Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwenye akili yako hili jambo umesharuhusu liwe sehemu ya kumbukumbu zako za kudumu. Nimesoma sana majibu yako humu, ni jambo lililokukaa na limekua sehemu yako na unalitumia sana katika majibu yako.

Katika saikolojia tunafahamu kwamba kadri unavyotaja na kuliandika/kutamka jambo ndivyo linavyokuwa sehemu ya ubongo wako.

Sababu ni sehemu ya ubongo wako, utakuwa unaota pale unapolala na unapata wet dreams.
View attachment 2184476

Kumbe huwa unafuatilia sana comments zangu safi sana. Sasa mbona unaumia nikitumia hilo neno kama wewe hauhisiki waswas wako ni nini? Si upite kimya kimya tu mpaka ulalamike

Hizi ndo tabia za kike tunazowakataza
 
Kumbe huwa unafuatilia sana comments zangu safi sana. Sasa mbona unaumia nikitumia hilo neno kama wewe hauhisiki waswas wako ni nini? Si upite kimya kimya tu mpaka ulalamike

Hizi ndo tabia za kike tunazowakataza
Nimekuwa kimya mbona na wakati wote sijaingilia hoja zako wala sijalalamika, huwa nasoma kimya napita kwenye hoja za wengine ila sasa uliponijibu ukitumia jambo lako pendwa nikakukumbuka kuwa huyu ni yule mwenye jambo lake lililoganda kwenye ubongo wake halafu ndo nkakujibu, Ila hakuna tatizo maana hayo yaliyokuganda akilini yanabaki kuwa matatizo yako binafsi. Hayana uhusiano na ushindi wa Puttin.

images (99).jpeg
 
Kifupi Ukraine Ikijiunga NATO ndio mwisho wa Russia. Au hii vita ikiisha na Russia akapigwa ndio mwisho wa Russia na NATO itabakia kummaliza China then India.
Hamna nchi rahisi kupigwa kama India sababu kubwa ni casts zao na ustate kila state inaongea lugha yake yani,wanathamini ustate kuliko nchi sasa kwa watu wa namna hiyo ni rahisi kuleta propaganda na USA inasifika kwenye ilo.
 
Miemoji kibao kwenye reply zako huwa najiuliza una shida gani. unacheka/unajichekesha hata mahali ambapo hapastahiki kucheka. Bandama yako ni oversize!?

ulivyokuja na maswala ya udini ukapigwa 'darsa' humu ukaishia kupiga uturn. Umebaki kuchekacheka tu hutoi taarifa/update, huna hoja, basi hata kuchambua/analysis hoja za wenzio kistaarabu huwezi. Wewe ni mabendera na maemoji ya kucheka kila mahali. Unaboa mzee comment zako zinatia kinyaa.

Wtf[emoji2959]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Umesahau na ile ZUZU ingine inajiita NYAMIZI ....wako wawili mkuu ....
 
Ubarikiwe... umetafsiri vema kabisaa ...[emoji18][emoji18][emoji18]
Amina. Nitalikumbuka hili kila nitakapoona id ya bibingi. Kwa sasa tuendelee kufuatilia wanaotoa hoja na habari za hii OP ya Urusi tuone mwisho wake.
 
Eiwaaa we ndio umenelewa vyema, sikuwa na maana ya kumkejeli na sidhani kama nimeandika maneno ya kumkejeli. Na nilivoona kasema nimemkejeli sikutaka kuendelea kumweleza.

Siku zote tatizo huwa sio kile kilichozungumzwa bali tafsiri atakayoipata yule aliyefikishiwa mazungumzo yale kulingana na kile alichonacho akilini mwake juu ya jambo unalomwelezea.

Mfano huko nyuma sikuwahi kumzungumzia huyo Soros hadi hapo jana jamaa alivomtaja nikakazia tu kua kuna rumours huko nje yasemekana kua ni binam yake Zele...

Huyu akani'qoute kuniuliza huyo George Soros ni nani... Kuna jamaa akawah kumjib huko kua ni binam yake Zelensky... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani rumours keshazifanya fact na ajab zaidi akamjib nje ya mwelekeo wa muulizaji.

Kuna vitu unaeza kufupisha na kuna vitu ukifupisha huezi kueleweka moja wapo ni hili. That's why nikamwambia kua reply moja haitoshi kumwelezea Soros kwa kutokea mlimani. Ila bondeni anajulikana kama mzaliwa wa Hungary, Raia wa Marekani, Mwekezaji na Philanthropist.
kabisa mie nimekuelewa MKUU
hamna sehem umemkejeli jamaa ila hajakuelewa
msamehe bure
 
[emoji117]The Ukrainian parliament has approved a law with a list of rewards for Russian military equipment. Russian soldiers defecting to Ukraine with a warship or a jet can now claim up to $1 million. A tank or an artillery piece would be worth a $100,000 reward.
All war machinery and defecting Putin' war dog compensated on US/NATO sponsored bill
 
Back
Top Bottom