya Urusi kama ilivyokiwa awali-au hujasikiliza speech ya Putin babu.
@Nyamizi,

Tsh, Yoda. 😂😂😂😂😂 tuendelee kuwakumbusha maneno yao hawa wehu wa 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom